Mimi nimetoa evidence,wewe huna.Kwa hiyo unategemea niamini hii habar yako kama wewe huamini ya kwangu ,bwashee unachekesha
Evidence gan bwashee ya maneno ya kimamtoni au?Mimi nimetoa evidence,wewe huna.
Urusi inafanya hivyo kwa sababu ina uwezo na ubavu wa kufanya hivo.#### MFANO RAISI KWA PRO RUSSIA####
Pro- russia njoeni mujumuike nami kwenye hii nazaria. Nataka Mniambie Mtajisikiaje endapo jambo hili litatokea Tanzania, nazani wote ni watanzania. Utajisikiaje endapo kenya itatangaza ukombozi kwa Wamasai waishio Tanzania kwa kuumega mkoa wa Arusha. Kenya kuvamia Tanzania kijeshi akiwa na madai serikali ya Tanzania inekuwa ikiwanyanyasa Wamasai kwa mda mrefu.
Embu mniambie mtakuwa upande gani?
View attachment 2369390
Usijichekeshe ili uonekane mcheshi.
Hiyo suala ya burundi na zimbabwe mbn nilishaimaliza!? Kama wewe unabisha endelea kubisha mpk kesho hakuna atayehangaika na wewe.
Uliomba source ukapewa (jina la) source hukuridhika, kumbe wewe ulikuwa unataka link[emoji16] sasa si ungesema 'leta link ya chanzo chako'. Ulichokiomba ndicho ulichopewa!
Cha ajabu sasa wewe uliyekuwa unalibishia hilo swala hata chanzo cha mchongo hukukitoa. Ni maneno matupu tu alaf kwa kuomba upewe source hujambo. Nilipoona unacounter chapisho the economist kwa taarifa inayomquote borell kisha unaiita article nikashtuka. 'Article' how!? Yaani mimi kwenye website yangu nikatoa taarifa kuwa mbunge fulani kasema hivi na vile tayari hiyo inakuwa ni article!? Duh!
Hawa jamaa wanachekesha Sana,wanasema hawaamini taarifa za CNN wala BBC lakini vyombo hivyohivyo vikileta taarifa zinazowapendeza wao mara moja bila kupinga wanakwambia hiyo habari ni ya kweli na wanataka wote muamini hivyo. Ikitokea vimeleta habari zisizowapendeza mara moja hivyo vyombo vinageuka ni vya propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo unategemea niamini hii habar yako kama wewe huamini ya kwangu ,bwashee unachekesha
Are you serious, vipi kuhusu uhasama wa kibiashara1.Hakuna uhasama wowote kati ya Kenya na Tanzania.
Wamasai3.Tanzania haidhuru wananchi wowote ambao ni ethnic Kenyans.On the other hand Ukraine ina-uwa Warusi waishio Ukraine.
Apo kwenye nchi za magharibi weka waarabu wanaotaka kuwinda wanyama pori.5.Nchi za Magharibi zinaitumia Ukraine kama proxy ya kuisambaratisha Urusi.On the other hand Tanzania haitumiwi na nchi za Magharibi kuisambaratisha Kenya.
Hatari sana hii, na marekani anazidi kuchochea moto kwa kusema atawapa hifadhi warusi wanaokimbia vita,Warusi wanakimbia nchi,wamegoma kufa kwa upumbafu wa Mtu mmoja
Naona Putin anataka Urusi ibakie kwenye makaratasi.⚡⚡⚡Russia has the right to use nuclear weapons if necessary, Russian Security Council Vice President Dmitry Medvedev said.
«In established cases. In strict accordance with the Fundamentals of state policy in the field of nuclear deterrence. If we or our allies are attacked using this type of weapon. Or if aggression with the use of conventional weapons threatens the very existence of our state, "Medvedev said⚡⚡⚡
Wamezoea kusikia habari za kuwafuhisha tu wanazokopy na kupaste kutoka kwenye telegram za warusiHawa jamaa wanachekesha Sana,wanasema hawaamini taarifa za CNN wala BBC lakini vyombo hivyohivyo vikileta taarifa zinazowapendeza wao mara moja bila kupinga wanakwambia hiyo habari ni ya kweli na wanataka wote muamini hivyo. Ikitokea vimeleta habari zisizowapendeza mara moja hivyo vyombo vinageuka ni vya propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Russia ni paper tiger [emoji197][emoji197][emoji234][emoji234][emoji234]Hapa Russia walipokua wanafanya display ya vifaru vyao vya kisasa mwaka 2021,ila vyote vimekua vyuma chakavu Ukraine
View attachment 2369474
Duh [emoji28][emoji2][emoji1787]View attachment 2369505
mazoezi ya askari wapya wa russia wakiwa mstar wa mbele
Karma haijawahi kumwacha mtu salama.. Putin alifikiri kuwa ni Ukraine pekee wataikimbia nchi Yao,mpira umeamua urusi Sasa,Wanakimbia walioanzisha vita.
Mauliopol ni jiji kubwa liliko kwenye jimbo la Donesk.
Kwa hiyo Burundi na Zimbabwe ndo nchi zinazotegemewa na Russia Kwa Sasa [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliyesema Burundi na Zimbabwe wanaitambua Crimea kama sehemu ya Urusi ni wa kuniambia Mimi nina hoja dhaifu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivyoombwa source ukaleta tu jina la source bila ya kutoa link tukasome kilichoandikwa humo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daaah
Halafu eti unambishia mpaka Blinken,sasa sijui Kati yako ww keyboard warrior na Blinken Nani ana akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]