Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana yake mkate utaendelea kuwa ghali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Alibaki na vodka nyingi mno asubuhi hii baada ya usiku uliopita. Alianza kunywa mapema mno.
Anaongea kama Urusi ingekuwa nchi ya pekee yenye silaha hizo...
nusu lita hata kabla ya kitafunio cha kwanza???
Ndugu, inaelekea hujatathmini kwa kina maneno haya ya former president wa Russia....uzuri ni kwamba NATO na West yote wanajua kuwa haya siyo maneno ya 'mnywa vodka'...wanachukulia kwa uzito mkubwa kauli hii....
 
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Russia safari hii analo,hii Ina maana kwamba hata mapato ya gesi ndo hivyo Tena, mpaka aendelee kusubiri,

Hii itawafanya mataifa ya ulaya kujituma na kutafta mbadala wa ges ya urusi
 
Huyo mzee wa mihemko na ubishi. Mzoee
 
Wakishindwa kuelewa hapa basi tena.
Unafikiri hawaelewi. Ni mtu gani aliyeko jf asielewe vitu vilivyopangiliwa namna hiyo!? Wanajitoa akili tu. Hukuti ProNato hata mmoja anayeweza kutoa reply ya namna hiyo.

Wao ni putin anachapika, kipigo cha mbwa koko, fashisti, uvamizi, warusi wanakimbia nchi, zelensky kidume, himars, watoto wa chekechea, na blah blah nyingine kibao [emoji16][emoji16][emoji16]

Mtu kashachukua eneo bwana. Waache waendelee kupiga kelele
 
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Embu tujikumbushe kidogo

President Biden: February 7th this year: “If Russia invades...then there will be no longer a Nord Stream 2. We will bring an end to it.”
Reporter: “But how will you do that, exactly, since...the project is in Germany’s control?”
Biden: “I promise you, we will be able to do that.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…