LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Roskomnadzor confirmed the beginning of blocking Twitter.

According to the GlobalCheck service, the availability of this social network in Russia is 0%
 
The court of Ukraine arrested Nikita Mikhalkov in absentia. This was announced by the Prosecutor General Venediktova. The SBU suspects the director of "encroachment on the territorial integrity of the country."
 
Booking.com has stopped working in Russia - accommodations in the Russian Federation are no longer displayed in the search.
 
Zelensky said that he was in Kyiv and did not leave it anywhere.

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa marekani amsaidie Ukraine kama Nani wakat si mwanachama Wa NATO? Huyo Putin aguse nchi mojawapo ya NATO mfano Poland tuone
 
Hicho kimedia kinamilikiwa na raia ea USA na ameamua kufanya maigizo(propaganda] ili kuihadaa dunia na wao wamefungiwa daima kufanya kazi katika nchi ya Urusi. Yeye ni moja ya wale waliopenyezwa na USA ili kuihujumu Urusi. Kiufupi leo umefurahia ila kesho watakapo chunwa ngozi utalia na kulalamika. Hukumu ya haini kwa nchi za kijamaa mnazijua na tutawaua mbele ya kamera ili muandike kwa uchungu Nyamizi
 
Hatutaki jimbo lolote.mpaka sasa tuna vinu 2 vya kuzalisha umeme,bado vi 3 tu tuanze kuwauzia umeme wa ukraine
 
👍
 
👍👍
 
Wanatoa mapovu hao ukiwauliza haya maswali,msubiri kiongozi wao Frustration anakuja na majibu muda si mrefu.
 
Wew mwenyewe
Wew mwenyewe una ushabiki umesema ule alofanya Putin s uvamiz na uko serious kabisa umeleta na story za marekan kuwa nae anavamiaga kwahiyo nawew umerud kwenye ushabik wa simba na yanga
 
Hawa @Modarators hawafanyi research, nimeweka habari kuhusu Zelensky kusema NATO ni dhaifu na hawajiamini wameondoka, ingieni kwenye platforms na you tube mtaona
 
Unatia huruma sana kwa kauli yako na hata kwa hali iliyopo huko Ukraine. Kwa hiyo Sisi unapotuita na tunapoitika wito wako inatuona mafala sana, na mnahesabu hadi mda huu wa mazungumzo(mapumziko).
Kamanda major general wa Chenych yuko sahihi sana kuwa haya mazungumzo hayana maana. Tupige mji na tufanye kazi zingine maana cc tunawaonea huruma ila wao hawajionei huruma. Nilichochogundua mnataka sana Urusi aichakaze Ukraine ili nyie mtuone wakatili sana,cc ni waungwana na wapenda haki. Kumbuka Mungu kampa maono haya Putin na ndio maana anapiga sana alfajiri baada ya kuambiwa nn afanye. Mungu yupo pamoja na Urusi na ndio maana hakuna taifa la kuipiga Urusi kwa sasa.
 
Sasa marekani amsaidie Ukraine kama Nani wakat si mwanachama Wa NATO? Huyo Putin aguse nchi mojawapo ya NATO mfano Poland tuone
Unafanya analysis kama mtoto wa Darasa la 7 vile, Putin hana sababu za kiusalama kuivamia Poland, ila ana kila sababu ya kuivamia Ukraine, na ndicho alichofanya, NATO hawawezi pigana na Russia, same as Russia unless it is absolutely necessary.

Watu hawapigani vita tu kama pwagu na pwaguzi, vita zina sababu yake. Kama akili yako inakwambia NATO haiiogopi Russia then utakuwa mjinga. Na ujinga wako utakuwa hapa haujiulizi hili swali, Kwann NATO? Na kwann mataifa yote hayo ya NATO yaungane mostly kujilinda na threat ya Russia? Unaweza fanya hivyo kama hakuna security threat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…