Wale wapo pale Kwa sababu maalum kwenda kuwaokoa wenzao wanaoteswa na mamlaka ya Ukraine na kuwaangamiza neonaxism.alafu kule Bucha waliouwa ni waukraine wenzenu sio Warusi.Wewe Una akili unayewatetea wavamizi na wauaji wakubwa , waliotekezeta raia wasio na hatia Kule Bucha
Bosi wako huyoTazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?
Bosi wako huyoWewe Una akili unayewatetea wavamizi na wauaji wakubwa , waliotekezeta raia wasio na hatia Kule Bucha
We nae tafuta hoja nzito 1991 alipaswa kua 13 vs sasa ivi 44 yrs old.Bosi wako huyoView attachment 2368982
Kwann wasiwachukue hao warusi wakarudi bao nyumban wawache ukraine wauane wenyewe? Badala ya kuchukua ardhiWale wapo pale Kwa sababu maalum kwenda kuwaokoa wenzao wanaoteswa na mamlaka ya Ukraine na kuwaangamiza neonaxism.alafu kule Bucha waliouwa ni waukraine wenzenu sio Warusi.
Duh! Hivi inakuwaje mpaka wanaacha silaha nyingi hivi?Tazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?
Duh mbona ni shoga zele ina maana jamaa ni mtu waoBosi wako huyoView attachment 2368982
Watoto yatima wameanza kunyanyasika.Wakimbizi wa Ukraine kuanza kulipishwa Kodi ya kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukrainian refugees in Poland have to pay taxes to Warsaw — even from the income they receive in Ukraine.
This was stated by the Polish Ministry of Finance.
"The income of Ukrainians from Ukrainian employers should be taxed in Poland if a Ukrainian has been in Poland for more than 183 days," the agency said.
Subscribe to @Sputnikkrainian refugees in Poland have to pay taxes to Warsaw — even from the income they receive in Ukraine.
This was stated by the Polish Ministry of Finance.
"The income of Ukrainians from Ukrainian employers should be taxed in Poland if a Ukrainian has been in Poland for more than 183 days," the agency said.
Subscribe to @Sputnik
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huo ndio udhaifu mkubwa walio nao kwenye hoja zao, wamejiweka one sided na mentality zao zimekaa kinafiki. Two closing lines I mean 👉 '+' Itaitwa ni alama ya kujumlisha ikiwa kwako but ikiwa upande wao ni ishara ya msalaba.Hakuna aliyenung'unika nimejaribu tu kukuonesha hoja yako ilikuwa ni ya hovyo sana.
Kama unatetea democrasia kwny uchaguzi wa marekani basi waoneshe namna huo mfumo wa electoral college unavyoenhance democrasia zaidi na sio kuja na hoja ya overall votes za biden na trump wakati unajua kbs overall votes zinaweza kuamuliwa tofauti na electoral college kama kwenye case ya clinton na Trump.
Unaposema Clinton hakulalamika hiyo nayo ni namna nyingine ya hovyo ya utetezi na hoja dhaifu. Unataka kusema angelalamika ndio ingemaanisha hakuna democrasia!? Kwa hiyo Trump alivyolalamika kwenye uchaguzi wa 2020 je!?
Jifunze/ni kujenga hoja zenye mantiki wqcheni porojo
Asante kwa maoni yako, naomba turudi kwenye uhalisia na wala sio nadharia, ya matukio ambayo wala hayajatokea. Kama unachosema kina ukweli njemba angetumia uwezo wake wotee kufunza adabu. Mbona hushangai njemba anapigana kwa aibu, kila mwanafunzi hafurahishwi na vitendo vyake vya kionevuMfano wako ni mzuri isipokuwa sehemu moja. Hapo uliposema "siku moja njemba likachukua kitabu chako cha uvuvi kwa nguvu"
Hapo umeshaset kila kitu kuwa njemba ndio 1st aggressor. What if ni tofauti!? What if wewe ndio ulianza ukorofi na njemba akakutia adabu kwa kuchukua vitabu vyako!? What if wewe ndio 1st aggressor!?
See, mambo utayofanya yanaweza kuwa tofauti kutegemea unayaangalia kutoka kwenye perspective ipi.
Either way lzm utachofanya kiwe 100% kwa mslahi yako. Mtu mwingine asikutie sifa ukajaa kichwa wakati njemba akikasirika anachukua vitabu vyako na sio vya huyo aliyekujaza sifa. Je unamuweza njemba!? Akiamua kukupiga kuna mtu ataweza kukutetea!? Hakuna namna unaweza kukaa na njemba kwenye hilo dawati bila kukorofishana!?
