Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha 'kijana wa Putin kasema' kwahiyo source huna Ila ulileta story ya kwenye kijiwe cha kahawa uje ukamate maboya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana acha kupayuka.
Unataka source ya kueleweka!? wewe ni lini uliwahi kutoa source ya kueleweka kwa porojo zako unazopigaga humu!? Kwanza ukipewa source ya kueleweka utaijua!?
Uzuri nakumudu. Uje kwa mihemko au kwa vijifact uchwara[emoji16].
Hiyo taarifa niliyokupa hapo (list ya hizo nchi) nimeitoa AALEP. Association for accredited public policy advocates to the European union.
Kaka huyo jamaa Mtu ukitoa hoja anakuja juu anakwambia umletee source,ukimpa source anakwambia 'Propaganda' lakini cha ajabu yeye akileta hoja zake za uongo na uchwara anazookota huko anapopajua yeye ukimuomba source ya maana ya hizo taarifa zake hana.TUACHANE NA HIZI ISSUE MINOR TUJIKITE KWENYE PROGRESS ZA HATUA
Armenia Cambodia Afghanistan Bolivia burundi Zimbabwe Nicaragua Myanmar Venezuela Laos Syria Sudan Cuba Belarus
THE EXTREME EVIL OF THE WEST AND UKRAINE THEY ARE SUPPORTING IS FINALY EXPOSED: Ukraine Soldiers Decapitating, Cooking, and EATING Human Heads of Russian Soldiers
25 SEPTEMBER 2022
Ukrainian Nazi soldiers are decapitating, cooking, and eating, human heads of Russian soldiers they kill on the battlefields of Ukraine. THIS is the face of what America, Europe and NATO are supporting.
***** WARNING: GRAPHIC AND HORRIFYING IMAGE BELOW . . .
Is this what supporters of Ukraine have in mind when they cheer for Ukraine?
No thanks.
Go Russia!
Mathanzua tena!! Kopi paste ya takataka kutoka tovuti za wabaguzi wa Marekani, kama kawaida.THE EXTREME EVIL OF THE WEST AND UKRAINE THEY ARE SUPPORTING IS FINALY EXPOSED: Ukraine Soldiers Decapitating, Cooking, and EATING Human Heads of Russian Soldiers
25 SEPTEMBER 2022
Ukrainian Nazi soldiers are decapitating, cooking, and eating, human heads of Russian soldiers they kill on the battlefields of Ukraine. THIS is the face of what America, Europe and NATO are supporting.
***** WARNING: GRAPHIC AND HORRIFYING IMAGE BELOW . . .
Is this what supporters of Ukraine have in mind when they cheer for Ukraine?
No thanks.
Go Russia!
Yaaani....
Unataka ushahidi gani!? Katiba za hizo nchi au!?
Countries that have officially recognized Crimea as Russian
Russia Syria Afghanistan Cuba Venezuela North Korea Sudan
- De Facto Recognition
China India South Africa Iran Serbia Kazakhstan Armenia Belarus (Lukashenka recognized Crimea on 30.11.2021) Uzbekistan Angola Bolivia Cambodia Burundi Comoros Nicaragua Sudan Zimbabwe Eritrea
* Saudi Arabia - issues visas to residents of Crimea as citizens of Russia, i.e. recognized Crimea as Russian in fact.
Kalaghabaho [emoji16]
Oya Poroshenko vp! Source si hii kakupa, AALEP. Association for accredited public policy advocates to the European union.Hahahaha 'kijana wa Putin kasema' kwahiyo source huna Ila ulileta story ya kwenye kijiwe cha kahawa uje ukamate maboya
Ukraine walikimbia 4ml wakaamua kuzuia kwenye mipaka na matreni.Watu walivaa MAGAUNI. Wakati baadhi wanamkimbia wapo wanaokimbilia jua hivyo lHata wanajeshi wapo wanatoa visingizio wapo wanagombea kwenda front . Kama upo matured utaelewa.Inakadiriwa Warusi 260,000 wamekimbia nchi baada ya mobilization kuanza. Maafisa wa usalama wanataka kumshawishi Putin afunge mipaka kwa wanaume wenye sifa za kujiunga kwenye operation hii ya siku tatu
Haaa mkuu mwisho umekubaliIla hizi Shaheed za Iran zitatuumiza kwa sasa, hadi dawa ipatikane
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukraine ilihamisha raia ambao Russia ilikuwa inashambulia. Wanaume walikuwa wanapeleka familia zao mpakani kisha wanarudi wenyewe nyuma kuwa mobilizedUkraine walikimbia 4ml wakaamua kuzuia kwenye mipaka na matreni.Watu walivaa MAGAUNI. Wakati baadhi wanamkimbia wapo wanaokimbilia jua hivyo lHata wanajeshi wapo wanatoa visingizio wapo wanagombea kwenda front . Kama upo matured utaelewa. Vita ya Uganda Mzee wangu aliitwa hakuwa soldier alienda kwa uzalendo wake .