Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kuhusu Iran an drone pata muda wako wapitie...
Wana drone nzur kuliko hizo Kamikaze,
Nyingine ni reverse engineering ya ilizozikamata,nyingine za kwao wenyewe..
Kwa mfano ile drone waliyoitungua kipind cha trump walienda kuiopoa kwenye maji... Tena walimpiga mkwala Marekani kwamba ana friquence za ile drone hata km iko mbali.
Walianza ku deal na Drone toka 1986...
Katika issue ya drone yupo kwenye top 5.
 
Eeee ni kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu zenyewe (drone) ndio zinalipuka au zinadondosha mzigo? Hii kitu vunjo na kp kipanya44 zitawatesa sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo naye mtoto WA mwendawazimu nchi yake inayoshindwa kujilisha hiyo failed state Baba yake kaongoza karibia miaka 40 Ila nchi n amongst the poorest on earth , nchi inaishi Kwa subsidies toka western countries anaongea nini ?
 
Wale wanywa gongo na wafungwa wao hawatoshi sio ? [emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ukiwakomalia wanasema unaamini propaganda wtf retarded argument is that ? Yaani hawana facts kabisa wao ni kucopy takataka za telegram
 
Hahahaha ni Nani mwenye akili timamu atake uraia wa Russia?!....Warusi wenyewe wanakimbia[emoji23] hata hawa wanaoshupaza shingo kumtetea Putin wakiambiwa wachague kati ya Europe & USA au Russia waende wapi watachagua Europe/USA.
Wavaa kobazi wenyewe toka nchi za wafuga ndevu kama wanakimbilia US na EU
 
Huyu ni nani? Sasa zimetoka wapi hizo drones? Kwenye dunia yako ni kwamba hakuna drones za Iran zipo Russia. Baki kwenye dunia hiyohiyo, haiwezekani leo useme hiki, kesho kile. Unakuwa kama benderaView attachment 2367368
Akikujibu unitag [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kiwanda cha uongo wavaa kobasi
 
Asante kwa mjadala wako.
Ubarikiwe sana.
 
Hawa Pro Russia wana mihemuko kama Baba yao Putin,huwa hawataki kabisa kusikia kitu tofauti na wanachotaka kusikia.Ni kama wafuasi wa Zumaridi
 
Hatuna watu wenye maono JWTZ wangewexa anzisha Government owned military mercenary company ya kuconvert criminals toka kule kwenye magereza na hawa street thugs kama panya roads na vijana wasio na ajira Kwa kuwapa military trainings na battle field skills zinazolenga kuwatengeneza kuwa expert mercenaries then kuwapeleka kwenye sehemu zenye conflicts na vita kama peace keepers, enforcers ,elite private guards na hata private army soldiers WA kuingia kwenye battle fronts hapo wangeweza pata mapato na kuisaidia nchi kugain revenue pia hata hao recruits wanakuwa wamefaidika Kwanza wamekuwa converted kuwa raia wema wanalipwa kipato na pia ni msaada Kwa nchi incase kuna vita au hatari za kiusalama dhidi ya Taifa . Kiufupi linakuwa ni active reserve army kikinuka Tu ni rahisi kuwamobilise watu kama hawa Maana wanakuwa battle hardened na experience ya kutosha pia wapo active .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…