Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US anamcheck Putin aguse hiyo nyukria mithiri ya paka anavyommendea panya,
Nuke ikipigwa hakunaga fikra kama ulizonazo .Wengi hatuelewi Nuke inaangamizaje. Hakutakuwa na cha kufanya . Chukulia jamaa apige miji mitatu US miwili England na miwili Germany nani atakaa vikao . Anaewahiwa ndio kawahiwa na mchezo unakwisha.
 
Wote tu na Biden na NATO yote . Unadhani silaha za Nuke ni za kuwindia swala Ngorongoro. Kama kuzitumia ni ujinga basi kuwa nazo ni upunguwani
Silaha za nyukria ni Kwa ajili ya self defense,sio unavamia nchi ya watu na kuanza kukwapua maeneo kama kibaka kwa kuwa tu una silaha za nyukria

Unafikiri marekani alishindwa kuzitumia huko Vietnam [emoji848]
 
Urus wanancho kitafuta watakipata ,Ukrain haitavumilia ujinga huu wataanza kumrudishi nyumbani kwake na hapo moto utawaka ipasavyo ,ni swala la mda
Acha kuota njozi za mchana Mkuu....

Urusi yajichotea ardhi we bado waotaota kuwa Ukraine ana cha kufanya kujinasuaπŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
β˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈβ˜‘οΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ’ͺπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ’ͺπŸ’ͺ
Umeongea uhalisia mno mwamba.
 
Bro ungesoma vizuri bhas nilichomquote bwana utam kabla ya kukurupuka kunijibu, sasa ni mwezi wa 8 lakini Russia imeshindwa kukomboa eneo lote la Donbass,imekamata Nusu na Ukraine inashikilia Nusu.
Unasema Himars hazijasaidia kitu,sasa nini kiliwafanya warusi wakakurupushwa kule Kharkiv, Izyum, Kupiansk,na sasa majeshi ya Ukraine yanakaribia Lyman.
 

Attachments

  • images (29).jpeg
    43.9 KB · Views: 24
Kwanini usiilinganishe Kiev na Dar?
 
Wewe jamaa wewe.!
Wazazi wako wamepata faida kubwa sana.!
 
Marekani yaripoti kuwa matokeo ya mwanzo ya kura za maoni huko Ukraine yaonesha kuwa zaidi ya wapiga kura 96% (asilimia 100 kasoro asilimia 4) wanataka mikoa hiyo ijiunge na Urusi. Mikoa hiyo inayojiunga na Urusi ni asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine.

WanaJF kama kuna ushindi mnene zaidi ya huu wa kukabidhiwa rasmi eneo la ukubwa wa kilomita za mraba zaidi ya 110,000 (sawa na nchi ya Hungary) naomba mnijuzeeπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
====

 
Fashisti Putin lazima akabiliwe kwa namna yoyote ile [emoji3525][emoji3525][emoji3525]View attachment 2369865
Wakati unapoteza muda wako na vikaragosi visivyo na uhalisia wowote, huko Ukraine Urusi yamilikishwa ardhi rasmi na wananchi wa Ukraine

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…