Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ingetosha tu lusema "kua mwangalifu kwa vita" hakukuwa na ulazima wa kuengeza "visivyo na maslahi". Ni kwa nini mnalazimisha operesheni ya urusi ukraine iwe ni jambo lisilo na maslahi hata kwa urusi yenyewe!? Ina maana nyie mnayajua zaidi maslahi ya urusi ni yepi kuliko warusi wenyewe!?

Anyway kwa india nayeye anaweza kuona hvyhvy kwa kuwa spread ya nato eastward haimlengi yeye.
 
Unasema Urusi haitegemei Iran na wakati kanunua drones zao ambazo Putin mwenyewe binafsi alitua Iran mojawapo ya agenda ikiwa hiyo.

China kuingia airspace ya Taiwan sio ajabu na sio mara ya kwanza wala sio ya mwisho, washafanya zaidi ya mara tano ninazokumbuka. Pelosi katua Taiwan kisha kaondoka wakafyatua maroketi baharini
 
Sorry man this is an overkill [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilipoona tu "it sounded like..." nikaacha kusoma hapo hapo

Ok, it sounded like...
Hahahaha hongera Kwa kuacha kusoma lkn bwana Putin message aliipata ipasavyo ndio maana Jana alikua anajieleza kama mwanafunzi aliyesahau daftari la hesabu nyumbani.

Jana UZB Rais hata hakujisumbua kwenda kumpokea Putin alimtuma PM,wakati Boss Xi alipokewa na Mkuu wa nchi. Ni Sawa na Samia aende Kenya apokelewe na PM hlf kagame aende apokelewe na Ruto[emoji23]
 
Jamaa anasema Urusi kununua drone Iran ni propaganda za magharibi
 
Kauli ya Narendra Modi aliyomwambia Putin si umeitambua. Kauli ya Xi aliyoitoa kwa Kazakhstan unajifanya ujaijua
Kauli zote nimezisikia. Tatizo mnataka kufoji tafisiri ili mkizi matakwa yenu. Hakuna kauli hata moja hapo inayoweza kutafsirika kama 'mkwara'.

Kwa hiyo mkuu let say Urusi anataka kuivamia hiyo nchi china ndio atailinda!? Yaani china ailinde nchi fulani dhidi ya uvamizi wa urusi!? China huyuhuyu amepigwa biti zito na kuzalilishwa na pelosi juzi. Nato nzima na ulaya na ulimwengu wa kimaghari i wanamlinda ukr na ka siku anapoteza ndio china itafanya nini!?

Acha masihara ujue. Urusi ni jidude kuuuuubwa in manaras voice [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushubwada [emoji706]
Taarifa ya NYT (kama inakufariji, uikatae tu, maana ni habari kutoka MAREKANI!!)

Russia Is Buying North Korean Artillery, According to U.S. Intelligence​

WASHINGTON — Russia is buying millions of artillery shells and rockets from North Korea, according to newly declassified American intelligence, a sign that global sanctions have severely restricted its supply chains and forced Moscow to turn to pariah states for military supplies.
The disclosure comes days after Russia received initial shipments of Iranian-made drones, some of which American officials said had mechanical problems. U.S. government officials said Russia’s decision to turn to Iran, and now North Korea, was a sign that sanctions and export controls imposed by the United States and Europe were hurting Moscow’s ability to obtain supplies for its army.
The United States provided few details from the declassified intelligence about the exact weaponry, timing or size of the shipment, and there is no way yet to independently verify the sale. A U.S. official said that, beyond short-range rockets and artillery shells, Russia was expected to try to purchase additional North Korean equipment going forward.

“The Kremlin should be alarmed that it has to buy anything at all from North Korea,” said Mason Clark, who leads the Russia team at the Institute for the Study of War.

Before Russia’s invasion of Ukraine, the White House began declassifying intelligence reports about Moscow’s military plans — then disclosing that material, first to allies privately and then to the public. After something of a lull in the disclosures, the American government has once again begun declassifying information to highlight the struggles of Russia’s military, including the recent intelligence about the purchase of Iranian drones and the Russian army’s problems recruiting soldiers.
Broad economic sanctions, at least so far, have not crippled Russia. Energy prices, driven up by the invasion, have filled its treasury and enabled Moscow to blunt the fallout of its banks being cut off from international finance and curbs on exports and imports. Sanctions against individual Russian oligarchs also have failed to undercut the power of President Vladimir V. Putin.
But American officials said that, when it came to Russia’s ability to rebuild its military, the economic actions of Europe and the United States had been effective. American and European sanctions have blocked Russia’s ability to buy weaponry, or electronics to make that weaponry.
Moscow had hoped that China would be willing to buck those export controls and continue to supply the Russian military. But in recent days, American officials have said that while China was willing to buy Russian oil at a discount, Beijing, at least so far, has respected the export controls aimed at Moscow’s military and not tried to sell either military equipment or components.

