Sikia wewe bwana mdogo, nimeijua USSR toka iko mikononi mwa Nikita Krushchev ambaye mwaka 1956 alitumia maneno we will bury you akiwatishia viongozi na mabalozi wa nchi za Magharibi...yaani tutawazika!
Mimi nawachukia na siwapendi kabisa watawala mafashisti na madikteta katika umbo zao zote wawe weupe, wekundu au weusi tii kama Idi Amin Dada. Naisifia Marekani kwa kitu kimoja, uhuru na haki ya kutoa mawazo!
Mtu ama kikundi chochote kinachothubutu kujivika umungumtu na kudhani yeye ama wao peke yao ndio wenye haki ya kuongoza, nitawapinga. Ni katika msingi huo huo nasema adui mkubwa wa taifa letu ni moja tu, CCM.
Putin, pamoja na sifa zote za kijinga anazopewa na watu vilaza wasioijua Russia (si USSR tena) na viongozi wake, atapata anachokitafuta kama walivyowahi kupata madikteta wote waliomtangulia na watakaomfuata.
Juzi hapa Marekani katokea wannabe dictator moja kwa jina Donald Trump. Nadhani alidanganyika akisahau misingi imara waliyojiwekea hilo taifa kubwa la wahamiaji waliozikimbia nchi zao za asili wakitafuta fursa zaidi!
Alitamani sana awe kama huyo Putin na mafashisti wengine ambao wamewageuza wananchi wao kama mandondocha yasiyo na akili. Siyo Marekani, na kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo, unajua kwa sasa anachungulia nini.
The US has been very clear with the Russians publicly, and, as well as privately, to stop the loose talk about nuclear weapons. Any use of nuclear weapons would have catastrophic effects for, of course, the country using them!
Hilo ni onyo, sasa subiri huyo mwandawazimu aendelee...si muda mrefu atavuna anachopanda! Kama alivyotabiri mcheza chess maarufu aliyeikimbia Russia kwa sababu ya Putin, Gary Kasparov (RIP) that will be his end!
Hii ndio maana wadanganyika mliyopewa!Tupe maana ya democracy acha maneno mengi yaliyo nje ya reli
Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.Hpii ndio maana wa wadanganyika mliyopewa!
A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.
Tuichambue:-
1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho lhakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezeiani.
2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huo.
The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority.The word is coined from two words,Demon and Crasia.Crasia is authority in Latin.
Plus imetumia depleted uranium iraq na silaha za sumu agent orange vietnamAfadhali anayetishia na siyo kutumia...USA huwa inatumia kabisa...imewahi kufanya hivyo huko Japan..
Baba wa Democrasia Marekani wanopiga kura kumchagua raisi huwa ni wangapi!?.Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.
Boss, Inaonekana ww ni mtu uliyeshika dini tena ya ulokole ndo huwa na hizi nadharia za kuhusisha kila mfumo na ushetani.
Kitu cha ajabu ni inakuwaje Marekani inaweza ishi na maadui zake ndani ya nchi yake na hawamletei shida...Kwanza jifunze kuandika ili uweze kusomeka vizuri, je una haraka gani? Hebu angalia hizi facts halafu uzitafakari...
Hawa ni watu ambao wamelazimika kuzikimbia nchi zao za asili wakikataa tawala za kidikteta kwa fursa na usalama wao. Sasa na wewe nipe idadi ya Wamarekani waliokimbilia Urusi kwa sababu za kisiasa na kiuchumi!
- The Russian American population in the US is estimated to be 3.13 million.
- The Chinese American population in the US is estimated to be 5.4 million
- The Indian American population in the US is estimated to be 4.6 million
- The Filipino American population in the US is estimated to be 4.2 million
- The Arab American population in the US is estimated to be 3.5 million
Wewe hapo ukiletewa visa mbili uchague pa kwenda kati ya Russia na Marekani hata kama ni kwa kutembea tu utachagua wapi? Najua kwa unafiki ule wa Kitanzania si ajabu ukasema Russia! Huo utakuwa ni uenda wazimu, siyo kweli! Huwezi!
Hiyo ni maana uliyoikariri wewe hapo ulipokaa kama kiwete na si ajabu ukaamini kuwa hata hapa Tanzania kuna demokrasia kwa kuwa chaguzi hudaiwa kufanyika.Hpii ndio maana wa wadanganyika mliyopewa!
A system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.
Tuichambue:-
1.A system of government by the whole population or all the eligible members of a state-Hiki ni kitu ambacho lhakiwezekani,labda kwa mjinga tu,na katika serikali zote duniani hii haiwezeiani.
2.typically through elected representatives-Hii pia ni empty words,it is never followed by action.Naweza kusema it is empty and hollow rhetoric.Again ni mjinga tu anayeweza kuamini ujinga huo.
The truth is infact far from that.Democracy means Demon Authority.The word is coined from two Green words words,Daimon and kratos.Kratos is authority or Power in Greek .Maelezo mengine kinyume na haya ni uongo na kupindisha ukweli.
Sija tanguliza ulokole hapo,huo ndio ukweli 100%.Kama hutaki kujifunza endelea kudanganyika.Halafuu,kwani wewe hujui kwamba Dunia is controlled by Satan,mbona hata mtu ambaye sio Mkristo analiona hili,unless you are dumb or burrying your head in the sand.Hakuna nchi ina democracy kwa asilimia mia ila ni mfumo unaofanya kazi na ni mfumo angalau unaowashirikisha wengi kuliko mifumo mingine.
Boss, Inaonekana ww ni mtu uliyeshika dini tena ya ulokole ndo huwa na hizi nadharia za kuhusisha mifumo na ushetani.
Nipe wewe basi maana ya "Democracy." Mimi hiyo niliyotoaHiyo ni maana uliyoikariri wewe hapo ulipokaa kama kiwete na si ajabu ukaamini kuwa hata hapa Tanzania kuna demokrasia kwa kuwa chaguzi hudaiwa kufanyika.
Fanya utafiti japo kidogo ujue demokrasia ni nini na ili iwepo vitu gani vinatakiwa vifanyike na masharti gani yanatakiwa yazingatiwe.
Nakuomba uepuke kudandia mijadala inayokuzidi kimo kwa ku-copy and paste kila aina ya takataka unayokutana nayo mtandaoni, grow up dude!
Sasa hapa umeongea nini mzee. Makasiriko ya nini yaniUnajidhalilisha mkuu unaongeaje Pumba namna hii?
Hujishtukii unavyoandika kitu kama hicho?Sasa hapa umeongea nini mzee. Makasiriko ya nini yani