Putin wakala wa shetaniPutin kusanyiko lake la mamtu mapumbavu hata kuja kuiona amani.. Ameamua kuwa toa kafara raia wake kwa maagano ya kishetani.
Tumezoea kuona vibaka wakikwapua mikoba na simu za watu na kuwatishia visu ama bisibisi wahanga, putin nae anafanya vivyo hivyo wafanyavyo vikibaka, anakwapua Ardhi ya watu na kuwatishia nyuklia.Bila counteroffensive saivi Kharkiv pia ingekuwa ktk huu wizi unaoendelea huko donbass kherson na kwngneko kunapokaliwa na mvamizi
Mbaya zaidi kuna watu wanashangilia hapa , cjui akili ya namna gani hii!Tumezoea kuona vibaka wakikwapua mikoba na simu za watu na kuwatishia visu ama bisibisi wahanga, putin nae anafanya vivyo hivyo wafanyavyo vikibaka, anakwapua Ardhi ya watu na kuwatishia nyuklia.
Dunia isimame kupinga udharimu wa Putin.. Hatupo katika dhama za akina Neo.
Anajtengenezea matatizo tu,Mobilization ya Putin: wadogo wake wanaona walete namba za askari kwa namna yoyote. Asiyekimbia haraka anashikwa na kutumwa Ukraine .
news.yahoo.com
Russia drafted an old man with diabetes, a 17-year-old, and people with no training to fight in Ukraine, reports say — a sign of desperation
Sophia Ankel
Russia is drafting up obviously unsuitable candidates in a scramble to bulk up its army in Ukraine, according to multiple reports.
- Putin announced that some Russians would be forced to fight in the ongoing invasion of Ukraine.
- The new decree is supposed to only only affect those with prior military training.
- Reports suggest this is being ignored in a scramble to reinforce the Russian war effort.
Russian President Vladimir Putin announced a partial military mobilization on Wednesday, pledging to call up 300,000 people, but only from Russia's existing pool of military reservists.
Conscripts and students would not be drafted and the new decree would affect only those with previous combat experience, Russian officials added.
However, evidence is emerging that these standards are being ignored in practice.
A 26-year-old PhD student and lecturer at a prominent Russian university told the BBC this week that two men turned up at his house to draft him, despite his student status.
The student, identified only as Sergei, told the BBC he was confused by the call-up because he has no military experience.
A 63-year-old man from the Volgograd region was also drafted as part of the mobilization, the independent Russian news site The Insider reported. (The outlet has no relation to Insider.)
The man, identified only as Yermolaev, has second-degree diabetes and a brain condition known as cerebral ischemia, The Insider reported. Yermolaev had previously served in the army is retired.
On Thursday, he was still summoned to a medical examination center where he was told by doctors that he was "fit to go to the front," The Insider reported.
Insider was unable to independently verify the accounts.
"People say a lot of men are being taken away, regardless of the criteria"
While Russian officials have promised that only those with military experience would be called up, a clause in Putin's mobilization decree means that it is possible to ignore that norm at any time, experts said.
One man from Buryatia, a mountainous region in eastern Siberia, told The Insider that recruitment officers are "combing through the villages."
"People say a lot of men are being taken away, regardless of the criteria. There are 400 people in our village, and they took 20 men," the man, who was not named, told The Insider.
A video shared on social media showed one such recruitment drive in an unnamed location in Russia. In it, a recruiting officer yells at a room full of men that they now belong to the military, and will be sent to fight after only two weeks of training.
A BBC reporter tweeted on Friday that a 17-year-old boy was conscripted after being arrested at an anti-war protest in Moscow, and shared a document saying so. The minimum age to be drafted into the Russian army is 18 .
Russia's conscription obliges men aged 18 to 27 to serve one year in the military.
"President Putin's call to partially mobilize Russian citizens, directing them to fight in Ukraine, reflects the Kremlin's struggles on the battlefield, the unpopularity of the war, and Russians' unwillingness to fight in it," US Secretary of State Antony Blinken said in a statement.
"President Putin is not operating from a position of strength; rather, this is another sign of his failing mission."
