Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo makopo kila siku yanatunguliwa na Himars ,kweli wavaa kobaz Hamna akili
 
Tazama ukubwa wa eneo ambalo limesharudi jamaa wanakimbia hili ndio jeshi lao au ndio wafungwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Supapawa anarecruit wafungwa


Halafu machoko yanacomment eti supapawa wachongo hajatumia hata nusu ya uwezo wake, pumbav
Supapawa WA kureceruit wafungwa supapawa mafi ,aje huku tumuuzie wafungwa WA segerea


Manina javellins na Himars zinamfira supapawa ,kipigo kikali
 
Sasa huyo shithole ambaye wananchi wake wanakufa Kwa njaa Nani anamuda naye , ? , Nchi lenyewe limefilisika Kwa ufisadi mpaka wananchi wanasturve Kwa njaa huko , wanaanza kulilia misaada toka IMF , wangekuwa wanakufa kama nzige takataka hao
Jamaa wanaokoteza kila aina ya habari hambayo itaonekana kuwafariji Ili kujipoza na maumivu ya kipigo wanachopewa huko field
 
Tulieni mnyonyolewe ,this time mnapigwa mpaka Kremlin , mnavamia sovereign state na kumega maeneo kama wendawazimu sasa tulia muonyeshwe kazi
 
NASAMS ndani ya Ukraine very accurately system sio yale mapipa ya mrusi s300 s400 yanapigwa na Himars kila wakati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ngoma haiitaji ha hasira kwa kweli.. urusi anazidi kuwa dhaifu huku Ukraine akizidi kupokea silaha imara zaidi.., fashisti Putin lazima Aite maji mmaa [emoji12][emoji12]
 
Tulieni mnyonyolewe ,this time mnapigwa mpaka Kremlin , mnavamia sovereign state na kumega maeneo kama wendawazimu sasa tulia muonyeshwe kazi
Putin ni mwendawazimu aisee. , Yahani alijiona ana akili sana kuliko viongozi wote dunian...,
Ngoja tu ashikishwe adabu huyu kilaza
 
🇭🇺 Politico: Many Hungarians believe that the truth is on Russia's side because they are tired of European values.

This is what the writer Attila Demko thinks: “After 12 years of pressure from the EU and the West, many Hungarians find themselves thinking that if the West is bad, then what Russia is doing must be true.”

The article notes that people in Hungary do not understand why they should support anti-Russian sanctions if their country is constantly criticized in the EU.
 
Kuna kitu huwa hakipo sawa kwako
 
Naona hii thread, Sasa imekua ya mipasho na matusi, imefikia hatua Sasa hoja kupingwa kwa hoja tena kwa lugha nzuri imekua Jambo gumu. Hata wale tunaofuatilia mgogoro huu wa Ukraine na urusi ili kujifunza na kupata Elimu kinachotokea Ni tofauti na kile mtu uzaniavyo, maana wengi waliokua na uelewa wa mgogoro huu huku wakitoa Elimu na darasa zuri, wameona wakae pembeni, Ni kazi kweli kweli kuona mambo haya yanayoendelea kwenye uzi huu.
 
Kwa kuwa unaona super pawer wa mchongo anahenyeshwa,sio?

Tulia dawa ikuingie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…