mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Nadhani huu ujumbe ni mahsusi kwa pro NATO washadadiaji misaada na kuishamiri liwatiNa vyoo yanajengewa , yanapewa na subsidies za chakula ili yaende chooni vizuri nakuja kujamba hapa jf , bado yanapewa na pesa na misaada ili yaendelee kuzaa kama panya , bila programs za uzazi salama Chini ya USAID let alone DANIDA ,UK NGOS etc may be hata yangezaliwa vibudu na yasingekuwa hapa yanaandika uzwazwa hapa .
Ungrateful monkeys
Hahaaaaa nasikia haya mapanya road yanaimba mpaka vyupi , such a shameJeshi la urusi limetelekeza magari ndani humo walibea vitu mbalimbali vya wizi ikiwemo washing machine wameshindwa kutoboa navyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa ni vibaka , Kwanza wangekuwa wanayakata mikono wakiyakamata kama matekaJeshi la urusi limetelekeza magari ndani humo walibea vitu mbalimbali vya wizi ikiwemo washing machine wameshindwa kutoboa navyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani akitolewa yeye Urusi atapungukiwa nini labda,maana hata ikiyokea hilo baraza lipige kura ya kuivamia Urusi hawawezi.Yaani Putin kwa ujinga wake anadhani eti akishafanya referendum na asilimia 100 ya kura zikasema kuwa wanataka kujiunga urusi eti basi hiyo itafanya Ukraine iache struggle za kuikomboa hiyo miji!
Sanasana Urusi itafukuzwa kwenye UN na automatically itapoteza kiti katika UN. Figisu hizo za kuiondoa Urusi kutoka katika Membership ya UN Marekani inaziweza!
Supa Panya roads lazima wapigwe na kunyooshwa Kwa gharama yeyote IleTazama hii kitu ilivyotunguliwa live ila hawa jamaa pamoja na kutangaza mobilization war lakini wanachapika kama mbwa koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Askari wenyewe hawa vibaka wanaoiba vyupi vya wanawake ?T14 Amarta ni zaidi ya huyo Gen wa Israel.
Ambae kwangu Mimi amaweka ukweli usio na punje ya uongo.
Watu wenye akili tunajua hilo,ila tunawaacha makamanda wa NATO base ya Jf waseme Yao.
pewa mbili baridi on my bill. send paybill numberVita nii mbaya madhara yake ni makubwa vizazi na vizazi hakuna asie jua hili.lakini tukubali tu mifumo ya dunia inavyoendeshwa ni tofauti na tunavyoiona kwenye uhalisia.
Nyuma ya pazia kuna mengi sana kuliko haya tunayoyaona.
In my opinion Dunia ni bora zaidi ikiwa na russia yenye nguvu na USA yenye nguvu kuliko kubaki na mbabe mmoja wa dunia.
Kinachoendelea ukraine ni balance of power tu Kati ya miamba miwili ya dunia. ni bora tuwe sawa au unizidi kidogo kuliko uninyanganye kabisa nguvu yangu.
Sikitiko langu nikuona hao wababe wanaitumia ardhi ya ukraine na kuleta hasara kwa raia wasio na hatia.
Aliekua na uwezo wa kusalimisha raia wasio na hatia ni serikali ya ukraine. Kabla ya SMO Serikali ingetanguliza mstakabali wa raia wake hii vita isengekuepo.
for me uwe pro RUSSIA au pro USA ni sawa tu.
kwenye mambo ya balance of power yakiulimwengu hakunaga dictator au gaidi. Ukitaka uamini hili hakuna nchi yoyote inaweza fanya hiki anachofanya russia au alichowahi kufanya USA na ikabaki salama.Ukiona nchi yoyote imefanya ivi ujue nyuma yake kuna mwamba mmoja wapo.
Sisi ma pro tusichukiane tuendelee tu kupalulana kwa hoja. This is nature tukatae au tukubali.
You are one of those ungrateful monkeysNadhani huu ujumbe ni mahsusi kwa pro NATO washadadiaji misaada na kuishamiri liwati
Mnatupigia kelele za gesi tokea vita imeanza ,pumvaf gesi IPO Urusi Tu ?Sema urraaaah [emoji635][emoji635] you can't do away with Russian gas[emoji51][emoji51]
[emoji845][emoji629][emoji1255][emoji635][emoji2925]Germany cannot completely abandon Russian gas...
In the event of normalization in Ukraine, it will be necessary to resume economic cooperation with Russia-Prime Minister of Saxony Michael Kretschmer[emoji845] https://t.co/pFBIDqMDhO
Aliyesema Huyu hapa[emoji116][emoji116]
View attachment 2366658
Hakuna upumbav kama huo dunia hii , yaani uvamie territory ya nchi nyingine halafu utegemee compromise na diplomacy , huo upumbav uko sayari ya marsVita nii mbaya madhara yake ni makubwa vizazi na vizazi hakuna asie jua hili.lakini tukubali tu mifumo ya dunia inavyoendeshwa ni tofauti na tunavyoiona kwenye uhalisia.
Nyuma ya pazia kuna mengi sana kuliko haya tunayoyaona.
In my opinion Dunia ni bora zaidi ikiwa na russia yenye nguvu na USA yenye nguvu kuliko kubaki na mbabe mmoja wa dunia.
Kinachoendelea ukraine ni balance of power tu Kati ya miamba miwili ya dunia. ni bora tuwe sawa au unizidi kidogo kuliko uninyanganye kabisa nguvu yangu.
Sikitiko langu nikuona hao wababe wanaitumia ardhi ya ukraine na kuleta hasara kwa raia wasio na hatia.
Aliekua na uwezo wa kusalimisha raia wasio na hatia ni serikali ya ukraine. Kabla ya SMO Serikali ingetanguliza mstakabali wa raia wake hii vita isengekuepo.
for me uwe pro RUSSIA au pro USA ni sawa tu.
kwenye mambo ya balance of power yakiulimwengu hakunaga dictator au gaidi. Ukitaka uamini hili hakuna nchi yoyote inaweza fanya hiki anachofanya russia au alichowahi kufanya USA na ikabaki salama.Ukiona nchi yoyote imefanya ivi ujue nyuma yake kuna mwamba mmoja wapo.
Sisi ma pro tusichukiane tuendelee tu kupalulana kwa hoja. This is nature tukatae au tukubali.
Inaonekana umezoea kubinuliwa nyuma na kushikishwa ukuta Kwa hiyo unadhani kila mtu ni ***** au muuza mbususu kama weweKama haipo Urusi tu, mbona mnalilia,mpaka sasa hamjaiacha kwanini?[emoji38][emoji38] Nyie[emoji304],ngoja ifike winter kmmae zenu,lazima tuwabinue nyuma.[emoji2955]
Ni kweli kuwa amekamatwa??? Nn knaendelea huko china wajameni?XI JIN PING