Read the original article on Business Insider
Huwezi elewa Kwa sababu umetiwa gizaPutin kusanyiko lake la mamtu mapumbavu hata kuja kuiona amani.. Ameamua kuwa toa kafara raia wake kwa maagano ya kishetani.
Kama kuwa na Nuru ni kuyaona mambo kwa namna yako, aisee bora nibaki gizani.Huwezi elewa Kwa sababu umetiwa giza
Wewe hujui kitu kumbe nimeshaona tatizo lako.fuatilia mambo ujue ukweli.naona nyie team NATO ni weupe Sana hamuwajui hao mnaowashabikia fuatilia mambo ili ukuze maarifa yako hicho kitu kipo Sana Tu.Hakuna kiongozi wa magharibi anayezungumzia huu utopolo wenu wa conspiracies mnaopenda kubugia watu wenye akili ndogo na mlio paranoid.
Tatizo lako nimekuona hujui kitu kinachoendelea duniani nakushauri kajisomee Sana na ufuatilie Mambo kama wewe kwako unaona haiwezekani Kwa wengine inawezekana.ngoja nikupe maarifa kidogo wanaposema kutakuwa na serikali moja inamaana kuwa serikali zote duniani zinakuwa Chini ya watu wachache.yaani kiongozi wa serikali zote duniani anakuwa mmoja.tofauti na Sasa hivi kila nchi inajitegemea na serikali Yake(sovereignity).yaani kutakuwa na mfumo utakao tawala serikali za dunia ili watimize malengo Yao.Mtu yeyote anayeamini mambo ya New World Order(NWO), hayo ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ni mwendawazimu, aliyepungukiwa akili, delusional na anayetakiwa apelekwe akapate matibabu katika hospitali za magonjwa ya akili.
Amka Acha kutetea mashetani nakushauri fuatilia hili Jambo jielimisheHakuna kiongozi wa magharibi anayezungumzia huu utopolo wenu wa conspiracies mnaopenda kubugia watu wenye akili ndogo na mlio paranoid.
Kama umeamua kubaki gizani sawaKama kuwa na Nuru ni kuyaona mambo kwa namna yako, aisee bora nibaki gizani.
Teh teh teh. Uwa mnatia huruma sana. Dah😂😂Amka Acha kutetea mashetani nakushauri fuatilia hili Jambo jielimisheView attachment 2366119
Fungua akili .ila kuna wakati nawaza what if hawa Russia,China au Marekani Lao ni moja?nafikiri hii Vita sababu kubwa ni kuja kuharibu west domination.Teh teh teh. Uwa mnatia huruma sana. Dah[emoji23][emoji23]
Inakuwaje viongozi wakubwa duniani wazungumzie hichi kitu kama ni conspiracy.this is real ila nawaza sometime what if hawa Russia na wachina ni sehemu ya hii kitu?View attachment 2366125Hakuna kiongozi wa magharibi anayezungumzia huu utopolo wenu wa conspiracies mnaopenda kubugia watu wenye akili ndogo na mlio paranoid.
Bwana mdogo unachokifanya hapa ni utoto mtupuFungua akili .ila kuna wakati nawaza what if hawa Russia,China au Marekani Lao ni moja?nafikiri hii Vita sababu kubwa ni kuja kuharibu west domination.View attachment 2366122
Kwa hiyo hapa Biden ni freemason kwa hayo maneno yalibandikwa hapo kwenye Picha yake ama kuna kitu kingine kinachobaki up madai yako?.Amka Acha kutetea mashetani nakushauri fuatilia hili Jambo jielimisheView attachment 2366119
Wata"Consultiana" nini...!!??Ungeweka tunyama kidogo....Selaković and Lavrov signed the Consultation Plan for 2023-2024.
Head of Serbian Diplomacy Nikola Selaković and his Russian colleague Sergej Lavrov signed today in New York the Consultation Plan of the Ministries of Foreign Affairs of Serbia and Russia for 2023-2024.
The two ministers signed the document on the sidelines of the 77th session of the United Nations General Assembly, and the video clip was published on the Twitter account of the Ministry of Foreign Affairs of Serbia.
View attachment 2366097