NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Matusi sio uungwana,
hatukimbii, tunataka ashinde vita kwa kutuua wengi kadri awezavyoraia wenye akili wakimbie sasa. shida kajamaa kamepiga marufuku wanaume kukimbia, ukitaka kiukimbia tu wanakurudisha mpakani. na ukienda njia za panya unaweza pigwa risasi na adui akifikiri labda wewe ni adui yake.
Huyo hapo baba yenu ameanza kuwalaani mpaka walio kuwa wana msaidia.View attachment 2139429
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
imagine, haya yote yalikuwa yanazuiliwa, and still yanazuiliwa kwa mtu mmoja tu kukubali yaishe, shida wanadamu hatutaki kukubali kushindwa ndio maana tupo tayari uharibifu wowote utokee lakini sisi tuonekane hatujashindwa. hivi ukikubali mjinga sikiu ipite halafu nchi ikabaki nzima au kujifanya kiburi nchi ikabaki mabua kipi bora? kwa akili ya kawaida tu.Reportedly, on the video of the destruction in the city of Bila Tserkva, Kiev region
View attachment 2139556
we Myukreini wa mbagala nawe, ungekuwa kwenye ground usingeongea hayo. warusi wangekwua washavunja kiuno icho.hatukimbii, tunataka ashinde vita kwa kutuua wengi kadri awezavyo
Aya ndio aliyolalamika kiongoz wa chenchen,NEWS
Wizara ya ulinzi ya Urusi imetangaza kipindi kifupi cha usitishaji wa mapigano na kufungua njia za misaada ya kibinadamu kwa raia kuanzia saa nne asubuhi kwa saa za Moscow saa moja asubuhi Jumamosi katika miji miwili kusini-mashariki mwa Ukraine mji wa , Mariupol na Volnovakha
Urusi inasema imekubaliana na Ukraine kuhusu njia hizo zilizopo nje ya miji, lakini haijaona thibitisho kutoka kwa Ukraine
Mariupol ni mji muhimu wa bandari na imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi kutoka Urusi kwa siku kadhaa. Kumekuwa na mapigano makali Volnovakha
Mapema, meya wa Mariupol alitoa wito wa raia kuruhusiwa kuondoka huku kukiwa na kile alichokiita "kizuwizi" cha vikosi vya Urusi
Kwingineko, mapigano yanaendela. Milipuko mingi ilisikika katika Kharkiv, Kaskazini Mashariki mwa ukraine
Katika mji wa mashariki wa Sumy, ambao umezingirwa na vikosi vya Urusi, mashambulio ya anga yalianzakumi na moja alfajiri, kulingana na vyombo vya Habari vya Ukraine
Tsh nyamisi DeepPond Sikirimimimasikini .
Zelensky amesema NATO na USA ni wadhaifu sana hawawezi kumshinda Putin
Udhaifu wao uko wapi? Anataka kuchonganisha watu!Zelensky amesema NATO na USA ni wadhaifu sana hawawezi kumshinda Putin
Muite Putin,jina gni zuri la kumpa mtot kati ya Putin na Zeleski
Naunga mkono hoja
Ha ha ha ..Mimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
KABISA[emoji4]Sisi kama warusi wa Tanzania tulitaka heshima wakatunyima heshima so tuna chukua heshima kwa nguvu
Weka taarifa ya kukombolewa icho kinu maana mkikutana ubanda uwa mnapiga story za kuongopeana tuWee mwehu kweli leo asubuhi kinu cha mlichoteka juzi kimerudi kwa wenyewe Jeshi la Ukrainlimekikomboa au bado uko usingizini nini mzee amka stuka Putin anakupeleka chaka kweli kweli
Wayahudi ni wabishi hatarii ndo anachodhihirisha huyu Zelenskyimagine, haya yote yalikuwa yanazuiliwa, and still yanazuiliwa kwa mtu mmoja tu kukubali yaishe, shida wanadamu hatutaki kukubali kushindwa ndio maana tupo tayari uharibifu wowote utokee lakini sisi tuonekane hatujashindwa. hivi ukikubali mjinga sikiu ipite halafu nchi ikabaki nzima au kujifanya kiburi nchi ikabaki mabua kipi bora? kwa akili ya kawaida tu.
Ha ha ha....[emoji16]Mpitaji : habari zenu
Kijiweni : salama, mzima?
Mpitaji : mie mzima nawaona mmetulia
Kijiweni: aaah sie tupo siunajua tena.
Mpitaji: ndio naona mnabadilishana mawezo
Kijiweni: khee! Hapa hatubadilisha kila Katia ngumu
Mpitaji: kwanini tena?
Kijiweni : unavyotuona hapa huku upande wetu wa kina DeepPond ni Pro Russia na hawa vibwengo kina Nyamizi ni wapenda mnato kifupi ni Pro Ukraine kifupi haziivi
Mpitaji: mmmh ! Sawa
Kijiweni: karibu kijiweni mkuu
Mpitaji: Asante ! ngoja niwaache
Kijiweni: samahani hivi kati ya Russia na Ukraine upo upande upi
Mpitaji: yanga
Kijiweni: khee! Aya kwaheri