Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Referendums in Donbas will not have legal consequences, the whole process is a parody

We will keep supplying weapons to Kiev -Macron

We will take back our people and land just as we will keep destroying your puny weapons.
Atulie macron asubiri mchakato umalizike alafu ajaribu kufanya iko anachosema
 
Ameshindwa kijeshi how!??

Kwa hizo kmsq 6000 out of 120k kmsq ndio ushindi tyr!?

Ushindi wa kijeshi wa ukraine ni upi exactly!?
 
KING OF DRONES
The Russian army is increasingly using Iranian drones in Ukraine

The command of the Armed Forces of Ukraine reports attacks on its infrastructure using Mohajer-6.

Drones attacked Ukrainian targets in Odesa and Dnipropetrovsk regions today.

Let's say everything that is known about the Iranian drone:

Mohadjer-6 is a turboprop drone capable of reconnaissance and missile strikes.

Main features: operating range up to 2500 km; flight duration 24 hours; speed up to 185 km/h and its weight is 200 kg.

Built according to the "flying wings" scheme and launched from a ground launcher.

- Mohajer-6 has been produced since 2018. Drones are used in Syria and Iraq.
 
hahahaa hatari mno, mwache amobilize vjana wake kazi iko palepale
Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air support
 
Anaona ni kama mechi ya mandonga vile! Watapigana vitasa wakiwa ulingoni huku nje watu wakiendelea na ushabiki kufurahia viingikio vyao
 
Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air support
Wakati akifanya hivyo majeshi ya Ukraine yanakuwa yanamwangalia tu huku yakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]

Sio?
 
Yani unafikiri ground force itakuwa na kazi kubwa kama unavyoona ivi sasa? yani akitangaza mobilization ukraine inakuwa kifusi iyo ground force inakuwa ni ya kumalizia majeruhi tu kazi kubwa inafanywa na Air support
duh hio itakua balaa sn, so Special operation imefeli? ndio maana anamobilize?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…