​

​

Gina Raimondo, the commerce secretary, has repeatedly warned China that if Semiconductor Manufacturing International Corporation, China’s largest computer chip maker, or other companies violate sanctions against Russia, the United States will effectively shut down those businesses, cutting off their access to the American technology they need to make semiconductors.

With most countries treading carefully in the face of American pressure, Russia has focused its deal making on Iran and North Korea.
 
Hahahaha

Jamaa anatoa discount ya maana ndio maana India na China wananunua mafuta yake hakuna cha kupanda na kushuka Kwa Bei hapa

While other countries back away from Russian oil, China senses an opportunity to stock up on the cheap
India has also been trying to negotiate deeper price cuts, aiming for deals as low as $70 a barrel.

As China shops around for a good deal to refill its strategic crude stockpiles, Russia — with few other countries to sell to — is offering its oil at a tantalizing discount.

While other countries back away from Russian oil, China senses an opportunity to stock up on the cheap
 
$35 discount [emoji848][emoji134]

 
Kwa hiyo kununua ndio kutegemea!? Ebhana tafsiri zenu za maneno sijui mnazitoa kwenye kamusi zipi!
Kwa hiyo Us akinunua injini za roketi kutoka russia tuseme us anaitegemea Russia!?

Mazoea hayabadili uhalisia. Suala la china kuingilia anga la taiwan (nchi huru) ni kosa na uchokozi hata kama angekuwa na kawaida ya kuingia mara milioni. Hizo ni dalili za kutaka kulianzisha.

Mkuu Ukubwa na nguvu wa russia ni intrinsic. Hautegemei sijui nani afanye au asifanye nn. Na ndio maana ya ukubwa wa uhakika. Putin kupokelewa na PM hakumpunguzii chochote. Hata asing4pokelewa kbs. Bado atabaki kuwa ndiye putin raisi wa urusi inayopigana na nato na inashinda. Mf. Joe Biden ndio 'the most powerful man on the planet' kwa hiyo siku akija tz akapokelewa na mpango ndio kitakuwa kimepungua nini kwenye ukubwa na nguvu za marekani!? Make it make sense budda
 
Ushubwada [emoji706]
 
Correction: Urusi hapigani na NATO, anapigana na Ukraine inayopewa silaha za zamani na nchi za NATO ambazo zimemfurusha Urusi Kharkiv ndani ya wiki moja tu.
 
Hapa ntaongelea la MODI BRICS na ARMENIA
Huko kwengine watajijua wenyewe watakavyoamua
MODI kama anachukizwa na SMO aeke vikwazo maneno hata UN wanasema ila hawana la kufanya
Kuhusu BRICS angalia kuna mwanachama yeyote kaeka vikwazo kwa RUSSIA kama ishara ya kulaani halaf angalia kwasasa biashara kubwa ya RUSSIA inafanyika wapi
Pia usisahau maneno ya ramaphosa leo kwa US
mwisho azeri anasafar ndefu sana anaeneo lake kubwa sana linakaliwa na Armenia na hajalikomboa hata theluthi aombe msaada popote hajalikomboa na hata likomboa mpaka kiama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Correction: Urusi hapigani na NATO, anapigana na Ukraine inayopewa silaha za zamani na nchi za NATO ambazo zimemfurusha Urusi Kharkiv ndani ya wiki moja tu.
Whatever,

Urusi kharkiv kakimbia kweli sio utani. Vita ni techniq na kuretreat ni mojawapo ya mbinu. Hata wakati King Kanute anaivamia London aliretreat mambo yalipokuwa magumu. Tena alikimbia kweli kweli! Wakajua kashindwa wakamfata kiheadhead kilichowapata hawatakisahau!

Honestly speaking Do you think Ukraine can defeat Russia on the battlefield!?
 
HIMARS o'clock

This is what evening greetings from our Western friends look like. We are gladly passing them along to our enemy.

 
PUT IN hakuenda kwa ajenda hio hata yaan haikuepo
PUT IN alipelekwa na ajenda ambayo inajukijana rasmi na uzuri nikwamba ajenda ilompeleka kule haikua yake pekee na IRAN tuuu
wapi PUT IN ama RUSSIA wameomba msaada toka IRAN ama unahisi kufanya hivyo kama akiamua ama ikibidi anamuogopa nani kumtangazia kama anachukua silaha huko
Wanaosema PUT IN anasaidiwa na IRAN ndio waliosema kama PUT IN wanajeshi wake wamaishiwa chakula


Sent using Jamii Forums mobile app
 
$35 discount [emoji848][emoji134]


Kwa nini swala la discounted prices kwa mataifa mengine yasiyo ya Ulaya yanaonekana ni Jambo baya.

