kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tuliambiwa hapa jukwaani kwamba Azov battalion wameshafyekwa wote [emoji848]Hahahaha
Finland na Sweden sio Wanachama wa NATO1. Amefanikiwa kuilazimisha NATO iongeze wanachama wawili.
We cannot _ we will not_ let president Putin get away with itUS ni kiboko.... yatoa tamko ndani ya mkutano wa Umoja wa Mataifa....
United States Secretary of State Antony Blinken said that Washington would continue to support Ukraine to defend itself.
“The very international order we’ve gathered here to uphold is being shredded before our eyes,” Blinken told the council.
“We cannot — we will not — let President Putin get away with it.”
Fashisti Putin anajitutumua tu.., anachofanya Putin ni The last kick of dying horse [emoji237][emoji237][emoji237][emoji237][emoji237][emoji237]Ulaya itaendelea kuwa block kubwa ya kiuchumi duniani na tajiri sana kwa miaka mingi sana ijayo, na itaendelea kukupa wewe na bibi yako msaada wa maji ya bomba, barabara, scholarships hadi na vyoo bora.
Hizi porojo zako za kuunga unga hapa ni kujifariji tu.
Eti urusi imepoteza wanajeshi wasiozidi 5000 tu huko Ukraine [emoji848]Shoigu na Putin wanadhani dunia nzima ni mazezeta[emoji23]
Natamani fashsti Putin ajaribu hi tactical nuclear Ili wazee wa kazi wapate sababu nzuri ya kumchakaza[emoji298]️Pentagon: Putin's nuclear rhetoric will not affect aid to Ukraine.
U.S. Defense Department press secretary Patrick Ryder said on Sept. 22 that Russia's announcement would not influence the U.S. and its allies' support for Ukraine.
Kwa mujibu wa makubaliano wapiganaji kutoka azov walio achiwa hawata ruhusiwa kupigana kwa sasa watakaa Uturuki mpaka vita ihishe nadhani watakao watakao rudi kwenye uwanja wa mapambano Ni wanajeshi halali wa Ukraine.Uzuri wa wapiganaji wa Azov sio waoga na wameanza kupigana tangu 2014 uko. Wala hawakuitwa na yeyote tofauti na hawa wanaoburuzwa kutoka Siberia uko
Kilometa za mraba laki na ushee zimeenda. 20% ya ukreni bwana wiki ijayo itakuwa ni sehemu halali ya RF.Lavrov kusema ndio nini, kwani si wanasema kila siku. Ukiachana na Lavrov ambaye ni Waziri, Putin mwenyewe alipiga mkwara kwamba watakaosaidia Ukraine watakipata cha mtemakuni. Yuko wapi mbona silaha zinapelekwa.
Basi tuseme Putin ni master strategist.
1. Amefanikiwa kuilazimisha NATO iongeze wanachama wawili. Apewe tuzo ya best recruiter
2. Amefanikiwa kupeleka msururu wa vifaa vya kijeshi Kyiv na kuvifanya viharibiwe.
3. Amefanikisha wanajeshi wake kutekeleza silaha kama 'good gesture'
4. Wamekimbia Snake island
5. Wamepoteza flagship ya Black Sea fleet au tuseme wameifanyia special diving operation
6. Wanafanya mobilization kupambana na weak Nazis, wakati wao ni superpower. Amefanikiwa kufanya mobilization tangu WW2 iishe.
Hayo ndio mojawapo ya mafanikio ya operation yao ambayo its going according to plan. Walipanga iwe hivi
Hizo drone za urusi zinatunguliwa tu kama maembe dodo, sijui kwa nini hawajifunzi,au ndo yaleyale kwamba kenge hasikii mpaka damu zimtoke [emoji848][emoji298]️Ukraine's Air Force downs 4 Russian drones.
Ukraine's Operational Command "South" reported that they used two missiles to down four Russian Shahed-136 drones on Sept. 22.
Slava Ukraine [emoji123][emoji123][emoji1255][emoji123][emoji298]️Ukraine’s military destroys Russian equipment in southern Ukraine.
Ukraine’s Operational Command “South” reported that Ukrainian forces killed 18 Russian troops and destroyed three Msta-S and Msta-B howitzers, two tanks, and two armored vehicles on Sept. 22.
Crimea imekombwa tangu 2014 hao wapiganaji wasio waoga walikuwa wapi wasirudishe hata km moja tu!?Uzuri wa wapiganaji wa Azov sio waoga na wameanza kupigana tangu 2014 uko. Wala hawakuitwa na yeyote tofauti na hawa wanaoburuzwa kutoka Siberia uko
Mfuatilie, honi sigara na Philip muyava,watakusaidia[emoji2]Naomba utupe maana ya neno hili kwa kiswahili. Natanguliza Shukrani
Urusi anafanya hivyo kwa sababu ana uwezo wa kufanya hivyo,Kumbe na sisi tuanze mchakato wa kuwashawishi Wamasai na wakurya wa mpakani wapige kura ya kujiunga kwetu au vipi