Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin calling up reservists indicates things are not going well on his side[emoji848]
The best way is to withdraw his forces to avoid more deaths,casualties and losses!
Sio hivo anataka kutimiza lengo lake la kulinda mipaka mipya ya maeneo mapya ya Russia baada ya kura ya maoni referendum kwenye hayo majimbo 4, ambayo ni 15% ya nchi ya Ukuraini.....na wa kiavamia awe tayari kuwajibu ipasavyo hiyo inaitwa pre emptying the enemy
 

EU & NATO ni kichaka cha US
 
ondoa Nuke out of the equation, haitakuja kutumika na yeyote, labda tactical nuke,......

pia hilo neno mashoga limefanya mchango wako uonekane wa kitoto, umeongea mambo ya msingi sana tho!
 
Iran alivyo lipua kambi za US alifanya nini??
Iran alimuua Nani kule Iraq zaidi Makombora yake yalitua sehemu za kutupia taka.

Marekani walimuua Qaseim suileman powerful man in Iran. Kwa Marekani ni sawa na General Mark.A Milley chairman of the joint Chiefs of Staff halafu unakuja kusema ni sawa na kurusha Makombora sehemu za wazi tena unawapa taarifa Maadui eti saa fulani nitarusha Makombora?!
 
If everything was going according to plan… then why mobilise?
Mobilization inafanyika baada ya kutangazwa kwa referendum. Thats is to say Russia wanategemea lolote linaweza kutokea during or after referendums. Staying ready so that you won't have to get ready! Strategy.

Hiyo mikoa ikipiga kura kurudi urusi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Ukraine. They can do anything out of pain. Zaporozhie, lpr, dpr, kherson. Ndio maana urusi anajiandaa kbs.

Unaweza kunipa shule labda kwa uelewa wako wa haya mambo how is Mobilization solves the problem of operation going South!?
 
US gani unawazungumzia mkuu hawahwa waliokimbia Syria na Vene??
USA kakimbia Syria?! Unaishi dunia gani shekhe?!

Syrian Oil Minister Bassam Toma'a has revealed that around 90 per cent of Syrian oil is under the control of US forces, Aram News Network reported on Friday.

"The Americans and their followers are acting like pirates as they are targeting the Syrian oil wealth and oil supplies," the Syrian regime minister asserted.

The minister added: "There is a promising future for the oil industry in the [Syrian] waters. We need tranquillity and stable logistic circumstances."

He stated that the total direct and indirect losses of the Syrian oil sector had exceeded $92 billion, noting that what happened in Syria has never previously occurred regarding the exploitation of wealth and supplies.

US controls 90% of Syria oil
 

Vikwazo vilivyobaki ni vya kuongea ila tukija kwenye uhalisia hakuna
 
Marekani aongeze tu idadi ya HIMARS Ukraine . Huo moto warusi watakimbia tu hakuna namna🤔
 

Wameamua kukimbilia UN kweli Russia ni DUDE kubwa by manara voice
 
Angalia waukreini wanavyochakazwa kama kubangua karanga vile 😂😂😂
Your browser is not able to display this video.




⚡️🇷🇺🇺🇦⚔️ A failed Ukrop Offensive⚡️

Footage of an attempted counter-offensive by the Ukrainian armed forces at #Peski.

According to preliminary reports, Russian forces destroyed over a hundred personnel and a lot of Ukrainian equipment.


t.me/Slavyangrad /@vorposte/
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
Tofauti ni kwamba vita Kagera Iddi Amini ndiye aliyevamia wakati kwa huko Russia sasa wao ndio wavamizi kwenye nchi nyingine. Raia wenye akili watakataa tu kufanywa cannon fodder katika uvamizi ulioanzishwa kwa mawazo ya mtu mmoja tu mwenye akili zilizogota karne ya 17 ya enzi za imperial wars za kina Tsar.
 
Swali la kujiuliza kama Special operation was going according to plan then why mobilize?! Hili swali ndo ajiulize ndugu yetu triga ambae naona mpk sasa anakaza ubongo kwamba Special operation haijafeli
Wewe ndio unaekaza shingo kwamba operation imefeli!? How, husemi!? Mimi sijasema imefeli au haijafeli, how should i know!? Wewe unayekomaa imefeli hutaki kutuonesha umejuaje imefeli for a fact! Kukutaka uoneshe ni kwa vipi umejua kuna kufeli haimaanishi ndio nimesema haijafeli. Big difference.

Putin na waandamizi wa jeshi lake wanasema mambo yanakwenda according to the plan. Wewe unasema hapana operation imeenda/inaenda south. How do you know!? Unawezaje kutuambia kwa uhakika plan ya Putin ilikuwa sio kama mambo yanavyoenda sasa hv!? Unaijua plan ya putin ni ipi!?

Kama huijui basi kauli yako au yangu kuhusu kufaulu au kufeli kwa operation inakuwa ni opinions tu ila ya Putin maana yeye ndio anajua plan yake ilikuwaje na sasa mambo yakoje.

Umeona sasa kwamba wewe ndio unaekaza shingo.
 
Ignoring Russia, the US UAV flew close to 65 kilometres from the airspace of Crimea.

The RQ-4 Global Hawk drone is said to have taken off around 6 a.m. from Sigonella airbase on the Italian island of Sicily, then headed for the Black Sea. The mission was to scout the Crimean peninsula’s middle and western sections.

As previously stated, the US drone remained at the airspace boundary with the Crimean peninsula for more than 5 hours, raising severe worries in the aftermath of Ukraine’s threats against Crimea.

In the past, the presence of the US strategic drone RQ-4 Global Hawk was linked to the gathering of information about the operations of the Russian air defence system as well as the detection of Russian military activity in Crimea.

Some views contend that the drone attack on Crimea is further proof that the North Atlantic Treaty Organization (NATO) planes flew deliberately.
 
Nimeishia hapo kwenye Putin na waandimizi wake wanasema....

Kwahiyo na sisi tuamini kila kitu Zelenksy anachosema bila kuangalia uhalisia?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…