Kumbe zele ni shogaBosi wako huyoView attachment 2368982
Baada ya Vita uwaga mipaka ya nchi inabadilika. Israel ameshafanya hivyo Mara nyingi tu, hata baada ya Vita ya pili ya dunia mipaka ilibadilika.,[emoji38][emoji38][emoji38] yaani hii ndio Kali
[emoji845][emoji635][emoji1255][emoji1250]The Turkish Foreign Minister Mevlüt Çavuşoğlu said that Putin at the talks with Erdogan "declared the possibility of returning to negotiations with Kiev, but "on new conditions"[emoji845]
Translation...Ukraine shoud forget about LPR,DPR,Crimea,Kherson and Zaporozhye region https://t.co/fzVuCXyQZr
Lini USA alimwambia Ukraine kwamba watairudisha Ukraine?!Inaonekana umeanza kufuatilia Geopolitics kwnye vita hii ya Ukrain na Russia, maana kama ungekuwa mfuatiliaji basi ungejua kilichotokea Crimea kipindi kile kina hold referendum, hayo mataifa yote yalisema haitakuja kutokea kuitambua Crimea kama sehemu ya Urusi na wengine akiwemo USA alimwambia Ukrain kuwa baada ya Referendum ya Crimea watairudisha Crimea ila hakuna kitu hadi leo, Mwisho wa siku zile nchi zote zikaanza kuitambua pole pole Crimea kama sehemu ya Russia maana Urusi inategemewa kwenye resources nyingi hvyo nchi ikienda Russia [emoji635] kwnye maswala ya diplomatics akitoka uko kashasahau msimamo wake wa awali.
Trust me, ayo maeneo baada ya referendum ni yatakuwa yashaondoka na hii vita itaisha soon kwa diplomacy maana European countries zinaenda kwenye recession ( angalia stock exchange ya wiki hii, hali ni mbaya), sasa hivi mzigo wote wa silaha wamegoma kutoa na kumuachia USA, na USA juzi walikuwa na kikao cha internal security, wanataka kutumia sababu ya kitisho alichotoa Putin cha Nyuklia, iwe sababu ya kuishawishi Ukrain waende mezani na Urusi.
NATO wameshasema hawatambui hizo referendum na Ukraine imesema itashambulia hayo maeneo na vitisho vya Putin na nyuklia yake wanavipuuza Kwa kuongeza kuinunga mkono Ukraine kisilaha zaidi, NATO na US wanataka Ukraine iendelee kukomboa maeneo mengi zaidi ili iwe na nguvu kama yakitokea mazungumzo.Inaonekana umeanza kufuatilia Geopolitics kwnye vita hii ya Ukrain na Russia, maana kama ungekuwa mfuatiliaji basi ungejua kilichotokea Crimea kipindi kile kina hold referendum, hayo mataifa yote yalisema haitakuja kutokea kuitambua Crimea kama sehemu ya Urusi na wengine akiwemo USA alimwambia Ukrain kuwa baada ya Referendum ya Crimea watairudisha Crimea ila hakuna kitu hadi leo, Mwisho wa siku zile nchi zote zikaanza kuitambua pole pole Crimea kama sehemu ya Russia maana Urusi inategemewa kwenye resources nyingi hvyo nchi ikienda Russia [emoji635] kwnye maswala ya diplomatics akitoka uko kashasahau msimamo wake wa awali.
Trust me, ayo maeneo baada ya referendum ni yatakuwa yashaondoka na hii vita itaisha soon kwa diplomacy maana European countries zinaenda kwenye recession ( angalia stock exchange ya wiki hii, hali ni mbaya), sasa hivi mzigo wote wa silaha wamegoma kutoa na kumuachia USA, na USA juzi walikuwa na kikao cha internal security, wanataka kutumia sababu ya kitisho alichotoa Putin cha Nyuklia, iwe sababu ya kuishawishi Ukrain waende mezani na Urusi.
Sina pa kuanzia . ...Ulipaswa kuomba kozi fupi ya uchumi na finance ñdio urudi hasa International finances . Marekani ni nchi ya wanyonyaji ndio maana Marx alizungumza Workers of the world akawaambia Fight against capitalism you have nothing to lose than chains around your knees . Juzi Tanzania imepokea fedha ya kusaidia athari na mapambano ya covid . Unajua hii fedha imetoka wapi? Unajua tunalipaje ? Unalalamika tozo huku unashabikia waliochapisha fedha . Sanasana unawaza sinema za Holly woods ama miziki ya kina R Kelly , Basketball basi ndio hicho tu. Juzi wamelikataa bomba la mafuta la nchi YAKO na Uganda . Unajua sababu , KWANINI wakatae leo sio jana . Vijana wanaangamiaTatizo lako unafikiria kazi ni kulima mihogo na ngano tu. Viwanda huko vinapiga kazi masaa 24