Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany anatia huruma sana US anamuingiza chaka yeye amebaki anashangaa tu viwanda vyote vikubwa vya germany vinampango wa kuhamia North america kwa ajili ya uzalishaji maana yake ni kuwa ajira nyingi za wananchi wa germany zinaenda kuzikwa rasmi.. US alivyokuwa mshenzi eti anawaambia wahamie nchini kwake atawapunguzia Taxes ili tu waamie kwake ila ili zuzu olaf limekaa tu linakodoa mijicho yani mpaka nimemkumbuka bibi markel yule bibi ana angalia masilahi ya nchi yake kwanza.
 
Tatizo kubwa ulilo nalo mkuu ni kwamba huijui Dunia kabisa.Unadhani hao madikteta unao wazungumzia, akina Lenin, Nikita Khruschev, Mao, Stalin, Hitler wamejiweka,no,hao wana watu nyuma yao, na watu hao ni hao hao wanaokuhubiria wewe upuuzi kama Democracy na human rights,vitu ambavyo wao wenyewe they do not believe in and practice.Hizi ni tools na mbinu chafu tu za kutawala wengine.

Mkuu, hivi Marekani unaamini kuna kinachoitwa democracy kweli?Uingereza je?Seriously kama unaamini Marekani na Ungereza kuna democracy,basi something is seriously wrong in your upstairs.

You see, panya anauma na kupuliza, that is a survival technic.The NWO psycopaths are just like that,wake up.

The idea that societies develop from Primitive to Communist societies,and we were taught this nonsense in Universities, has only one purpose, to enslave and and dominate humanity including you.
 
Propaganda za kijinga...from a sick mind!
This is going on in Europe now as we speak.Sasa wewe kama umekalia kwamba hii ni propaganda,you are misguided,mistaken,ignorant and extremely uninformed.

Kuhusu kutumia vyoo bila maji,kwani hujaona huyo jamaa akifanya training?Na kuhusu blackouts mbona ni common knowledge na jana tu DW Swahili wali-discuss swala hilo hilo kirefu.Wewe unaishi Dunia gani mkuu?Wake up,Europe is crumbling like a block of ice.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Putin hana uwo mpango wa kutumia Nukes kwa nchi dhaifu kama Ukraine nukes ni kwa ajili ya wale wafuasi wa upinde wa mvua
 
Kwanza jifunze kuandika ili uweze kusomeka vizuri, je una haraka gani? Hebu angalia hizi facts halafu uzitafakari...
  1. The Russian American population in the US is estimated to be 3.13 million.
  2. The Chinese American population in the US is estimated to be 5.4 million
  3. The Indian American population in the US is estimated to be 4.6 million
  4. The Filipino American population in the US is estimated to be 4.2 million
  5. The Arab American population in the US is estimated to be 3.5 million
Hawa ni watu ambao wamelazimika kuzikimbia nchi zao za asili wakikataa tawala za kidikteta na kifashisti kwa fursa na usalama wao. Sasa na wewe nipe idadi ya Wamarekani waliokimbilia Urusi kwa sababu za kisiasa na kiuchumi!

Wewe hapo ukiletewa visa mbili uchague pa kwenda kati ya Russia na Marekani hata kama ni kwa kutembea tu utachagua wapi? Najua kwa unafiki ule wa Kitanzania si ajabu ukasema Russia! Huo utakuwa ni uenda wazimu, siyo kweli! Huwezi!
 
We ni mtu wa ajabu sana! Ndio maana nikasema hata ukipewa 'source yenye uhakika' kama ulivyoomba hautaweza kujua.

Lini uliwahi kutoa hoja yenye mantiki!?
 
Kilanja mwangalizi mkuu wa dunia kasema,Mimi ni nani nimbishie[emoji848]
 
Inakadiriwa Warusi 260,000 wamekimbia nchi baada ya mobilization kuanza. Maafisa wa usalama wanataka kumshawishi Putin afunge mipaka kwa wanaume wenye sifa za kujiunga kwenye operation hii ya siku tatu
Yale ya US enzi zile vya vita ya Vietnam yanajirudia kwenye dunia ya Sasa huko Urusi..
 
Tupe maana ya democracy acha maneno mengi yaliyo nje ya reli
 
Moderator huu uzi uko mahisusi kwa ajili ya mada tajwa hapo juu. Lakini mbona kila mtu anafungua uzi kwa jambo hilo hilo. Badala ya kutuma bandiko kwenye uzi huu. Tafadhali tunaomba uliangalie hilo.
Uzi umevamiwa na wavuta bangi, ndio maana wenye akili wana-escape
Kujibizana na wavuta bangi sio kazi rahis
 
Yale ya US enzi zile vya vita ya Vietnam yanajirudia kwenye dunia ya Sasa huko Urusi..
Hiyo tu peke yake inakuonesha Putin yuko nyuma miaka mingapi! Walichofanya USA zaidi ya nusu karne iliyopita, yeye Putin anayafanya leo halafu eti ashindane nao, is he crazy? Some people will just never learn and this idiot is very much ahead in the lead!
 

Empty vessels make the most sound.
 
Ukraine ilihamisha raia ambao Russia ilikuwa inashambulia. Wanaume walikuwa wanapeleka familia zao mpakani kisha wanarudi wenyewe nyuma kuwa mobilized
Hakuna vita anbayo [emoji817] wanapenda kwenda. Hata hizi mission za peacekeeping wapo wanaozitamani kwakuwa zina fursa na wapo Wanatoa hata rushwa wasipelekwe . KILA mtu ana roho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…