Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Narudia tena NATO awawezi na kuthubutu ku engage vita yoyote ambayo Russia yupo ndani wanajua madhara yake uchumi wao wameunenga kwa jasho na damu kuingilia vita na russia ni kurudishwa zama za mawe za mwanzo yani miji yao yote itakuwa vifusi
 
Kwa ukumbusho tu...hasa vijana wanaoshabikia wasivyovijua!

Hapo zamani tulikuwa na USA na pia tulikuwa na USSR!
Lakini hivi sasa ingawa bado tuna USA hatuna USSR tuna RUSSIA!
Je kulitokea nini?


Uchumi wa RUSSIA haufikii ule wa baadhi ya majimbo ya USA !
Halafu eti tunalinganisha mataifa haya mawili, kwa lipi lakini?
Aliyekuzidi kakuzidi!

Matajiri
wa Russia waliwekeza USA
Vipanga
wa Russia walihamia USA
Kwa nini lakini?
 

I love the way Russia and China are handling the so called America and it’s allies dominance.
 
Takataka zinatunguliwa kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani wewe dah,so dumb!Sasa US na NATO wawapatie Ukraine Wanajeshi wa nini na Ukraine wanao.What they are lacking is what the West offers!Na mbona Ukraine wameweka hili wazi.
 


Russian Foreign Minister Sergei Lavrov met with Central African Republic President Faustin-Archange Touadéra

▪️The head of Russian diplomacy and Touadéra discussed bilateral cooperation.

▪️The meeting took place on the sidelines of the 77th session of the UN General Assembly in New York
 
Of the 55 Russians who returned from captivity today in prisoner exchange:
2 senior officers (lieutenant colonel and major)
6 junior officers
4 warrant officers
40 privates and sergeants
2 servicemen of the NM DPR
1 serviceman of NM LNR

Oya si tulikubaliana Russia bado hajaanza kutumia wanajeshi wake? Hawa wametoka wapi au walienda kutembea tu?😂😂 Mathanzua
 
Drones za mobilization war zimeshatunguliwa waje na operation ingine hii ishafeli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa ufupi.

Ilimchukua USA miaka ishirini kupigana Vietnam, wengi mpaka leo hawajui USA alikuwa anataka nini kwenye hio vita. Kwa ufupi alichokuwa anataka ni kutetea maslahi mapana ya wananchi wema wa Vietnam kama alivyofanya south Korea. Unakuta lijitu linacheka Marekani kutotimiza agenda zake Vietnam, laiti kama angejua ni bithaa, gadget za aina ngapi tumekosa: another Samsung, or LG dunia imekosa asingefurahia madudu yanayofanywa na mwadamu kwa kigezo cha sera za Ujamaa.

Je Urusi yupo tayari kupigana mda huo bila kutumia nukes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…