Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany amekuwa sababu kubwa ya Russia kuendelea uza gesi, wameona waharibu miundombinu ili Russia akose hela za Ulaya, Ulaya nayo ikose gesi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Germany amekuwa sababu kubwa ya Russia kuendelea uza gesi, wameona waharibu miundombinu ili Russia akose hela za Ulaya, Ulaya nayo ikose gesi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Gazprom walifunga gas isiende Europe tangu mwanzoni mwa September nadhani wameamua kulipua hizo pipeline kipindi hiki karibu na winter ili kuzuia nchi yoyote ya Europe kulegeza vikwazo ili wapate gas toka Russia sababu pipelines hazifanyi kazi tena (mpaka zifanyiwe matengenezo,Jambo linaloweza kuchukua miezi) na winter inakaribia.
 
Zimbabwe yasema yasimama na Urusi ktk kuiadabisha Ukraine

Yasisitiza kuwa operation ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine ni ''Preemptive step" iliyolenga kuilinda Urusi dhidi ya wakora wa NATO.
======
View attachment 2369954
Zimbabwe walivote 'agaisnt' kwenye resolution 68/262 of UN general assembly liloitishwa kuitambua crimea kama sehemu ya Ukraine.

Unakuta mtu kakaza shingo hapa anataka 'source' ya ni lini zimbabwe wameitambua crimea kama sehemu ya urusi. Unashangaa hivi hawa watu wakoje [emoji16]

Endelea kuleta news mkuu
 
Labda wanajisikia wana deni la shukrani kwa Kalashnikov za zamani walizopewa wakati ule (faida ya Kalashnikov: hata mitumba inafyatulia kitu...)
Ila yeyote mwenye akili timamu hawezi kufurahia siasa inyolenga kubadilisha mipaka kwa nguvu.
Jamani kama wangeanza vile Afrika - nchi gani ibaki salama???
 
Hawa watu ni WEHU...ndio maana nawajibugi Kwa uwezo wa ujinga wao... Finland ilichukuliwa 10% ya nchi ...wanajinasibu WALISHINDA ... Ukraine inachukuliwa 15% ya nchi bado wanakaza fuvu wanashinda... Aseeee.... Bora uongo wa ntarudi na pipi Kwa mtoto ila sio upumbavu wa Hawa jamaaa ProNato... Ni mandezi mandina....
 
Nilimaanisha kushindwa kama munavyotaka nyie aende
Ila anakamata maeneo kama anavyotaka yeyeye
Maana yangu kwanamna anavyo ama alivyoamua yeye kwenda hatashindwa na hashindwi kukamata kila anapopataka kwawalivyoamua wao kwenda sio mnavyotaka ama tunavyotaka sisi

KIEV kama angeamua kuiteka angeiteka vyema tu ndio maana nikakwambia kama jamaa haendi kama mnavyotaka nyie mnataka apige hatua saba mbele halaf azidi kusonga yeye anapiga kadhaa halaf anasimama

DON BAS nahisi sijui malengo makuu ya RUSSIA nimiongoni mwamalengo ya awali nandio maana kwanza akazitambua LPR na DPR kama jamhuri huru labda tu uwe hujuu kama hizo jamhuri ndio zinaunda DON BAS

Pia sio kweli kama RUSSIA alijibanza huko kama unavyosema KHARKIV KHERSON ZAPORINHE hizo zote sio DON BAS na bado maeneo hayo ana yamiliki kasoro KHARKIV alijiondoa ila kwasasa anarudi kwanguvu

Kwamujibu wa DW sehemu zote zilizofanya ref zinamilikiwa na RUSSIA isipokua sehem chache ambazo zinamilikiwa na UKRAINE kama ingekua nusu hata hii ref isinge fanyika

Jengine walioshindwa ambao hawapo uwanja wamapambano wamekimbia au wamepigwa kama US kwa AFGHAN unasemaje SVO imeshindwa wakati watu bado wapo uwanjani sema unavyotaka wewe sivyo ndio maana unaona wameshindwa ila wenyewe wanasema wanaenda vyema na malengo yatafikiwa wewe unasemaje imeshindwa

Kuhusiana na ref RUSSIA hahitajii UN US western am hata UCHINA na INDIA kama kigezo cha kukubalika kwahio red yake akiishakubali yeye inatosha

Kwani kuna taifa linalo sapot hii SVO ukitoa SYRIA ila je SVO imesimama imefail imeshindwa ama inaendelea!!!??

Malengo yatafikiwa ila sio kama unavyotaka nauzuri ama ubaya nikwamba RUSSIA hakueka muda maalum wamalengo yake kufikiwa ila anasisitiza yatafikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…