Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtoto wa Biden Yuko bize kuvuta cocaine na kulawiti Yale ma transgender
Hungary na serbia awataki mchezo na maisha ya wananchi wao apa tunavyojadili unaambiwa serbia wamejaziwa Gesi ya kuweza kutosha muda huu na winter yote, Hungary ndio sitaki ata kuiongelea wenyewe mnaijua misimamo yake sasa ivi watu wanatoka nchi nyingine uko wanaenda Hungary kujaza mafuta kwenye magari yao Hungary kuanzia gesi mpaka mafuta bei ni chee yote iyo ni kwasababu ya misimamo na uhusiano wao na Russia.View attachment 2365668
[emoji845][emoji1126][emoji1099][emoji635]Hungary sees no point in a new package of sanctions against Russia — Hungarian Foreign Minister Peter Szijjarto after meeting with Sergey Lavrov[emoji845]
Azov members 108 wameachiwa. Achana na makamanda wao kina Denis ambao ni 6 kama sio watano wanaenda Uturuki mpaka vita iishe.Hao walioachiwa uwafuatilie kisha utupe mrejesho kama wanaendeleza unazi! Maana denazification siyo "kulaza mtu chini" peke yake!
Hawa ni askari wenye uzoefu zaidi katika jeshi la Ukraine..ni jambo jema [emoji120]Azov members 108 wameachiwa. Achana na makamanda wao kina ambao ni 6 kama sio watano wanaenda Uturuki mpaka vita iishe.
Hao 108 baadhi yao mtakutana nao frontline. Denazification is kaput
Jeshi kamili la urusi limeshafyekwa lote huko Ukraine..,Sasa hivi fashsti Putin anahangaika na raia hambao hawana mafunzo yoyote ya kijeshi kuwapelekea machinjioni,Halafu kuna watu utawasikia eti oooh Urusi hatumii jeshi huko Ukraine anatumia wafungwa,sasa hawa makamanda wanatoka wapi?! Au walienda Ukraine kuvuna ngano?!
Lavrov kusema ndio nini, kwani si wanasema kila siku. Ukiachana na Lavrov ambaye ni Waziri, Putin mwenyewe alipiga mkwara kwamba watakaosaidia Ukraine watakipata cha mtemakuni. Yuko wapi mbona silaha zinapelekwa.Shida yako hua moja eidha mahaba ama kusudi ama kupotosha ama hua hujapata taatifa
Jana tu sijui leo lavrov alisema kwamba malengo ya SVO lazima yafikiwe haijalishi itachukua muda gani sasa unasemaje !?
Hili lakubadilishana wafungwa nilakawaida sana ulitegemea RUSSIA aache watu wake kisa hao AZOV kweli MKUU!!!??
Malengo ya RUSSIA hayajatimia nandio maana jamaa bado wako hapo
Kuhusiana na Ref hili pia limeekwa wazi ingawaje mnaona kabisa kama Ref itafanikiwa nani anakua looser
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa wapiganaji wa Azov sio waoga na wameanza kupigana tangu 2014 uko. Wala hawakuitwa na yeyote tofauti na hawa wanaoburuzwa kutoka Siberia ukoHawa ni askari wenye uzoefu zaidi katika jeshi la Ukraine..ni jambo jema [emoji120]
Kuna silaha Moja ilipelekwa huko Ukraine inaitwa vampire.., nafikiri hii silaha ndo inafanya hii kazi nzuri iliyotukuka, maana haipiti siku ndege, helicopter,na drone kadhaa za urusi zinashushwa chini,Hizi ni drone au scrapers mbona zinatunguliwa sana ndio za mobilization war[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2365318
Naomba utupe maana ya neno hili kwa kiswahili. Natanguliza Shukranifashsti
Kumbe na sisi tuanze mchakato wa kuwashawishi Wamasai na wakurya wa mpakani wapige kura ya kujiunga kwetu au vipiKatika fatilia fatilia zangu naona vyombo vyote ama vingi vya kimagharibi vimeukalia kimya mchakato wa halali kabisa unaofanya UKRAINE wa upigwaji kura za maoni yakujiunga na shirikisho la URUSI
Ila licha ya kulikalia kimya suala hilo kwenye vyombo vyengine wanatoa ripoti na wanasema mchakato waendele vyema ndania jamhuri za LPR na DPR pia nandani ya UKRAINE kwenyewe kama KHERSON na ZAPORINZHE
Kuendelea kwa huu mchakato wa kidemokrasia huko wanasema kutasababisha 15% ya ardhi ya UKRAINE kujiunga na URUSI
Pia wanasema kwamba hayo maeneo yanayojiteng kama yatafanikiwa itakua pigo kubwa maana inachangia 80%-85% ya pato jumla la UKRAINE (GDP)
Kwamaana maeneo hayo ndio kunamashamba makubwa ya ngano na mazao mengine ambayo yanachangia pato la UKRAINE kwa asilimia kubwa
Pia ukanda wa jamhuri za Luhansk na Donestk ambazo kwapamoja zinaunda (Don bass) hizi zina maeneo makubwa ya viwanda vikubwa vikubwa
Ila inashangaza sana kuona mataifa yanayopigia upatu demokrasia hasa ya western wakiongozwa n US kupuuzilia mbali haki hii yakimsingi naya kimataifa inayoendelea huko kwenye jamhuri hizo mbili na UKRAINE
Lakini licha ya yote yanayoendelea tunaamini pakubwa sana taifa la RUSSIA kwaushirikiano wa jamhuri za LPR na DPR zitashirikiana na maeneo yanayotaka kujitenga na UKRAINE ya KHERSON na ZAPORINHE ili kukamilisha haki hii yakidemokrasia
Mungu awajaalie waendelee namchakato waamani kabisa wakuamua kujiunga ama kutojiunga na RUSSIA
Nanaamini pakubwa matokeo yataheshimiwa na RUSSI na ulimwengu mzima kwaujumla na jumuiya ya kimataifa kwaujumla
Mwisho:-kama western na vubaraka wao walikataa kuzitambua LPR na DPR zikiwa kama nchi huru basi zisijali zitazitambua zikiwa sehemu ya RUSSIA na wapenda haki amani na usawa wote tusimamie haku ya kujilinda ya RUSSIA ambayo hata UN wanaitambua nandio maana hawajailaani
Mungu ibariki RUSSIA na Mungu aendelee kumbariki PUT IN
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni very cheap hazileti hasara sana hata zikidondoshwa. Kwanza zinaweza tumika kama bait ya air defence systemHizi ni drone au scrapers mbona zinatunguliwa sana ndio za mobilization war[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2365318
Sasaaa, nafuatilia hapa kuna jambo linanishangaza, Hawa raia wa hayo maeneo wanaopiga kura wanaenda bila kushurutishwa na majeshi ya Urusi?[emoji848]