Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kaka uwe unaelewa bhas,mpk ss Marekani imetumia $15 bn Kati ya $40 bn. Kwhyo kuna $25 bn haijatumika na jamaa wanataka kujazia.

Hapo bado kuna "Lend-Lease" haijaanza kufanya kazi.
Ndugu kuna watu wana vichwa ngumu, wakati upuuzi huu unaanza walisema Marekani kamkimbia bwana maigizo na hawezi msaidia, Jamaa wameanza kufungulia misaada wanasema Puttin anapigana na mataifa 30! Sijui wanafikiri bila hizo $15bn za Marekani gaidi Puttin si angekuwa kashamtoa bwana maigizo Ikulu! Yaani unapambana na Russia unafikiri unahitaji msaada mkubwa kiasi gani ili kuweza kusavive, wanahitaji zaidi na zaidi ya iyo budget kuweza kumshinda gaidi.
Bahati nzuri bwana Maigizo toka siku ya kwanza amekuwa akiomba msaada wa siraha na fedha siyo wanajeshi.
 
👇

🇷🇺 🇺🇦 On September 27, referendums on the accession of the Liberated territories of Ukraine to the Russian Federation end. And the procedure for their admission to the Russian Federation may take place on September 29.

We analyze what Ukraine is losing:
👣 Regions in which referendums are held have rich black soil, mineral deposits, developed industry, large economic, industrial and human potential, developed mining industry, transport and industrial infrastructure.

👣 Until 2014, only Donetsk and Lugansk regions together accounted for 16% of Ukraine's GDP.

👣 Integration of agricultural regions (Zaporozhye and Kherson regions) will turn the Russian Federation into the largest player in the grain market;

👣 Odessa actually remains the only access point of Ukraine to the sea (at the same time, Odessa remains in the sphere of interests of the Russian Federation);

👣 Ukraine is losing about 9 million people, and taxpayers in uncontrolled territories will move into the Russian legal field.

As you can see, the situation is amazing, but at the same time, no one is talking about the future arrival of winter, when the lack of energy resources and other economic difficulties will force European countries to radically reconsider their policy of supporting Ukraine.

🔥 Yet akili ndefu wa JF wanadai Ukraine is winning.
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 27, 2022)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 Attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of up to 100 militants from 9th Special Regiment 'Gepard' of Ukrainian National Guard, as well as of over 50 foreign mercenaries in Zaporozhye.

💥 High-precision attack of Russian Aerospace Forces has resulted in the neutralisation of a provisional base of the units from 59th Mechanised Infantry Brigade of the Armed Forces of Ukraine (AFU) in the industrial area of Nikolayev.

◽️ Up to 50 Ukrainian servicemen and 5 units of military equipment have been eliminated.

💥 Massive attack launched at a provisional base of 81st Airmobile Brigade of the AFU near Konstantinovka (Donetsk People's Republic) has resulted in the elimination of over 150 Ukrainian servicemen.

💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised 6 AFU command posts near Shchurovo, Soledar, Bakhmutskoye, Verkhnekamenskoye, Artyomovsk (Donetsk People's Republic) and Sukhoy Stavok (Kherson region), as well as 62 artillery units, 184 manpower and military equipment concentration areas.

◽️ The list of the destroyed targets includes 3 missile, artillery armament and munitions weapons near Monachinovka, Kupyansk (Kharkov region) and Brusin (Donetsk People's Republic).

◽️ 1 control station for Bayraktar UAVs has been destroyed near Lozovatka (Dnepropetrovsk region).

💥 Fighter aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 2 MiG-29 airplanes of Ukrainian Air Force ear Osokorovka and Rozovka (Kherson region).

💥 Air defence facilities have shot down 7 unmanned aerial vehicles near Pershotravnevoye (Kharkov region), Charivnoye and Petrovskoye (Kherson region), Valeryanovka and Novoandreyevka (Donetsk People's Republic).

◽️ Moreover, 1 Tochka-U tactical missile has been destroyed in air near Kupyansk (Kharkov region), as well as 17 projectiles launched by HIMARS multiple rocket-launching systems near Kherson, Otradokamenka, Novaya Kakhovka, Mikhaylovka (Kherson region) and Kupyansk (Kharkov region).

📊 In total, 304 airplanes and 155 helicopters, 2,094 unmanned aerial vehicles, 377 air defence missile systems, 5,118 tanks and other armoured combat vehicles, 847 combat vehicles equipped with MRLS, 3,423 field artillery cannons and mortars, as well as 5,909 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Hao cnn na aljazera walisema RUSSIA kaishiwa na chakula kabakia na chakula ya siku tatu
Bila yashaka wanaopambana kule UKRAINE itakua wanatokea mbinguni wale sio RUSSIA
Maana RUSSIA hana tena chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Unarudi mambo ambayo si kweli. Utoto huu unasaidia nini? Ukiwa na ushahidi, lete link.
Nani alisema nchi ya Urusi unakosa chakula??? Wapi, lini?
 
mchina kamwacha chaka putin.
 
Hapa lazima asikari wa super pawer wa mchongo wabananishwe mithiri ya mjusi anavyobanwa na mlango,
 
Kipigo kikali sana angalia hawa professional wana sarenda je wakija wale mobilization itakuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo Marekani anampimia silaha Ukraine, je akimpa zote itakuwaje, Juzi kapeleka mfumo wa Ulinzi wa anga naona mrusi anabokolewa balaa !! option ya mwisho wa Putin ni kutumia nyukilia kama hataki kusogea mbele ya meza ya mazungumzo.

Watu wa magharibi ni balaa !!

This is pure technological war.
 
Kassym-jomart Tokayew rais wa Kazakhstan anakaribisha Warusi wanaokimbia mobilization kwao. 98,000 wameshafika.
Balaa ni yule anayeanzisha vita bila sababu na kuvunja mapatano ya kimataifa ya kuheshimu mipaka - au yule anayemsaidia walioshambiuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…