Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


hahahahaha, kwahiyo unakubaliana na nani? Modi, Xi, Biden ama Zelensky?

Wabongo hamuishi burudani
 
Russia ametumia only $6bn kwenye weaponry, while msaada wa marekani pekee kwenye silaha kwa ukraine ni zaidi ya $17bn so far. Iyo ni nje ya value ya weapons from other NATO members na Ukraine yenyewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatia aibu kuwaza kwenu. Najua ni mbinu ya kuchafua uzi ili watu wasipate ukweli. Hata hivyo, ki aina tutakuwa tunapenyeza kwa ustadi mkubwa habari ya kile kina endelea Ukraine. Watu lazima wapate uondo.

Mjiandae kwa stresses za kupata habari za ukweli msizozipenda.

Tarehe 23-27/09/2022 Donbass na wenzake wanaamua hatima ya uwepo wao duniani kama raia huru na wenye furaha.
 
Zelensk mavi yameanza kugonga chupi huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635]View attachment 2364041

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yamegonga chupi wapi hapo Mkuu,au Mimi ndo sijaelewa hiyo statement yake?!

Mwenzako anatafuta assurance Kwanza Kwa nuclear state aendelee na kuichakaza Urusi kwenye battlefield wewe unasema mavi yanagonga chupi[emoji23][emoji23]
 

Al-Arabiya reports on the details of the transfer 10 foreigners captured in Ukraine to Saudi Arabia by Russia.

It is known that the Russians handed over:
  • five Britons
  • a Moroccan
  • a Swede
  • one Croat and
  • two Americans

The plane with them has already landed in an Arab country.

Some of them were "sentenced" to death in the "DPR".

Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman was the mediator in the negotiations on foreigners from the Armed Forces of Ukraine. It is noted that he communicated directly with Moscow and Kiev.
 

President Petro met with NATO after sending a strong blow to the organisation

After President Gustavo Petro sent a strong blow to the North Atlantic Treaty Organisation (NATO) in his speech at the United Nations General Assembly, the head of state held a high-level meeting with the Secretary General of the multilateral organisation, Jens Stoltenberg.
Petro, in his statement to the UN plenary, was sharp and asked the following question before the eyes of the world: what is the point of NATO and empires, if what is coming is the end of intelligence? It is known that the meeting was cordial between the two sides.
 
β€œIn addition to the necessary mobilization, according to my information, the army has worked on the mistakes and now we will start to fight for real.

Private Gubarev is satisfied!
Glory to Russia!" - Pavel Gubarev, former "People's Governor" of Donbass
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tunapoelekea kuna katisha tamaa kabisa.hii vita kama itaendelea miezi 6 mbele watu watakuwa wanakula mlo mmoja kwa siku
NATO wamesema hawatambui hizo referendum na wataendelea kuipa silaha Ukraine.

Cuban missile crisis part 2. Mungu tunusuru[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…