Mbona kipindi nchi za Ulaya zilipokuwa zinapata hiyo oil na gas kwa cheap discounted prices mbona tulikuwa hatuoni haya makelele.

Kama ambavyo nchi za Ulaya zilivyokuwa zinapata discounted prices, ndio hivyo hivyo Sasa hivi nchi zingine zinavyopata hiyo favour.
 
Propaganda tu hizi, sidhani kama alitarajia kumaliza robo tatu ya mwaka akiwa vitani


Kama ni nyuklia tu, huenda upo sahihi
Hamna vita hapo.....vita wanaongea mfululizo..vita mtu akiguswa sana anaanza kulialia..vita Rais wa nchi (Putin) yuko anazurula tu ..akitoa hotuba na viongozi wengine wa Dunia, vita moscow watu wanaendelea kula bata tu, vita hakuna mobilization yoyote..hapo Ukraine yuko vitani lkn Russia yuko kwenye operation tu na mazoezi
 

Putin must face this reality​

September 16, 2022

Reality does not seem to prevail over Putin's head it is sad to say.Kwa wale mnaojiita Pro-Russia naamini hamtanipenda kwa hili,but the truth must be said.Putin and the Kremlin have watched the failure of their “limited military operation” in the Donbass conflict with Ukraine to the proxy war with the US and NATO,and now to the almost full-fledged war with the US and NATO. Putin’s inaction as the conflict widens,will lead to nuclear war. He seems determined to hold on to his totally failed policy of "a police sort of action" in Donbass and now in the wider conflict,with minimum commitment of troops and military assets. From the best information I can get, there are only 200,000 thousand Russian troops involved in what the West prestitutes call a “Russia’s invasion of Ukraine.”

Time is running out for Putin to take out Ukraine entirely,before he has to withdraw shamefully because of NATO’s involvement or push the button. Perhaps the latest effort of former NATO leaders to organize a NATO intervention against his “limited military operation” will bring home the idea that he cannot sit there any longer without either surrendering or taking the decisive action that he should have taken eight years ago of bringing Ukraine to its knees.

Three days ago on September 13th, a group of former Prime Ministers, Foreign Ministers and other high-level officials from NATO countries ( https://www.president.gov.ua/en/new...rs-fog-rasmussen-prezentuyut-rekomendac-77729 ) published a document, The KYIV Security Compact ( https://www.president.gov.ua/storag...fd0ec2d72259a561313370cee1be6e_1663050954.pdf ) that advocates a formal alliance between Ukraine and NATO countries that, in effect, makes Ukraine a member of NATO, thereby transforming the proxy war in Ukraine into a war between NATO and Russia.This is a serious development indeed,and Russia needs to do something quick before it is faced by a millitary campaign from the US and NATO which might destroy it completely.

The Kyiv Security Pact was formally presented to Ukrainian President Volodymyr Zelensky, who endorsed it, published it on the website of the Ukrainian presidency, and supports its adoption.

The document specifies for “the US, UK, Canada, Poland, Italy, Germany, France, Australia, Turkey, and Nordic, Baltic, and Central European countries” to make “legally and politically binding” agreements” that ally them with “Ukraine in its ongoing war against Russia.”

Redundantly, the document affirms the intention of Ukraine to join NATO and the European Union, declaring, “Both NATO and EU membership will significantly bolster Ukraine’s security in the long-term. However, Ukraine needs security guarantees now,” the document says, so security agreements from the NATO countries will achieve the same result as NATO membership until the process is formalized. It adds, “Ukraine needs iron-clad security guarantees. These will come predominantly—though not exclusively—from NATO countries.”

The document was drafted by a long list of Washington’s bought-and-paid-for European puppets, co-chaired by former Danish Prime Minister and NATO Secretary General Anders Fogh Rasmussen, former Prime Minister Kevin Rudd of Australia, former Swedish Prime Minister Carl Bildt, former UK Foreign Secretary William J. Hague and former ministers from France, Germany, Italy, and Poland.

Russia is unable to defend itself because its leaders prefer agreements. The Kremlin still believes, despite all evidence to the contrary, that it can overcome Western “misunderstandings” of Russia and negotiate a peaceful multi-polar world of cooperation,which is impossible.

God help us.
 
China kashindwa kuikomboa Taiwan..kabweka katulia ndo aje asaidie Kazakhstan.....unaota ndugu..huo uweno hana China hata experience hiyo hana....Hayo mambo wamuachie Mrussi tu..akisema anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…