Habari zote unazoleta humu zinaelemea upande mmoja sasa kwanini unataka wenzio tulete independent kila mtu alete kwenye source anayojua tu kikubwa isiwe ya telegram groups kama zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Source dah,ya mashaka sana.
Duu ameacha silaha na vifaru latest kama T90 as war strategy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpo kwenye dunia ya peke yenu kweli kweli,sijui na ninyi ni cocaine pushers Kama Zelensky!Yaani hivyo vieneo kiduchu Ukraine walivyorudisha,tena Warusi wameviachia as a war strategy, ndivyo vimewatia kichaa mtadhani na ninyi mpo kwenye front line.Zelensky asubiri,vita kamili,vita ilikuwa bado,sasa wababe wanakuja.
Mkuu niwe nalo ama nisiwe nalo hiyo haikuwa hoja ya msingi. Nafkiri umefuatilia tangu huko nyuma na unaijua hoja ya msingi ni ipi.Mheshimiwa triga vipi una la kupinga hapa?
Putin: We lost nothing, everything is going according to planMkuu niwe nalo ama nisiwe nalo hiyo haikuwa hoja ya msingi. Nafkiri umefuatilia tangu huko nyuma na unaijua hoja ya msingi ni ipi.
Labda na wewe umsaidie. Amejuaje kuwa op inavyoenda hivi sio according to plan km ilivyosemwa!?
Hebu soma hii habari🤔Kama umemsikiliza vizuri Mwamba Putin, utagundua kwamba amechufukwa.
Kwanza kuna kura za maoni zinapigwa kwenye maeneo waliyochukua wiki hii, mobilisation inamaana kwamba Ukraine atakapozigusa maeneo hayo kwa namna yoyote ile atakua amevamia mipaka ya Urusi, ili kujihakikishia usalama wake, Putin anatarajia kuwapeleka wanajeshi zaidi ya laki tatu kulinda hayo maeneo.
Putin kwa mara ya kwanza ameongea kwa ukali na amedhamiria kuifanya Ulaya na Marekani jambo lolote kwa sasa. Ukisikiliza mashoga wameufyata badala ya kumfata Putin uwanja wa vita kama walivyotaka, wamekimbilia UN eti kuomba UN iitenge Urusi, jambo ambalo haliwezekani na hata likifanyika, Urusi itakuwa na uhuru zaidi ya kugawa dozi bila kumsikiliza mtu yeyote. Kumbuka Guteres anaendelea kuwasiliana na Putin kwa ukaribu mkubwa kwasababu UN na hao mashoga wanajua uwezo wa Urusi.
Jambo la pili ni mashoga kukimbilia kusema hawatayatambua majimbo yatatayo jitenga na Ukraine.
Mobilisation hivyo ina maana kwa muktadha wa sasa, Urusi itakuwa na uwezo mkubwa wa wanajeshi walioko tayari na mafunzo kwa kazi iliyoko mbele yetu.
Nuke inaweza kutumika muda wowote endapo NATO na West wakileta fyongo.
Kiuchumi, Urusi inaua bara la Ulaya pia kwa sasa wako hoi.
Zelensiky angekuwa mvuta bangi asingemfanya Putin akaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama nguchiroMpo kwenye dunia ya peke yenu kweli kweli,sijui na ninyi ni cocaine pushers Kama Zelensky!Yaani hivyo vieneo kiduchu Ukraine walivyorudisha,tena Warusi wameviachia as a war strategy, ndivyo vimewatia kichaa mtadhani na ninyi mpo kwenye front line.Zelensky asubiri,vita kamili,vita ilikuwa bado,sasa wababe wanakuja.
Umawauliza wangapi ndugu???Unaishi Moscow mtaa upi??Wanjeshi wa Somalia, Vietnam na Taliban walikuwa wanaelewa wanachokipigania. Hawa wa Kirusi wa sasa ukiwauliza kwa nini wameivamia Ukraine hata hawana jibu, watabung'aa tu, hawana walijualo.
Amechachawa!View attachment 2363701
"Putin's speech is an escalation"
Russia will not be able to win in a nuclear conflict — NATO Secretary General
Russian troops are poorly equipped, they lack proper command and control
Putin miscalculated regarding Ukraine, he made a big mistake-Jens Stoltenberg
Hawajafeli Bali wanataka kulinda vizuri mikoa Yao mipyatuliwambia anatangaza mobilization huyu wengine wakawa busy kubisha, the swo called special operaton imefeli, the so called great power is moblizing ili tu kupigana na ukraine
Itakua imejimilikisha the biggest sources of nuclear power in Europe, lazima Ukuraini industrial power iwe dependant on Russian mercy.[emoji635] What will Russia get after the referendum?
[emoji3503]Russia will add 5 to 6 million new citizens.
[emoji3503]In the future, when refugees begin to return, the total population of the new regions may grow to 8-9 million people.
The area of the liberated territories where the referendums will be held is about 113,000 square kilometers.
[emoji3503]In terms of area, this is larger than Bulgaria, Cuba or South Korea.
[emoji3503]The population is larger than Belgium, Belarus, Israel or Austria.
USA Vita hawezi wanapigwa na waafghanistan na wavietnam watawaweza warusi?kuna silaha maalum Kwa sababu ya USA.Vita ya Ukraine imemtoa jasho.
Ataweza ingia vita na USA?
Putin: We lost nothing, everything is going according to plan
Also Putin: partial mobilization [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]