Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
US ilitolewa jasho na Somalia, Vietnam, Afghanistan.Vita ya Ukraine imemtoa jasho.
Ataweza ingia vita na USA?
Sitaki kwawewe MKUU nataka acc na hio sheria iliopitishwaKwa Mimi naweza sema jamaa kaamua kuingia vitani mazima.
Kwahiyo ni bora ukafie vitani?[emoji38]Ukikubali gerezani, waenda umia zaidi
Kama nakumbuka vizuri ulisema Demilitarisation imefanikiwa kwa 90%,sasa ukiangalia Kwa mwenendo wa Vita hivi sasa hilo unaona ni sahihi?!Mwanzo umeelezea vyema kati ukaelezea vyema ila ukaja kuharibu mwisho MKUU
Hakuna sehem nimesema ama RUSSIA imesema kua demilitatization imefanikiwa kwa 100%
hio sehem hakuna na haitakuja kutokea popote pale DUNIANI labda vita iishe kabisaa ama kue na makubaliano maalum yapande zote
Hao wanarusha ndege wanashambulia maeneo sababu bado jeshi wanalo ila sio kama ilivyokua mwezi mmoja ama miwili baada ya SVO
Jamaa wanategemea pakubwa sana msaada na bado wanapotea na ndio maana sehem kama ZPP mhim sana ile jamaa wanaishia kuiangalia tu sio kama hawaitaki ila uwezo hawana
Ahsante MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho anachokiita Putin hata kwenye katiba ya Russia hamna kitu inaitwa Partial mobilization ndo maana experts wengi wanasubiri kuona nini kitajiri kwenye hii partial mobilization anayoitaka Putin.Sitaki kwawewe MKUU nataka acc na hio sheria iliopitishwa
Tukisemea hisia zetu tunapoteza lengo namaana MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wewe si ulishapost humu matokeo ya Kura?! Au uliokota fake news?![emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Residents of the Kherson region want to hold a referendum as soon as possible to get guarantees of the region's entry into Russia - @rian_ru with reference to Kirill Stremousov.
Subscribe to @Sputnik
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kinachoonyesha kuwa hiyo ni western part ni kipi?Drones za Urusi zimejaza Western parts. Sijui hizi ni CanonView attachment 2363390View attachment 2363391
Ni sawa na uchaguzi, Ufe kwa kuzamishwa au Uzame mwemyeweKwahiyo ni bora ukafie vitani?[emoji38]
Putin anajua west wanavyopenda kuishi na wasivyopenda miji yao kuaribiwa ndio mahana anasema nuclera weapons ziko tayari apo hakuna NATO wala EU watakao tia mguu ukraine tena ndio bye bye iyo imetoka
Anaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin calling up reservists indicates things are not going well on his side🤔Mobilization ya reserves 300,000 inaonesha mambo mabaya sana kwa adui