Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

About 600 more soldiers are set to be dispatched to the frontlines from Russian military facilities located in the Tajik capital, Dushanbe, and the southern city of Bokhtar, the sources said.

It comes as hundreds of contract soldiers were deployed from Russia's Kant Air Base in neighboring Kyrgyzstan to Ukraine in recent months, according to residents, activists, and soldiers' relatives.
 
Kama mnataka kuzaliana kama kumbikumbi hamieni Russia mtazaa na kulipwa kabisa kwa sababu ni linchi likubwa linalokabiliwa na anguko la idadi ya idadi ya watu, birth rate yake ni 1.5 ambayo ni chini ya replacement rate ya 2.1
Msisumbue watu na propaganda na conspiracy zenu nyepesi za eti ushoga unataka uwamalize wanaume duniani wakati hizo nchi mnazozipigia kelele za ushoga zimejaa watu pomoni na zinakabaliwa na overpopulation.
 
Tukiwaambia mazombi wa Putin humu kwamba Russia anapokea kichapo Cha mbwa Koko wanaishia kulialia tu[emoji848]
 
 
Anaekwambia kivita Russia ana mpinzani, basi atakuwa kipofu wa historia.

Nakazia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na dunia nzima haiwezi kukubali uzombi wa West kuua viongozi halali na kulazisha ushoga kinyume na maadili ya watu
Na Huyu Jamaa nae ni west

"A book to be published in Hong Kong in the new year says Zhou Enlai, Communist China’s much-respected first premier, was probably gay despite his long marriage, and had once been in love with a male schoolmate two years his junior."
 
Hakika! Hakika!
Msingi wa mambo yote umeuweka wazi!

Nakupa maamkizi ya kituruki mkono kifuani.
 
Kama unataka kuongeza population kwa kuzaa kama kumbikumbi hamia Russia ambapo kuna population decline, kule utazaa, utapewa medali na kulipwa fedha kabisa kwa hiyo kazi.
Huo Ndo mchezo mojawapo wa hao wanaotaka new world order.kupunguza population ili watawale kiurahisi Kwa sababu ni rahisi kutawala watu wachache.
 
Halaf wewe uwe mjanja na PUT IN awe mjinga
Geuza shilingi utamjua mjinga na mjanja nani
Referendum haikuanza mwaka huu na hakuna jimbo UKRAINE wamerejesha mpaka sasa
Kama walivyoshindwa kuregesha CRIMEA usidhanie kama wataregesha tena hata kijiji
Mwisho hakuna wakumtoa RUSSIA kwenye UN acheni kudanganywa nyie vijana
Makao makuu ya UN yapo US ilikua simple tu wakat huu wa SMO kule UKRAINE angamnyima viza LAVROV kama kupinga kinachoendelea ila kamruhusu na kaongea tayar nae anaunga mkono RUSSIA anachokifanya
Amka MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…