Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 
russia atauza kupitia mgongo wa venezuela
 
Kama unasubiri new world order itakayoongozwa na Russia utasubiri Sana Kaka mpaka vitukuu vyako hawataiona. Kama alishindwa wakati wa USSR iliyokua na nguvu zaidi ndo ataweza kwa hii Russia ya Leo dhaifu!?. New order haiandikwi Kwa wingi wa silaha,Bali Uchumi na influence na kwenye hilo Russia kafeli atabaki kua chawa China,huoni hivi sasa mpaka majirani zake wanamkimbia Mfano mzuri ni Kazakhstan.
 
Na ndo maana Marekani anakuwa na kiburi sana, kwani anajua kila kitu
 
Emmanuel Macron declares that the European Union must put even more pressure on Putin to end this war.

The White House declares that the Russians have violated all the basic rights of the United Nations, Biden also wants the war to end on "fair" terms.
 
Naona Rais wa marekani analalamika huko UN. Kipi kimemsibi!? Gear zote haziingii
Biden amebadilisha hotuba yake baada ya kusikiliza hotuba ya Putin.

Na azungumza kwa kuashiria kwamba Marekani inazingatia hotuba hio ya Putin.

Kisha azungumzia kuhusu nchi moja kutovamia nchi zingine bila kuzingatia kanuni za UN au UN charter!!

Najiuliza Marekani aliivamia Iraq na NATO wakaivamia Libya bila kufuata kanuni za UN?

Hapa najiuliza je, Biden asema hii ni historia mpya?
 
Kumbe na wewe upo huko, pole!
 
Russia releases 10 mercenaries captured in Ukraine through the mediation of the Crown Prince of Saudi Arabia. Among them are citizens of the United States, Great Britain, Sweden, Croatia and Morocco, Reuters reports citing a representative of Saudi Arabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…