Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya wale wa nyuklia mpo wapi

[emoji298]️ UK intelligence: Ukraine's military assault Lyman, secure bridgeheads on east bank of Oskil.

Ukraine has secured bridgeheads on the east bank of the Oskil River, which Russian troops tried to integrate into "a consolidated defensive line," the U.K. Defense Ministry reported.

In Donetsk Oblast, Ukraine's forces assault the town of Lyman, which Russia captured in May.

"Ukraine is now putting pressure on territory Russia considers essential to its war aims," wrote the ministry.
 
Napenda sana Ukraine wanavyotembeza kichapo..,Hawa jamaa [emoji848] huenda hawana hata habari ya referendum na mobilization

Wao ni mwendo mdundo tu,
 
Mkuu Wanaweka miti ya plastic.
 
Nawaona mnavyo lishana pumba tu.

Anaye fikiria kuwa Marekani yupo tiyari kupigana vita vya kinyukilia na Urusi eti kwa sababu ya Ukraine, kama sio kichaa basi akili yake imejaa mihemko.

Yaan Urusi idondoshe atomic Kiev na kuiangamiza alafu Marekani ajibu kwa kudondosha atomic kwenye jiji la sochi? haaa kama kuna mtu ana fikra za namna hiyo basi kuanzia sasa ajitathimini iwapo kichwa chake kiko sawa au la.

Iwapo Urusi ikiamuwa kutumia silaha za nyukilia dhidi ya Ukraine hakuna kitu Marekani atafanya na hawezi thubutu na kijitoa akili kiasi hicho neva.

Ila taadhari kwa Urusi ikifanya hivyo ijiandae kulipa gharama kubwa kisiasa na kidpromasia.

Kuhusu Ni nani ataibuka mshindi kwenye vita inayo endelea ,muda ndio utaamuwa kila kitu maana muda ni hakimu wa haki.
 
Katika fatilia fatilia zangu naona vyombo vyote ama vingi vya kimagharibi vimeukalia kimya mchakato wa halali kabisa unaofanya UKRAINE wa upigwaji kura za maoni yakujiunga na shirikisho la URUSI
Ila licha ya kulikalia kimya suala hilo kwenye vyombo vyengine wanatoa ripoti na wanasema mchakato waendele vyema ndania jamhuri za LPR na DPR pia nandani ya UKRAINE kwenyewe kama KHERSON na ZAPORINZHE
Kuendelea kwa huu mchakato wa kidemokrasia huko wanasema kutasababisha 15% ya ardhi ya UKRAINE kujiunga na URUSI
Pia wanasema kwamba hayo maeneo yanayojiteng kama yatafanikiwa itakua pigo kubwa maana inachangia 80%-85% ya pato jumla la UKRAINE (GDP)
Kwamaana maeneo hayo ndio kunamashamba makubwa ya ngano na mazao mengine ambayo yanachangia pato la UKRAINE kwa asilimia kubwa
Pia ukanda wa jamhuri za Luhansk na Donestk ambazo kwapamoja zinaunda (Don bass) hizi zina maeneo makubwa ya viwanda vikubwa vikubwa
Ila inashangaza sana kuona mataifa yanayopigia upatu demokrasia hasa ya western wakiongozwa n US kupuuzilia mbali haki hii yakimsingi naya kimataifa inayoendelea huko kwenye jamhuri hizo mbili na UKRAINE
Lakini licha ya yote yanayoendelea tunaamini pakubwa sana taifa la RUSSIA kwaushirikiano wa jamhuri za LPR na DPR zitashirikiana na maeneo yanayotaka kujitenga na UKRAINE ya KHERSON na ZAPORINHE ili kukamilisha haki hii yakidemokrasia
Mungu awajaalie waendelee namchakato waamani kabisa wakuamua kujiunga ama kutojiunga na RUSSIA
Nanaamini pakubwa matokeo yataheshimiwa na RUSSI na ulimwengu mzima kwaujumla na jumuiya ya kimataifa kwaujumla
Mwisho:-kama western na vubaraka wao walikataa kuzitambua LPR na DPR zikiwa kama nchi huru basi zisijali zitazitambua zikiwa sehemu ya RUSSIA na wapenda haki amani na usawa wote tusimamie haku ya kujilinda ya RUSSIA ambayo hata UN wanaitambua nandio maana hawajailaani
Mungu ibariki RUSSIA na Mungu aendelee kumbariki PUT IN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Ministry of Defense announced that it would not call up, as part of the mobilization, citizens with higher education working in the following areas:

▪️Accredited organizations operating in the field of information technology.

▪️Russian telecom operators, data centers, as well as public communication facilities and lines.

▪️System-forming organizations in the field of information and communication, including the mass media.

▪️Organizations that ensure the stability of the national payment system and financial market infrastructure.
 
[emoji635] The head of Crimea, Sergei Aksyonov, said that his son was drafted into the army as part of partial mobilization and had already left for the location of the military unit.

"The law is the same for everyone. Today my son was called up and has already left for the unit on the territory of the unit," he said. Aksenov stressed that he was proud of his son, who said that he could not stay away from the ongoing events and should pay his debt to his homeland, despite the fact that he had already served in the army.

Habar njema sana hii mpaka watoto wa vipngozi wanaitwa
Hii SVO ifanikiwe hata kwagharama ipi itafanikiwa tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUNAANZA NASI KUVIMBA


#PMBungeni Serikali ya Tanzania inaungana na Serikali ya Uganda kuwahakikishia wadau wote likiwemo Bunge la Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kimataifa kuwa mradi wa bomba la mafuta unatekelezwa kwa kuzingatia sheria zote za Tanzania na Kimataifa, uwazi, tahadhari za kimazingira.
 
Habari njema hii
EU waache ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…