Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

, kulkua na ule msafara wa vifaru na magari ya kivita na silaha mbalimbali , urefu wa msafara ulikua ni zaidi ya km 40 na ulikua unaelekea kiev, sijui ulipatwa na nn ule msafara
baba watu walitunguliwa kama kuku na mdondo bandani. Putin anapigana vita kizamani sana enzi za kisovieti. atawamaliza warusi wenzake huyu jamaa.
 
πŸ›’πŸŒΎπŸ‡¦πŸ‡«πŸ€πŸ‡·πŸ‡Ί Reuters: Afghan Taliban sign deal for Russian oil products, gas and wheat

"The Taliban have signed a provisional deal with Russia to supply gasoline, diesel, gas and wheat to Afghanistan
The Taliban reported that an agreement had been reached with Russia on the supply of goods to the Islamic Emirate of Afghanistan. As part of the agreement, Afghanistan will annually buy from Russia:

1. 2,000,000 tons of wheat
2. 1,000,000 tons of gasoline
3. 1,000,000 tons of diesel fuel
4. 500,000 tons of LNG

Afghanistan will also receive a discount relative to current world prices.
 
Nazungumzia American Deep State,sio Wamarekani wote,tumia your upstairs.Most Americans are good people,sina matatizo nao.Tatizo lao tu ni kwamba ni maamuma kama wewe.
Pumbav ,deep state ya nioko , Yani we kenge WA kibaigwa wewe ndio ujue yanayofanywa na kuwa operated na deep state ya US ? , we kweli ni mjusi gomamuli kweli aisee
 
Huijui dunia mwanangu

The Soviet Union was the first country to grant de jure recognition to Israel on 17 May 1948, followed by Nicaragua, Czechoslovakia, Yugoslavia, and Poland.
soma historian's hawa walikuwa wenyewe kwa wenyewe sio kama kwnya au Uganda I've iseme tunapigana mtukula ni lwetu .Ila wanakagera wa mtukula na kapigana basi wanaweza kupata eneo Lao. Kama ilivyo Sudan kusini na kaskazini.Na sio Uganda kutaka sehemu ya Sudan kusini elewa wamejitengaje hizo nchi na sio kuparqmia na hakuna reference ya hivo
 
πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡¨πŸ‡³Von der Leyen: "Of the 30 most important raw materials,10 come mainly from China. The PRC essentially controls the global manufacturing industry. Almost 90% of rare earth elements and 60% of letitia are processed in China. We should not fall into the same trap and dependence as with oil and gas."

Europe is preparing another sabotage for itself.
 
President Putin Blasts West’s β€˜Predatory’ Food β€˜Swindle’

β€œPredatory” monetary and trade policies pursued by the US and its allies are the primary cause of the global food crisis, Russian President Vladimir Putin has said.

Western nations are using their wealth and ability to print money to vacuum up food products from the global market, the Russian leader said during a government meeting on Tuesday. The unfolding crisis has been in the making for several years, he claimed.

β€œSome leading nations have financial and food policies that led to the result we are observing now,” Putin said, adding that the behavior could be described as β€œpredatory, without any exaggeration.”

Subscribe to RT
 
Hivi unajua New Mexico State iliyo USA na Maxico Country!? Unajua ilikuwaje. Hebu nenda kajisaidie kwanza chooni uondoe uchafu kisha ukiwa sawa uje kujibu hoja.
 
KREMLIN bado Iko kimya

US Congresswoman Marjorie Taylor Green on gas pipeline sabotage: Back in February of this year, I predicted that US interest in Ukraine was linked to natural gas deals. Everyone should pay attention to the obvious attack on Nord Stream. I voted against every penny and US involvement in the war in Ukraine because it has nothing to do with democracy.
 
Gesi haipo, mafuta yanashushwa bei kwa lazima, sijui ataishije

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hungary anazidi kuwananga Nyumbu wa EU

Hungary To Continue Issuing Visas For Russians Despite Calls For Ban

Hungary won't close its borders and will continue issuing Schengen visas to Russian nationals, despite pressure from other EU member states.

While some of the bloc's eastern members have been denying entry to Russians, and Finland chose to β€œsignificantly restrict”them, Finnish journalist Janus Putkonen says these restrictive measures aim to provoke Moscow to close its border to Westerners, building a new Iron Curtain.

Subscribe to RT
 
Oh no no no noooo huyu dada ni Kremlin Agent πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Inasemekana CIA waliwataarifu Berlin juu ya kuhujumu hayo mabomba ya Gesi. Hii ni baada ya Berlin kuanza maandalizi ya kufungua bomba la NS 2!
 
Message sent. HAWA EU wawe na akili wasiwe watumwa wa US Better wakajitoa NATO
Wana ubavu huo ? , huyo US ndio anawalisha hao wapuuz , endelea Kuota hivyo hivyo , Kwanza wapuuz wote hao wangekuwa shitholes kama sio subsidies na mikopo ya US marshal plan kurebuild war devastated Europe baada ya vita ya pili ,Britain ,Germany ,Italy , France wote walikuwa broke after world war two , kama Mbritain Tu alifilisika kutokana na gharama za vita mpaka akashindwa kuyaendesha makoloni yake na kulazimika kuyapa Uhuru unafikiri mchezo wewe ?

Huyo huyo US ndio aliyewafadhili Kwa silaha, fedha na hata manpower ya wanajeshi nchi zote za ulaya na Russia /allies ili kupambana na Hitler ambaye alikuwa anatembeza dozi Europe yote mpaka Russia Kwa wakati huo .In the mean time USA anapigana na mighty Mjapan Kule Asia ambaye naye alikuwa strong na anatembeza kipondo pale China ,Korea na south East Asia yote

Na nchi nyingi bado hata hazijamaliza hayo madeni mpaka leo ,kama UK mwenyewe deni kamaliza mwaka juzi unafikiri this is a joke ?
Hao makapuku wengine humo wanaoishi Kwa subsidies wanapata ubavu wapi WA kuleta huo ujinga ? , Nchi zilizo kwenye stagflation na massive debts kama Portugal ,Italy ,Spain ,Ireland ,Greece NK
Usicheze na hili Taifa linaloitwa USA ,chezea wengine , mi nawashauri someni historia ya hili Taifa kwanza ndio mrudi humu ,acheni kujadili Kwa mihemko Tu .Hate it or love it USA is here and has been here to stay , prosper and rule over the world ,it's not accidental .[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]God bless USA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…