Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akili za Tim Rainbow ndo unavyowaza hivi. Nyie hawa watu ishawaharibu.
Sasa mtu kapewa UbOW apate raha lakini anataka atumie Mkuo-Ndou Siwezi andika "makala"kuwajibu viazi... Una Moyo...
 
Kadanganye wajinga huko , Urusi alipigwa akachakaa na casualties ni nyingi alipata plus loss ya vifaa mpaka hata askari wake waliobaki pale wakaanza kuwa scavengers WA kuuza military equipment kama Chuma chakavu
Hiviii hiyo fuvu unaitumia kaka
1)Kihivazi Ubongo
2)Kabati la meno
3) Mfuniko wa shingo ...
 
Huyo medved kazidi kubwata kama anataka kutumia nuclear si atumie tu sio kubwata kila siku kama jibwa koko.
Kama unajua Vita ya Pili ilianzahe.ikaishaje.. na nani akapewa kuwa mshindi wa vile vita.. na nani akaruhusiwa kupigana na manazi POPOTE ..utakuwa ni popoma ...usipounnga mkono hii MoP..
 
@Bwana Utam unakumbuka maneno yangu?!
 
Kuna kitu nakiona, baada ya hii referendum kma Ukrain akiendelea kupigana, Urusi naye ataendelea kupigana kuwasukuma kwenye miji mingine na kila mji watakao uacha Ukrain basi Urusi wana hold referendum na kuuchukua.
 
Kama unajua Vita ya Pili ilianzahe.ikaishaje.. na nani akapewa kuwa mshindi wa vile vita.. na nani akaruhusiwa kupigana na manazi POPOTE ..utakuwa ni popoma ...usipounnga mkono hii MoP..
Mkuu hata kuandika tu ni tabu na unaita watu popoma. Unachanganya herufi kubwa katikati ya sentensi na nukta kila baada ya maneno matatu

Hujafika level za kuita watu popoma idiot wewe.!
 
Uko sahihi, analazimisha heshima na kupendwa kwa nguvu.
 
PUTIN MBABE SANA

🇷🇺❗100% of voting ballots in the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions have been processed.

All regions voted for joining Russia as subjects.

The Federation Council may meet next week to approve the choice of the residents of these regions.
 
Uwezekano wa kufanya kazi ni mdogo sana hapo wanaumia wote...
Russia hawezi kuwa kahusika katika sabotage, au kahusika ili asidaiwe kwa kutotimiza mkataba

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…