Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hahahaha Kaka data za Shoigu kwamba wamepoteza Askari 6000 tu ndo unaziamini?! Sasa kama wamepoteza Askari 6000 kwanini wahitaji Askari wengine laki tatu?! Akili kichwani mwako.@Pietro
Jana kabla hata sijajua wataongea nini huko CREMLIN nilikueleza kwamba mchakato wa demilitarization uliishafanikiwa kwa zaidi ya 90%
Leo naona shoigu mwenyewe kapita nliposemea jana
Hem ngojea tuone baada ya kura mambo yataendaje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kila nikiona comment zako nakumbuka Kyiv inachukuliwa wakati wowote kuanzia sasa hiyo ni Feb 2022Mji wa kupyansky ambao urusi ilijiondoa sasa urusi imeshaurudia kwa 50%
huko kharkiv pia urusi imeshauteka mji wa kobuanks kikamilifu
Hakuna kipya hapo inapotokea Vita au kitisho kujiunga na jeshi Ni swala la lazima.jana bunge la urusi lilipitisha sheria kali dhidi ya wale wataokataa kujiunga na jeshi watakapoitwa, nchi ngumu sn
Sasa ngoja tuone kama atathubutu jaribu tungua hata satellite moja.mnatumia civilian satelites kuichunguza Russia na kambi zao kwakuwa mnajua aziwezi kudunguliwa sasa show rasmi ya putin ndio inaanza tuone kama kuna kenge ataweka mguu wake ukraine tena
Lete ushahidi..mwisho unaweza kusema hata AK 47 inatoka Western Kwa mahaba ya kimakonde uliyonayoDrones za Urusi zimejaza Western parts. Sijui hizi ni CanonView attachment 2363390View attachment 2363391
Wanakwenda kula kichapo tena kama kawaida.Sasa hivi vijana wa Zelensiky morali ipo juu,sina shaka nao kabisa.Nakaa kwa kutulia nikisubir matunda ya hii wanayoita mobilization [emoji2]
Wakati pia kuna T-90M tank ambayo ndiyo latest tank kwa Russia imekamatwa na ina parts kibao za makampuni ya Ufaransa na Ujerumani. Tena parts zenyewe sio modernKaka hapa utaambiwa ni propaganda
Mimi ninavyoelewa partial mobilization anamaanishaAnaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kujaribu japo hujatoa jibu la maana .Nasubiri majibu kutoka kwa niliyemuuliza,najua yeye ana upeo mpana sana wa kujibu haya maswali .Lengo kuu Ukrein isijiunge NATO✓
limefanikiwa 100%
Lengo la ziada ni kuiacha Ukrein ikiwa vipande✓ nalo limefanikiwa 80%
Una swali?
Hii ni aina mpya kuonekana hivyo haijatumika sana. Zinazofanya mapping sanasana ni Zara na aina nyingine nimeisahau. Na zinafanya artillery coordination ila nazo aina moja ina lenzi mbili za Sony. Wanaagiza lenzi kama spare parts za civilian camera na ndio wanafunga kwenye drone.Huyu mdudu ndo alikuwa anawasaidia kufanya mapping,
Mkuu sijatulia nikaisoma. Ingekuwa full mobilization hapa ningechangia, ila kwa kuwa ni partial mobilization hapa sijajua terms na conditions zake. Inabidi nikachimbe kwanza hata Duma sijajua imeweka sheria gani zinazoendana na hiliAnaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nlikwambia naleo nakwambia tenaHahahaha Kaka data za Shoigu kwamba wamepoteza Askari 6000 tu ndo unaziamini?! Sasa kama wamepoteza Askari 6000 kwanini wahitaji Askari wengine laki tatu?! Akili kichwani mwako.
Kama Demilitarisation imefanikiwa,inakuaje Ukraine inazidi kusonga mbele maeneo yote kuanzia Kharkiv, Luhansk,na Kherson?!
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hizo anti satellite missiles anazo za kutosha?mnatumia civilian satelites kuichunguza Russia na kambi zao kwakuwa mnajua aziwezi kudunguliwa sasa show rasmi ya putin ndio inaanza tuone kama kuna kenge ataweka mguu wake ukraine tena
Ila UKRAINE iliotangaza kwamba walio na umri qa kuanzia miaka 18 wasiondoke waKati SVO inaanza haikua nchi ngumu MKUU !!!??jana bunge la urusi lilipitisha sheria kali dhidi ya wale wataokataa kujiunga na jeshi watakapoitwa, nchi ngumu sn
Ahsante MKUUMimi ninavyoelewa partial mobilization anamaanisha
Wale waliowahi kuserve jeshini,askari wa akiba,watu wenye knowledge kuhusu jeshi,wote hao utahitajika kwenda vitani ndo maana Bunge la Urusi Jana wamepitisha Sheria kwamba ukihitajika kwenda vitani lazima uende ukikataa unaenda jela. Kwahiyo chaguo ni lako VITANI au JELA.
Ahsante MKUU kwamaana kwahapo unapopajuaMkuu sijatulia nikaisoma. Ingekuwa full mobilization hapa ningechangia, ila kwa kuwa ni partial mobilization hapa sijajua terms na conditions zake. Inabidi nikachimbe kwanza hata Duma sijajua imeweka sheria gani zinazoendana na hili