Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waziri mkuu wa Estonia nyumbu kweli badala apambane kuwasaidia raia wake walioanza kunya kwenye mifuko Kwa kukosa nishati na maji yeye anajifanya yupo front kweli wanasiasa wa Ulaya ni mabogas Nchi yenyewe ina wanamgambo 2500View attachment 2370718

Ulaya imefikia level za kunya kwenye lambo kweli mwaka huu tutaona mengi sana.
 
Hahaa nimekupata mkuu ova. Ngoma imekuwa ngumu. Kumeza tabu na kutema tabu.
 
[emoji298]️ Retired US general: Ukrainian army could enter Crimea by mid-2023.

Retired Lieutenant General Ben Hodges: "I hope that by the end of (2022), Ukrainian forces will push Russian forces to the positions of Feb. 23, and that by the middle of next year, (they) will be in Crimea."
 

Unaweza jiuliza kwanini Russia hajafunga mipaka kuzuia raia zake kutoka mpakani??
 
NATO wanaishiwa stock kisha anakuja mbweha anaiponda RUSSIA. Ukraine imejaziwa masilaha kibao . Russia inastahili pongezi
 
[emoji298]️


Inaelekea jamaa walipiga hesabu Kali Sana maana hizo pipelines ndo zinaweza zikawa Mwisho tena kutumika

Der Tagesspiegel: Damage to Nord Stream gas pipelines likely irreparable after leaks.

If the Nord Stream 1 and 2 pipelines are not attended to immediately, salt water will quickly corrode the insides, wrote Tagesspiegel, citing unnamed high-ranking German officials.

The crisis team of the German Federal Foreign Office is investigating the leaks, most likely caused by explosions along the pipeline.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…