Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

mkuu wao wa usalama kaenda beijing kujieleza kwa kaka yao china kuhusu wanachotaka kutangaza leo

Russian security chief visits China​

 
Putin akiona picha Kama hizi lazima tu atangaze mobilization.., jamaa wanadhalilishwa mno kwenye uwanja wa vita
Yaani alionekani kama jeshi la urusi [emoji848]
 
Bonge la point.
 
Insider channels, citing a source in the Presidential Office, report that Zelensky expects a tough reaction from the US and the EU to the referendums announced by Russia. The Office of the President demands to exclude Russia from international organizations and block its participation in the UN
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zelensky sasa ndio ataijua Russia ile yenyewe vizuri
 
Palikuwapo League of Nations ikaproove failure . SASA kama ilivotabiriwa miaka ya 90 UN haitoshi. UN ni chombo cha mabeberu . Russia atafurahi sana kutolewa UN maana wataanzisha UN yao wasiotaka ubeberu. Hii vita ya Ukraine ni mapambano dhidi ya manyonyaji Upande wa haki ukishindwa manyonyaji yatanyonya mara dufu . Ndio maana nchi zimeamua kukaza buti hasa kipindi hiki cha winter
 
Urusi kutangaza vita kamili usiku huu

Wanaume wote kuanzia 18-65 kutoruhusiwa ondoka Urusi na maeneo yote
Kwa maanaa hiyo wale mamluki wa kizungu waliokuwa wanatoa mafunzo Ukraine na pembeni ya nchi Jirani wajipange kwamba show inayokuja haitakuwa ya masihara... Ndio maana Macron anaangaika kutaka kuongea na Putin toka Jana. Ameshajua Dunia inaenda kubadilika.
 
[emoji635][emoji3575] Northern Fleet's separate shipborne fighter air regiment from air force and air defence formation holds tactical exercise dedicated to supporting naval groups in Arctic

[emoji843] Units have practiced detecting and intercepting mock enemy's airplanes, as well as conducting an air combat at various ranges.

[emoji843] The exercise was held amid complicated meteorological environment over Kola Peninsula and Sea of Barents. Experienced pilots operated with young professionals.

[emoji843] Servicemen have carried out a total of over 40 flights within the training.

#MoD #Russia
@mod_russia_en
 
pole sana kama US wenyewe wanalijua ilo kuwa ikitangazwa full war siyo US wala NATO zitakazo tia pua zao Ukraine
Hata kabla ya Vita USA alisema hatoingiza majeshi Ukraine sababu Ukraine sio member wa NATO lakini kama Urusi ikijaribu hata kurusha Bomu kwenye ardhi ya NATO member itakutana na Full might of American power,Finland na Sweden zimepeleka maombi ya kujiunga umeona Urusi akibweka?! Wakati awali aliwatisha kwamba ole wao wajiunge na NATO watakiona cha mtema kuni.

Sasa kama Ukraine anaesaidiwa visilaha vya zamani na NATO anaihenyesha Urusi ndo itakua Marekani+ NATO?! Acha utani ww....
 
Hakuna atakae mpa silaha hizo UKARAINE acheni kuota
Hayo maeneo yatajiunga na RUSSIA halaf wale kenge watakua na option ya sanction tu hakuna jambo watafanya
Hakuna NATO atakae pigana na RUSSIA moja kwa moja kisa UKRAINE naikitokea wakafanya hvyo
Watajutia maamuzi yao mpaka wanafufuliwa
Mwisho lazma UKRAINE iwe land locked hakuna namna


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshindwa kijeshi how!??

Kwa hizo kmsq 6000 out of 120k kmsq ndio ushindi tyr!?

Ushindi wa kijeshi wa ukraine ni upi exactly!?
Hahahaha 8500 km² ndani ya wiki mbili wakati Russia kazipigania tangu April!

Si ajabu nchi kama Azerbaijan inaipiga Armenia baada ya kuona udhaifu wa Urusi vitani,mpaka sasa jamaa hana air superiority na Ukraine wanazidi kuchanja mbuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…