Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ni hatari sana mkuu, jamaa wamechoka kutumika kwa maslahi ya mtu mmoja pale klemlin,Kwa hawa jamaa wamavyojisalimisha, yatakiwa Urusi ijiulize imekosea wapi...
Ukraine atachagua awaue au atafute pa kuwapeleka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Overused kama zile howitzers zao zinazotumika sana hadi kupasuka gun.Tizama hapa Mfumo wa Ulinzi wa Anga wa Russia ulivyogeuka na kuwarushia kombora wanajeshi wa Urusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
T14 Armata
Mtaomba poo
Russia loses 400 military personnel, 1 plane and 12 UAVs in past 24 hours General Staff
Ukrainska Pravda
Wed, September 28, 2022, 9:29 AM·1 min read
OLENA ROSHCHINA – WEDNESDAY, 28 SEPTEMBER 2022, 09:29
Russian occupying forces lost around 400 military personnel, one fixed-wing aircraft and 12 UAVs over the course of Tuesday, 27 September. The General Staff reports that one Russian missile has also been shot down.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Details: Russian forces suffered their greatest losses on the Kramatorsk and Donetsk
Kivp weka nyama mkuuBaada ya kufuatilia huu mzozo kiundani, nimegundua Urusi anaishi na nchi za Ulaya kama wanae hivi....
Na ukiangalia kiundani zaidi lengo la USA sio tu kuiangusha Urusi kiuchumi bali Bara zila la Ulaya.
Hahaha..jibu la kibabe sana hiliUrusi inafanya hivyo kwa sababu ina uwezo na ubavu wa kufanya hivo.
Sasa jiulize ww nchi yako kenya inao huo ubavu wa kufanya hivyo.
Kama na nyinyi kenya mnaweza kufanya hivyo fanyeni ili tuje tuwape kipigo cha mbwa koko teiteke mpaka Mombasa.