Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa kama wanajeshi wamelazimishwa watafanyaje?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Unaposema kila mwanafunzi unamaanisha nini!? Kweli kila mwanafunzi hafurahishwi!? Hapa ndipo tutapokesha. Unadai kila mwanafunzi hafurahishwi lkn nina uhakika 100% huwezi kuthibitisha kwa uhakika kwamba kila mwanafunzi hafurahishwi.

Njemba halazimiki kutumia uwezo wake wote kufunza adabu ikiwa uwezo mdogo aliouweka unaleta matokeo chanya kwa upande wake. Na pia lengo la njemba ni kufunza adabu na sio kuadhibu kuumiza so ni lzm awe na kipimo.
 
🤣🤣🤣🤣Ww jamaa,dah Napenda post zako za maudhi🙌
 
Hizo ni risasi hakuna cha maana hapo marisasi na msbunduki hufika pahala majeshi yanachoma moto . Vita za risasi hakuna miaka hii . Risasi zina KAZI ndogo sana miaka hii zinatumiwa na POLISI zaidi . Usiogope. Ukiwa uraiani utaona bonge la dili. Hata hayo msbunduki labda IWE special sana
 
Hill: We expect an explanation from Serbia about the agreement signed with Russia
USA Ambassador Christopher Hill said today that no one should sign anything with Russia at this time, stressing that the USA does not know exactly what the agreement that Serbia signed in New York with that country entails, and that they expect that in the coming period get clarification regarding the signed document. "We would certainly like to hear an explanation of what that document is. During this UN session, the US had good talks with Serbia, so we only heard about that document after that and we expect an explanation about it," said Hill.
 
Trump ana tabia zote za madikteta wa Africa, Russia bahati nzuri mifumo ya US iko vizuri ikamtapika mapema.

Alipeleka kesi mahakama zote majaji wote wakasema ameshindwa, majaji wengine walioamua kesi zake ni aliowateua yeye mwenyewe.

Seneti ya US ambayo inathibitisha matokeo yanapowasilishwa na makamu wa Rais ilikuwa inaongizwa na Republicans na kwa wingi wao kwa kushirikiana na Democrats walisema hakuna shida katika matokeo.

Makamu wake wa Rais alikubali Trump ameshindwa na akawasilisha vyeti vya majimbo vya ushindi wa Biden bungeni.

Mwanaseheria mkuu wa US ambaye aliteuliwa na Trump alisema Trump ameshindwa

Mkuu wa usimamizi wa Usalama wa mifumo ya IT na usalama katika chaguzi za Marekani ambaye aliteuliwa na Trump alisema Trump ameshindwa uchaguzi na uchaguzi haukuwa na shida yoyote ya msingi kubadalisha matokeo.

Marekani wanaosimamia uchaguzi ni secretary of state ambao huchaguliwa na wananchi. Secretary of state wa Georgia jimbo alilokuwa na malalamiko nalo Trump ni Republican na alimuwambia ameshindwa, hakuna kura anazotaka aongezewe.

Hakuna sehemu duniani ukiwa mgombea Urais unaweza kupewa haki na fursa kubwa mbele ya sheria kama aliyopewa Trump.
 
Your browser is not able to display this video.

Banner in the sky over Berlin "Open the Nord Stream 2 now" The Germans offer the most obvious way out of the energy crisis,but US won't let it
On Feburary 7th,2022,Biden has said there is no chance of the NS 2 gas pipeline project going should Russia mount an offensive
 
Sasa kama wamelikataa bomba la mafuta si mjenge wenyewe. Kakopeni Russia, China au India mjenge au chapisheni pesa zenu kama unavyosema wanachapisha wao ili mjenge bomba lenu. Mnajilalamisha nini kama vitinda mimba[emoji16]
 
⚔⚔⚔⚡️Detailed data on voter turnout on the fourth day of voting at the Referendum on the reunification of the Zaporozhye region with Russia According to the Election Commission of the region, the turnout was: • TEC of the city of Berdyansk - 64.03% • TEC of Berdyansk region - 64.82% • TEC of Vasilyevsky district - 64 .28% • TEC of the city of Melitopol — 66.39% • TEC of the Melitopol region — 67.21% • TEC of the Pologovsky district — 62.41% • Chernihiv TEC — 62.44% • TEC of the city of Enerhodar — 67.18% At the polling stations educated outside the Zaporozhye region today voted 4749 people. Recall that according to the generalized data, the turnout in the referendum in the Zaporozhye region was 66.43%, taking into account voting abroad. There were no reports of violations at polling stations on the fourth day of voting. ⚔⚔⚔
 
Your browser is not able to display this video.

Mobilized servicemen took the oath in Sevastopol

This is about 2000 people from the Republic of Crimea and Sevastopol. Among them are specialist shooters, ATGM operators, gunners and drivers. They began to prepare for the tasks in the SMO.

According to Governor Mikhail Razvozhaev, Sevastopol is participating in the formation of two divisions.
 


🇺🇸🇷🇺Washington commented on Snowden's acquisition of Russian citizenship.

"Our position has not changed: Mr. Snowden must return to the United States to stand trial, just like any other US citizen," the State Department spokesman Ned Prce said.

According to him, Washington continues to consider Snowden a US citizen, although he has publicly declared his renunciation of citizenship.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…