Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kama ni rahisi hivyo kwanini na yeye asiprint?! Mbona simple tu[emoji23][emoji23][emoji23]Russian President Vladimir Putin has said.
Western nations are using their wealth and ability to print money to vacuum up food products from the global market, the Russian leader insisted during a government meeting The unfolding crisis has been in the making for several years,
Hii Operation imewaumbua sana West usikute African leaders walikua hawajui huu ufedhuli wa west mnaprintiwa Pesa mnapewa mkopo mnarudisha kwa faida
WEST IS WORST[emoji706]
majasusi sio raia ndio wengi hapo-muda utaongeaThe number of Russian citizens entering the EU has jumped 30% since President Vladimir Putin moved to expand the war through a draft, the EU's border agency said. In the past four days alone, 30,000 Russians have arrived in Finland.
Mzee issue ya Crimea ulikuwa na miaka mingapi!?Humu porojo ni nyingi na UGT uchwara wakati mambo ni marahisi tu, kusubiri urusi itangaze maeneo yanayopiga kura kuwa ni sehemu ya urusi na maamuzi ya ukraine kuhusu hilo. Yale mambo ya dinazi sijui dimit of ukraine tushajua kilichotokea.
Ujerumani ana wakati mgumu