Wamemchokonoa China,kakwepaHao wanamtumikia baba yao Shetani mkuu.Kazi za Shetani ni kuua,kuharibu na kuiba,so they are on target.Mimi huwa namshangaa sana mtu anayeipigia chapuo US,it's Western Allies na NATO.
Wamemchokonoa China mpaka ikaleta tension ya Vita,China akatulia!Yule bibi akaondoka salama Taiwan!Hao wanamtumikia baba yao Shetani mkuu.Kazi za Shetani ni kuua,kuharibu na kuiba,so they are on target.Mimi huwa namshangaa sana mtu anayeipigia chapuo US,it's Western Allies na NATO.
Hakuna nchi inayopenda au kuona fahari wanajeshi wake wakiwa anakufa vitani.ndo maana Alianza Kiev Ili kuangusha selikali.pia kuhusu nishati ni swala la muda tu maana sisi tuona makaa ya mawe yavyo chimbwa Huku ludew,pia Nigeria anavyo pata tenda,Iran sio mda wanapunguza vikwazo wataamza kuuza mfuta kwenye soko la Dunia,Ulaya itaendelea kupata fedha za kufadhili silaha Ukraine
Mbona husemi vimbolea vya bure anavyotaka kutoa Putin?!
Vya bure halafu hapo ulipo unatumia simu na mitandao ya Bure toka kwa haohao mabeberu.
Beberu hakwepeki ni kama maji tu.
Huyu mwehu kweli,au anataka Russia azuie Odessa isifanye kazi Tena?Au kwasababu ameshamaliza mzigo wa grains?View attachment 2359087
Volodymyr Zelenskyy says Kyiv will only agree to export Russian ammonia via Ukraine if Moscow returns Ukrainian prisoners of war - Reuters
Si mkatae sasa mtengeneze zenu!!!Vya bure havina mashart huwezi compare na US anayekupa condom afu ukubali ushoga
Haikuomba silaha? Bila shaka walitafuta maana sasa wanaenda hadi Korea Kaskazini kwa grenedi za sentimita 152.4 - kutoka China zingepatikana haraka zaidi . . . .Kwani urusi aliomba silaha kutokea UCHINA maana huwez msaidia mtu ambae hajakuomba
Ingawaje jana leo imeonekana ndege imetua RUSSIA imetokea UCHINA inaaminika imepeleka silaha ndege ya kijeshi
Kutokuungana na west na kuiekea vikwazo RUSSIA maana yake nikwamba wameisapoti RUSSIA sababu wanaendelea kufanya nae biashara nyengine
Kwenye hizo Chip unatakaje UCHINA waiuzie RUSSIA wakati mwenye tech yake kakataa au hujui sheria zakimataifa zinasemaje kuhusu hilo
Mwisho kutokuiekea vikwazo RUSSIA kama walivyofanya west kwakinachoendelea huko UKRAINE maana yake unasapot juu ya SMO hata US walisema hili kuwaambiwa SA INDIA nk
Sent using Jamii Forums mobile app