LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
MMA fighter Conor McGregor has said he is ready to buy the English football club Chelsea from the oligarch Abramovich for 1.5 billion pounds.
IMG_20220305_122318_006.jpg
 
raia wenye akili wakimbie sasa. shida kajamaa kamepiga marufuku wanaume kukimbia, ukitaka kiukimbia tu wanakurudisha mpakani. na ukienda njia za panya unaweza pigwa risasi na adui akifikiri labda wewe ni adui yake.
hatukimbii, tunataka ashinde vita kwa kutuua wengi kadri awezavyo
 
"Here lies a man, he was torn to pieces"

Local residents publish a video from the Kherson region, the village of Gladovka. They say that during the retreat, the National Battalions attacked residential buildings. At the moment, Gladovka has come under the control of the Russian forces.

Source: Mash
 
Huyu jamaa ana akili fupi za kicomedy anaongelea kuhusu udhaifu na kukosa kujiamini?

Sometimes ni bora kutulia kuliko kujitia kujiamini alafu maamuzi ya mtu mmoja au kikundi cha watu kuangamiza maisha ya wasio na hatia na kuhatarisha amani na usalama wa dunia nzima.
Kama upuuzi aliofanya yeye.

Russia au Putin sio mtu pekee mwenye Weapons of mass destruction lakini yeye pekee ndio mwenye "will" ya kuweza kuzitumia.
NATO na USA sio wajinga kama yeye ndio maana hawatomsikiliza sababu wanajua kitakachotokea.

Ikitokea Nuclear War basi hakuna atakayepona dunia nzima hata sisi huku afrika tutaathirika na hiyo radiation, na radiation inaweza kufanya dunia iwe uninhabitable kwa miaka 1000 ijayo, na mostly atmosphere itaharibika vibaya kutokana na hiyo holocaust.
Hapa watu wanaona mwisho wa dunia huyu jamaa bado analeta comedy kwenye mambo serious.

Na kwanini watu wanampa nchi comedian wakati wanajua kabisa ili uwe comedian ni lazima usiwe serious na akili zikuruke.
Ona alivyoiponza nchi yake kwa ujinga wake.
 
Reportedly, on the video of the destruction in the city of Bila Tserkva, Kiev region
View attachment 2139556
imagine, haya yote yalikuwa yanazuiliwa, and still yanazuiliwa kwa mtu mmoja tu kukubali yaishe, shida wanadamu hatutaki kukubali kushindwa ndio maana tupo tayari uharibifu wowote utokee lakini sisi tuonekane hatujashindwa. hivi ukikubali mjinga sikiu ipite halafu nchi ikabaki nzima au kujifanya kiburi nchi ikabaki mabua kipi bora? kwa akili ya kawaida tu.
 
NEWS

Wizara ya ulinzi ya Urusi imetangaza kipindi kifupi cha usitishaji wa mapigano na kufungua njia za misaada ya kibinadamu kwa raia kuanzia saa nne asubuhi kwa saa za Moscow saa moja asubuhi Jumamosi katika miji miwili kusini-mashariki mwa Ukraine mji wa , Mariupol na Volnovakha
Urusi inasema imekubaliana na Ukraine kuhusu njia hizo zilizopo nje ya miji, lakini haijaona thibitisho kutoka kwa Ukraine
Mariupol ni mji muhimu wa bandari na imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi kutoka Urusi kwa siku kadhaa. Kumekuwa na mapigano makali Volnovakha
Mapema, meya wa Mariupol alitoa wito wa raia kuruhusiwa kuondoka huku kukiwa na kile alichokiita "kizuwizi" cha vikosi vya Urusi
Kwingineko, mapigano yanaendela. Milipuko mingi ilisikika katika Kharkiv, Kaskazini Mashariki mwa ukraine
Katika mji wa mashariki wa Sumy, ambao umezingirwa na vikosi vya Urusi, mashambulio ya anga yalianzakumi na moja alfajiri, kulingana na vyombo vya Habari vya Ukraine
Tsh nyamisi DeepPond Sikirimimimasikini .
Aya ndio aliyolalamika kiongoz wa chenchen,

Kwamba Ukraine Wanatumia mwanya wa usitishaji wa mpigano kujipanga kimashambulizi na kuwashambulia wanajeshi wa urusi.

Maana kwa falsafa ya Zelensky ya kumkabidhi silaha kwa Raia wa Ukraine, kujua Nani Ni raia mwema Nani Ni adui Ni ngumu mno ktk mazingira Aya.

Hawa dawa Yao wapewe tu kipigo mfulurizo uku hatua za kibinadamu zikiendelea kuchukua nafas yake.
 
Mpitaji : habari zenu
Kijiweni : salama, mzima?
Mpitaji : mie mzima nawaona mmetulia
Kijiweni: aaah sie tupo siunajua tena.
Mpitaji: ndio naona mnabadilishana mawezo
Kijiweni: khee! Hapa hatubadilisha kila Katia ngumu
Mpitaji: kwanini tena?
Kijiweni : unavyotuona hapa huku upande wetu wa kina DeepPond ni Pro Russia na hawa vibwengo kina Nyamizi ni wapenda mnato kifupi ni Pro Ukraine kifupi haziivi
Mpitaji: mmmh ! Sawa
Kijiweni: karibu kijiweni mkuu
Mpitaji: Asante ! ngoja niwaache
Kijiweni: samahani hivi kati ya Russia na Ukraine upo upande upi
Mpitaji: yanga
Kijiweni: khee! Aya kwaheri
 
Mimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
Ha ha ha ..
Vijana Wana munkali Sana[emoji4]
 
Wee mwehu kweli leo asubuhi kinu cha mlichoteka juzi kimerudi kwa wenyewe Jeshi la Ukrainlimekikomboa au bado uko usingizini nini mzee amka stuka Putin anakupeleka chaka kweli kweli
Weka taarifa ya kukombolewa icho kinu maana mkikutana ubanda uwa mnapiga story za kuongopeana tu
 
imagine, haya yote yalikuwa yanazuiliwa, and still yanazuiliwa kwa mtu mmoja tu kukubali yaishe, shida wanadamu hatutaki kukubali kushindwa ndio maana tupo tayari uharibifu wowote utokee lakini sisi tuonekane hatujashindwa. hivi ukikubali mjinga sikiu ipite halafu nchi ikabaki nzima au kujifanya kiburi nchi ikabaki mabua kipi bora? kwa akili ya kawaida tu.
Wayahudi ni wabishi hatarii ndo anachodhihirisha huyu Zelensky
 
Mpitaji : habari zenu
Kijiweni : salama, mzima?
Mpitaji : mie mzima nawaona mmetulia
Kijiweni: aaah sie tupo siunajua tena.
Mpitaji: ndio naona mnabadilishana mawezo
Kijiweni: khee! Hapa hatubadilisha kila Katia ngumu
Mpitaji: kwanini tena?
Kijiweni : unavyotuona hapa huku upande wetu wa kina DeepPond ni Pro Russia na hawa vibwengo kina Nyamizi ni wapenda mnato kifupi ni Pro Ukraine kifupi haziivi
Mpitaji: mmmh ! Sawa
Kijiweni: karibu kijiweni mkuu
Mpitaji: Asante ! ngoja niwaache
Kijiweni: samahani hivi kati ya Russia na Ukraine upo upande upi
Mpitaji: yanga
Kijiweni: khee! Aya kwaheri
Ha ha ha....[emoji16]
 
Back
Top Bottom