Wewe ni Nani hadi uwapangie Rusia jinsi ya kupigana?Kama tunao leta ni uongo kwanini Putin anachukua raia kwanguvu kuwapele front wakafe si anajeshi kubwa apambane una jesh la watu laki 9 na ziada ya 1.2m sasa raia wa nini kwani hilo jeshi limeisha mapaka uchukue wafungwa na raia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonesha bado Ukraine ana bargaining power, na inaonekana kule Azov waliojisalimisha ni wachache ndo maana viongozi wakubwa wameachiwaHawa makamanda watano ndio wanaenda Uturuki mpaka vita iishe?
Wakati Ukraine imetaja idadi ya makamanda wake wa Azov walioachiwa, Urusi imetaja jina moja tu la jamaa shabiki wa Putin. Hasira zimewajaa kwenye mitandao yao uko, Ukraine inakomboa patriots wanyonge ila Putin anakomboa chawa wake
Kama hamjui mambo nyamazeni...Marekani ilitumia silaha za sumu huko Vietnam....na kabla ya hapo ndilo taifa pekee lililowahi kutumia silaha za nyuklia....USA haisafishiki kwa maovu..Na Kwa wakati huo wote hatukuwahi sikia USA anatishia Mtu nuclear, lakini Putin kapigana miezi 7 tu kaona pumzi inakata anatishia Nuclear [emoji38]
[emoji2407]🇨[emoji1177]🇺"The United Nations belongs to all of us. Russia is a permanent member of the Security Council and should continue to play its important role in the UN. No one can deprive Russiaa of this right," Chinese Foreign Ministry Wang Yi said.
Duh! Watawala wote uingereza wanakuja wakiwa wa moto sana juu ya huu mgogoroPutin kazi unayo....
British Prime Minister, Liz Truss, tweeted, “We will not rest until Ukraine prevails”, as she spoke at the UN General Assembly on Wednesday.
In her speech, Truss said: “new UK weapons are arriving in Ukraine as I speak.”
Hapo mnabishana bure Tu,hivi mnadhani Vita vikitokea hayo masilaha yote yatatumika?! La Hasha!!! Zitatumika chache tu na mchezo utakua umekamilika,idadi ya silaha za nyuklia imepungua Kwa zaidi ya 90% tangu WWII lakini zilizopo zinatosha kuiangamiza dunia nzima mara tano zaidi sababu zimeboreshwa na zina nguvu zaidi kushinda za miaka iliyopita.Jumlisha Sasa silaha za NATOView attachment 2364579
Sure upo sawaHapo mnabishana bure Tu,hivi mnadhani Vita vikitokea hayo masilaha yote yatatumika?! La Hasha!!! Zitatumika chache tu na mchezo utakua umekamilika,idadi ya silaha za nyuklia imepungua Kwa zaidi ya 90% tangu WWII lakini zilizopo zinatosha kuiangamiza dunia nzima mara tano zaidi sababu zimeboreshwa na zina nguvu zaidi kushinda za miaka iliyopita.
Na huo ndio ukweli.., kiduku ana mabom yasiyozidi 20 lakini anaivimbia dunia,Hapo mnabishana bure Tu,hivi mnadhani Vita vikitokea hayo masilaha yote yatatumika?! La Hasha!!! Zitatumika chache tu na mchezo utakua umekamilika,idadi ya silaha za nyuklia imepungua Kwa zaidi ya 90% tangu WWII lakini zilizopo zinatosha kuiangamiza dunia nzima mara tano zaidi sababu zimeboreshwa na zina nguvu zaidi kushinda za miaka iliyopita.
Familia yako ni wapiga puli, unaweza hata kumuingilia mwanamke wewe? Sembuse mwanaume? Babako alizaa ng'ombe.Vua chupi, ishikilie mkononi nakuja kukupaka mafuta nikikuelekeza taratibu hii inahusiana na nini. Cha msingi usipige kelele