Propaganda tu hizi, sidhani kama alitarajia kumaliza robo tatu ya mwaka akiwa vitaniso far imetumia chini ya asilimia 10 ya uwezo wake
Kama ni nyuklia tu, huenda upo sahihiSilaha zake nyingi Kali hajazitumia kwenye operesheni hiyo....silaha hizo zinawangojea NATO if they decide to put their boots in Ukraine
Hali inayokuja inaogofya sana sijui kama Zelensk atasilimika kwa kweli.wanafanya mobilisation huko, waeita vikosi vyao kamili mkuu, ukraine atahimili kweli?
Huyo si ndio yale mateja Ukraine limesha bwida ngadaUmelaza utamu hapo kitandani unataka mwanaume akuletee mpaka source fwala sana
Endeeni kujifariji, Ukraine anatembeza kipigo tu [emoji91][emoji91]Tazama silaha nyingi sana warusi wametelekeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ni mateka wa taifa linalojinasibu kuwa super pawer,[emoji848]Wakishikwa wanakuwa wapole sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukronaz wameshajaa kwenye nyavu ngoja wapasuke vichwa hamna namna [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Milipuko Milipuko Milipuko [emoji95][emoji95][emoji95] yawaandama Waukraine
[emoji635][emoji1255][emoji298]Explosions reported in Krivoy Rog
[emoji635]🇮[emoji1180][emoji1182]🇷[emoji1191]🇰[emoji1221]🇫[emoji1170]The SCO(Shanghai Cooperation Organisation) countries have decided to "intertwine" with a network of gas pipelines
Potentially, they can appear in different parts of Eurasia, and together form a single network.View attachment 2359800
Waache nyumbu wajae kwenye nyavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🇺[emoji1236]🇺[emoji1236]A Swedish newspaper has published a document on the US strategy to destroy the EU economy.
"Shocking document: How the US planned the war and the energy crisis in Europe," writes Nya Dagbladet.View attachment 2359790
View attachment 2359791
We are talking about a leak of information from the RAND analytical center close to the US government.
The document states that the aggressive foreign policy of the West pursued in Ukraine will force Russia to intervene militarily.
Washington's goal is to declare Russia an aggressor and introduce a long-prepared package of sanctions.
In this scenario, the EU economy will "inevitably collapse," the document says.
Extending Russia: Competing for Advantageous Ground
The United States is locked in a great-power competition with Russia. What are Russia's greatest anxieties and vulnerabilities? How might the United States exploit these vulnerabilities? And what are the potential costs and risks of doing so?www.rand.org
🤣🤣🤣 wewe jamaa eti wameshajaa kwenye nyavuUkronaz wameshajaa kwenye nyavu ngoja wapasuke vichwa hamna namna [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Waache nyumbu wajae kwenye nyavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2359798
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Biden amwonya Putin juu ya kutumia nyuklia
Mr Biden was then asked what the consequences would be for Mr Putin if such a line was crossed.
"You think I would tell you if I knew exactly what it would be? Of course, I'm not gonna tell you. It'll be consequential," Mr Biden responded.
"They'll become more of a pariah in the world than they ever have been. And depending on the extent of what they do will determine what response would occur.
C
Biden hawezi fanya lolote Kwa Putin muda wa kutumia NUKE ukifika tufe itabonyezwa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]Biden amwonya Putin juu ya kutumia nyuklia
Mr Biden was then asked what the consequences would be for Mr Putin if such a line was crossed.
"You think I would tell you if I knew exactly what it would be? Of course, I'm not gonna tell you. It'll be consequential," Mr Biden responded.
"They'll become more of a pariah in the world than they ever have been. And depending on the extent of what they do will determine what response would occur.
C
Huu ni uongo ndg,Russia ilikua haina hata chakula Cha siku 3 Cha kuwalisha wanajeshi wake,silaha zenyewe imeishiwa kitambo Sana leo itawezaje kuwapoteza wanajeshi wa Ukraine kiasi hicho?Hawa ni ndugu wa mizoga ya wanajeshi wa Ukraine iliyotapakaa uwanja wa mapambano, waliouwa na jeshi la Putin
Wengi ni kutoka kikosi cha 56th brigade, kikosi kimeshapoteza wajeshi kama 600 tangu waanze hiyo counter offensive saivi wamekuwa mbolea
Inahuzunisha lakini hakuna namna ni kuua tu. Poleni wafiwa
Family members of Ukrainian 56th brigade
View attachment 2359606
Biden hawezi fanya lolote Kwa Putin muda wa kutumia NUKE ukifika tufe itabonyezwa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787]View attachment 2359806
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app