Maana yake hili bomu lalipuka lenyeweUkraine wanapewa kila aina ya silaha,ndio maana Putin baada ya kuona ngoma inazidi kuwa ngumu amekataa na kudai anapigana na NATO.., lakini kihualisia ni ukraine tu peke yake anamtoa kamas super pawer wa mchongo [emoji12]
Ni huzuni kwa kweliAccording to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?
Endelea kuota ndugu na kujifariji....Hamna kitu hapoWakati Russia akifikiria jinsi ya kumaliza Vita,kesi ya uharifu wa ubinadamu inamkabili [emoji116]
Ukraine hawapewi kila aina ya silaha.Ukraine wanapewa kila aina ya silaha,ndio maana Putin baada ya kuona ngoma inazidi kuwa ngumu amekataa na kudai anapigana na NATO.., lakini kihualisia ni ukraine tu peke yake anamtoa kamas super pawer wa mchongo [emoji12]
Kwa Sasa china anamwogopa Putin na utawala Wake kama ukoma maana mikono yake inanuka damu [emoji848]Marafiki wa Putin waanza kumkimbia [emoji116]
Huna ila uvumi? Makamanda gani wa US walisema NATO wamo Ukraine?According to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?
Jino ukiuliza utaa lilifikaje Belgum lazima kuna mtu aliiba (mwafrika) au aliuza au alidangajwa tu na kitu kidogo.Kwani jino lilipita wapi ,utakuta airport zenu tu za kiafrika.Wakati ule hamkujua dhamani ya hilo jino.Sasa mkipewa jino litafanya nini ,yaani miafrika inalilia maiti mnataka mpeleke wapi jino ?Urusi inajifurahisha tu ,nitajie nchi iliyomegwa kwa vita duniani na ikatambulikana.Amini wa uganda alijaribu kuchukua sehemu ya kagera aliweza ? Halafu acha uongo lengo la kwanza la Putin lilikuwa operations ya kumwondoa Zelensky kwa saa 72 na ku demilitalizised Ukraine ili wasiwe na nguvu za kijeshi na wasiweze kujiunga NATO.hayo mengine kasema baada ya kushindwa malengo ya mwanzo .Sasa naona ameenda kwenye malengo mengine ya nyuklia pyuuu hajajielewa hata kidogo .Kiongozi mkubwa hivyo duniani anashindwa kufocus ? ndio maana tunasema mtu akikaa madarakani muda mrefu anakuwa mjinga sana.Daaah imeniuma sana, Patrice Lumumba ambaye jino lake lilichukuliwa na Belgium unasema sisi ndo tumemuua, Time will tell, Putin atafikia lengo lake na kila kitu kinaenda kama ilivyopangwa, Urusi anaenda kuchukua rasmi DONBASS, Luhensk, Donetsk na Zaporizhia na ndio lengo lake kuu
Dah!US ni kiboko.... yatoa tamko ndani ya mkutano wa Umoja wa Mataifa....
United States Secretary of State Antony Blinken said that Washington would continue to support Ukraine to defend itself.
“The very international order we’ve gathered here to uphold is being shredded before our eyes,” Blinken told the council.
“We cannot — we will not — let President Putin get away with it.”
Silaha kiduchu lakini zinafanya jeshi la Putin linapoteana..,wakipewa full weapons utakuwa moto mkubwa bila shaka,Ukraine hawapewi kila aina ya silaha.
1. Wanaomba sana vifaru - wanapewa tu zile za Kirusi a) zinazoachwa na jeshi la Urusi, b) zinazotolewa na Poland na Ucheki wanazopewa silaha za kisasa kutoka NATO
2. Hawapewi makombora yanayoruka mbali kuliko kilomita 80 - hivyo Warusi bado wanaweza kuleta uharibifu ndani ya Ukraine bila kusikia majibu kwao
Russia anatia huruma yaani anakuwa kama mwizi tu maskini .From 72hrs operations sasa anakuwa mwizi tu haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa