Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Warusi wenyewe wanapenda kuishi ndo maana wanataka kutoroka nchini mwaoPutin anajua west wanavyopenda kuishi na wasivyopenda miji yao kuaribiwa ndio mahana anasema nuclera weapons ziko tayari apo hakuna NATO wala EU watakao tia mguu ukraine tena ndio bye bye iyo imetoka
Kwamba M23 na Alshabab ni majesh!!Wale ndio wanajesh wenyewe. Unampa amred militia BTR,UAVs,tanks ? Anajua kuzitumiaje?
Hivuo vyote vilihitaj wanajeshi wazoefu.
Kaka hapa utaambiwa ni propagandaDrones za Urusi zimejaza Western parts. Sijui hizi ni CanonView attachment 2363390View attachment 2363391
Na hapo hatukuhesabu zile za WagnerHahahaha hata kuongopa hawajui,Uliingiza Askari 200k vitani,wakafa 6000. Halafu eti unafanya partial mobilization kuita reserve iingie vitani!!! Putin kawa kituko. Sasa naanza kuamini zile data za UK intelligence kwamba wanajeshi 80,000 wa Urusi wameuawa
Ngoja nikupe mfano hai.America inataka Russia isambaratike.Hivi unategemea Marekani na allies wake waseme au wafanye lolote la kulijenga Russia kweli?The answer is no.This means that taarifa yeyote kuhusu Russia ya kweli,unaweza kuipata tu kwenye sources ambazo hazina affiliation na Russia au Marekani or Europe.Ila,naomba niseme hivi, sources zenye affiliation na Russia au hata Russia yenyewe tends to be more authentic,nimezi cross-check mara nyingi.Sasa ndugu yangu, kwa kuwa wewe sio so dumb kama sisi, wewe source yako unayoiamini ni ipi? Hebu iweke hapa ili na sisi tunaoshindwa kuelewa vitu vidogo vidogo tufuatilie!
@Pietro[emoji635][emoji298]Russian TV channels are now showing an interview with Russian Defense Minister Shoigu.
He said that "Russia is at war with the collective West," since Ukraine itself "has long since run out of weapons."
HaijafanikiwaLengo la Kwanza ilikua kuzuia Ukraine isijiunge NATO ✓
La pili kufanya Demilitarisation X
La tatu Denazification X
La nne kuitwaa Donbass na Luhansk X
Kati ya hayo lililofanikiwa hapo ni moja tu,kiufupi special operation imefeli ndo maana Putin ana mobilize
Angejua watu washajiandaa kwa huo ukichaa wake, hata asingetusumbuaKwakua hizo Nuclear anazo yeye Peke yake. Urusi imekua kituko kama North Korea
Pole pro NATO. Utaijua Russia upende usipende.Haijafanikiwa
Ukraine inahitaji mambo mengi ili iweze jiunga NATO.
Huyu mdudu ndo alikuwa anawasaidia kufanya mapping,Drones za Urusi zimejaza Western parts. Sijui hizi ni CanonView attachment 2363390View attachment 2363391
Ni huzuni kwa kweliKaka me ni mmoja wa watu ambae namfatilia Sana Putin na mara nyingi hua sikosi hotuba zake hata interview zake nyingi hua natazama hata ikiwa ndefu kiasi gani upstairs yupo vizuri Sana Ila kwenye hii vita kaingia kipumbafu sijui nani aliemshauri.