Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
RUSSIA haijawahi kulia lia kuhusiana na silaha sio kama zeleHahaha mbona Urusi inapata silaha tokea Nje kaka,kwahiyo nayo imefanyiwa Demilitarisation?!
Au unadhan zile silaha ilizonazo Ukraine haziishi kama maji ya kinjekitile ngwale?! Demilitarisation imefanikiwa kwa 90% halafu mpaka Leo Airforce ya Ukraine inafanya kazi,Russia hana air supremacy?! Duh inafurahisha
Senior EU official to British Media Financial Times: We will not recognize the referendums that will take place in Occupied Parts of Ukraine.
Na wewe mkuu uko obsessed na kujua bwana Putinga anatangaza nini leo!? Isijeikawa anatangaza vita tu maana vita haina macho. Usiku mwema na wewe pia ila kesho ukiamka unijibu maswali yanguHii hotuba nilitamani niiangalie Leo yani tangu saa moja nasubiri ila naona uzalendo umenishinda. Ntaicheki kesho. Usiku mwema wakuu.
Kaka onyesha sehemu niliposema yamechukuliwa na Russia,Acha kujibu kwa mihemko. Nimekwambia yalikua chini ya Russia ambapo majeshi ya Russia yalikua yakipigana na Ukraine.Kama aliyachukua hii referendum yakujiunga na RUSSIA yanini kama waliisha yachukua tayari
Sehem pekee ilochukuliwa na RUSSIA ilikua CRIMEA sisi tunajua hv na DUNIA nzima inajua hv
Leta andiko kutoka chanzo chochote kinachoonesha kua RUSSIA alichukua sehem hapo UKRAINE mwaka ule ukitoa CRIMEA
Leta chanzo hata cha BBC CNN DW unachokipenda nakukiamini wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, kila mtu hp anatoa opinion yake tu,You are entitled to your own opinions
Kaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.Na wewe mkuu uko obsessed na kujua bwana Putinga anatangaza nini leo!? Isijeikawa anatangaza vita tu maana vita haina macho. Usiku mwema na wewe pia ila kesho ukiamka unijibu maswali yangu
Sawa Russia hajawahi kulia lia. Hata kule Iran hakwenda kulilia drones alienda kumsalimia Ayatollah.RUSSIA haijawahi kulia lia kuhusiana na silaha sio kama zele
Zele kila leo analiwa nahii jana kuna 600$M kaandaliwa za silaha tu hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali nimeshakujibu mahali jaribu kutafuta maana umeuliza kama mara mbiliNilichokuuliza hujakijibu na Ulichokijibu sikukuuliza.
Umesema op haiendi km ilivyopangwa, umejuaje!?
Katuweza huyu mzee, atahutubia usiku wa manane may beHii hotuba nilitamani niiangalie Leo yani tangu saa moja nasubiri ila naona uzalendo umenishinda. Ntaicheki kesho. Usiku mwema wakuu.
Kwa hiyo wewe unajua Sana kuliko warusi?unajua walikaa vikao zaidi ya 100 kabla ya vita?Kaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.
Malengo yalikua Demitarilization, Denazification (utawala wa kinazi wa Zelenksy), Ukraine isiingie NATO,kuchukua Donbas yote,nk.Mimi na wewe nani ana mihemko!? Hebu soma tena.
Umejuaje kwamba op haiendi kama ilivyopangwa!? Yaani umejuaje!?
Inaweza kuwa inaenda km ilivyopangwa au la. Mimi sijui na ndio maana sijasema chochote. Wewe umesema haiendi kama ilivyopangwa, umejuaje!?
Kama hukusema kwa mihemko basi tuambie hapa tujue umetumia vigezo gani kupima mwenendo wa op ukajua inaenda fyongo!? Ukishindwa basi ulitumia mihemko.
Kuiteka kiev, msafara wa 65km, wanajeshi wa miamvuli, kukimbizwa mkuku, kupokea kichapo, blah blah blah, hizo zote ni pettu talks achana nazo zilishajadiliwa sana huku na majibu yake yalitolewa. Haturudi nyuma
Me nimeshindwa Kaka. Putin leo kajua kutuuza.Katuweza huyu mzee, atahutubia usiku wa manane may be
Poa mkuu wacha tulaleMe nimeshindwa Kaka. Putin leo kajua kutuuza.
Nyie watu wa putin sijui huwa mnawaza nn kichwan!! Hii nn sasa?
Naelewa upo against urusi na Operation hii so utatumia maneno yoyote kuonesha ni ya hovyo na haijafanikiwa km vile Kusema kwamba Urusi ameingia kipumbafu.Kaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.
Kwa nini unasema katika hayo malengo hakuna lililotimia ukiacha hilo moja!?Malengo yalikua Demitarilization, Denazification (utawala wa kinazi wa Zelenksy), Ukraine isiingie NATO,kuchukua Donbas yote,nk.
Hayo ndo malengo ya OP. Sasa Katika hayo ukitoa la NATO lipi limetimia. Kama hakuna bhas majibu yangu niliyokujibu mwanzo yalikutosha kabisa hukupaswa kuuliza tena swali la kimhemko kama hili. Usiku mwema kwa mara nyingine tena.