LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wajiangalie kisije kikawakuta kama kilichowakuta waasi wa Syria katika mji wa Aleppo, Aleppo warusi walipapiga mabomu mpaka pakawa panaonekana kama vile wakandalasi wameweka vifusi kwa ajili ya kuanza ujenzi
 
Msaada wa NATO kwa Ukraine haujatangazwa?
 
Yaan mm nimekua upande aa putin kwa kujali wamakonde wenzetu ila hao ukraine wapigwe mpaka wachakae kwa ubaguzi walio uonyesha ...sina dua nzuri kwa mbaguzi
 
Ukrainian servicemen blew up the railway bridge with Pridnestrovie today.
Railway traffic is now impossible

Your browser is not able to display this video.
 
What's the source of your news?
 
Brother Pumzika Pata kawaha kidogo, Nitalipia snacks
Thanks ...binafsi huwa nashangazwa na namna baadhi ya watu wanavyopumbazwa na USA.....Marekani imeshambulia nchi kadhaa duniani ...ukiachama hizo nilizozitaja awali Kuna nyingine Kama Grenada, Bolivia,Liberia na nyinginezo nyingi...kiongozi wa Kwanza wa Kongo huru, Patrice Lumumba aliuawa kutokana na njama za CIA...huko Vietnam Marekani ilikuwa mabomu hatsri ya Napalm yanayoungsza vibaya ngozi Kama sulphuric acid...Marekani ndilo taifa pekee duniani ambalo limewahi kutumia silaha za nyuklia huko Japan kwenye Vita vya pili vya dunia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki..maelfu kwa maelfu ya watu waliuawa kwenye miji hiyo..na mpaka leo madhara yake bado yapo...Sasa unashangaa unafiki wa nchi ya Marekani inavyojifanya eti inapinga silaha za maangamizi...stupid Americans .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…