Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Boss, Ukr officially imesema imeachana na mpango wake wa kujiunga NATO?Lengo kuu Ukrein isijiunge NATOβ
limefanikiwa 100%
Lengo la ziada ni kuiacha Ukrein ikiwa vipandeβ nalo limefanikiwa 80%
Una swali?
Hata hivyo haitawasaidia,mambo bado magumu. UK bado inawanoa wanajeshi wa Ukraine kwa mbinu za kisasa,ndugu yetu Putin bado anatumia tactics za WWII za kutuma limsafara kwenda vitani urefu wa kutoka Posta mpaka Bagamoyo halafu huna air cover[emoji23]Mobilization ya reserves 300,000 inaonesha mambo mabaya sana kwa adui
Italazimishwa kwa nguvuBoss, Ukr officially imesema imeachana na mpango wake wa kujiunga NATO?
Okey.
Lengo la Kwanza ilikua kuzuia Ukraine isijiunge NATO βLengo kuu Ukrein isijiunge NATOβ
limefanikiwa 100%
Lengo la ziada ni kuiacha Ukrein ikiwa vipandeβ nalo limefanikiwa 80%
Una swali?
Putin anajua west wanavyopenda kuishi na wasivyopenda miji yao kuaribiwa ndio mahana anasema nuclera weapons ziko tayari apo hakuna NATO wala EU watakao tia mguu ukraine tena ndio bye bye iyo imetoka[emoji91][emoji91][emoji91]300 Thousand soldiers are ready to go nuclear weapons are ready Shoigu [emoji91][emoji91][emoji91]
Do hapa USA atafungua military base ya kufa mtu,Yule mpiga punyeto mwiteni asome hapa, watoto wa kiume punguzeni punyeto zinaleta utindio wa ubongo.
Kwakua hizo Nuclear anazo yeye Peke yake. Urusi imekua kituko kama North Korea[emoji91][emoji91][emoji91]300 Thousand soldiers are ready to go nuclear weapons are ready Shoigu [emoji91][emoji91][emoji91]
Inashangaza kwa kweliUnless uwe unaijua original plan ya smo ndio unaweza kuhisi kwamba haiendi km ilivyopangwa!? Unayo!?
Umejuaje kwamba inavyoenda sasa hivi sivyo ilivyopangwa iende!?
Mwenye smo yake anasema inaenda km ilivyopangwa (ni yy ndio alipanga) wewe unahisi haiendi vile ilivyopangwa na hali ya kuwa hukuwepo kwenye kuipanga na wala hujui imepangwa iendeje. Ajabu hii!!!
Make it make sense