Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hilo swali waandishi wa habari hawakumuuliza labda ww NYUNDO YA MOTO ukamuulizeUdhaifu wao uko wapi? Anataka kuchonganisha watu!
Brother relax, Si unajiweza tulia hivyohivyo Ungali tumia akili mapema, Ungeyajua haya tatizo lako ni mgeni kwenye siasa, Huna tofauti na Mtu aliyekurupusha kutoka kulima na kushikishwa mtutuWatu wote wanaokufa wanakufa kwasababu yenu'
Akiripotiwa kuzungumza kutoka katika ofisi yake katika mji mkuu Kyiv rais wa Ukraine Zelensky amelaani kutendo cha viongozi wa Nato cha ' kukataa Ijumaa kuanzisha eneo la anga ambalo ndege hazipai -no-fly-zone juu ya nchi yake.
Zelensky alisema: "Watu wote wanaokufa wanakufa kwasababu yenu, kuanzia leo, watakufa kwasababu yenu. Kwasababu ya udhaifu wenu, kwasababu ya kutoungana."
Aliendelea kusema kuwa: " Mkutano wa Nato ulifanyika leo. Mkutano dhaifu. Mkutano uliokanganyikiwa. Mkutano unaoonyesha kwamba sio kila mtu anayechukulia mapambano kwa ajili ya uhusu kwa Ulaya kuwa lengo namba moja.
"Mashirika yote ya ujasusi yan chi za Nato yanafahamu fika kuhusu mipango ya adui. Walithibitisha kuwa Urusi inataka kuendeleza mashambulizi.
"Kwa makusudi Nato iliamua kutofunga anga juu ya Ukraine. Nchi za Nato zimebuni fikra kwamba kufunga anga za juu ya Ukraine kutakuwqa ni uchokozi wa moja kwa moja dhidi wa Urusi dhidi ya Nato.
“Haya ni mawazo ya kipekee ya wale ambao ni dhaifu, wasio jiamini, licha ya ukweli kwamba wanamiliki silaha silaha ngingi zaidi ya zile tulizo nazo."
Zelensky baadaye aliuhutubia umati mkubwa wa waandamanaji wanaoendelea kuandamana katika mataifa ya Ulaya, akiwaambia waandamanaji : " Iwapo Ukraine haitanusurika, Ulaya yote haitanusurika.
"Kama Ukraine itaanguka, badi Ulaya nzima itaanguka."
Source:BBC
Hahahaha Nitafanya hivyo kwa kweli! Sasa yeye ameanza kuwa kidudu kwenye zao lililostawi.Hilo swali waandishi wa habari hawakumuuliza labda ww NYUNDO YA MOTO ukamuulize
Usipofurahi na hili,utapata wapi tena furaha? Napunguza stress za Mayele maana Simba hatuna raha na the Gost of JangwaniAmeanza kuingia king hahaha nacheka kama mazuri.
Putlerskyjina gni zuri la kumpa mtot kati ya Putin na Zeleski
Mm binafsi nitafurahi ikiwa tu nitaona kichwa cha huyu rais kipo kwenye kifungashio Nyamizi Tsh Sikirimimimasikini DeepPond Waite naomba kuungwa mkono hoja yangu.Zelensky wrote a new appeal:
I am sure that soon we will be able to tell our people: come back! Come back from Poland, from Romania, Slovakia and all other countries. Come back, because the threat is no more.
Zelensky said that Ukraine is doing everything to make the agreements on humanitarian corridors work;
Zelensky on negotiations with the Russian Federation: let's see if we can go further;
Zelensky on Poland's help to Ukraine: now there is actually no border between the countriesView attachment 2139571
🤣Mm binafsi nitafurahi ikiwa tu nitaona kichwa cha huyu rais kipo kwenye kifungashio Nyamizi Tsh Sikirimimimasikini DeepPond Waite naomba kuungwa mkono hoja yangu.
Hawa vijana wanaotukanana humu ni wapumbavu na malofaMimi ninahisi hii vita tayari imeshakuwa ya Dunia maana tayari humu JF wako ambao wameshaanza kutoleana Matamko Makali hata kutukanana. Kuna mmoja kamtisha mwenzake nikahisi anaweza kubonyeza kidude cha nuclear
Mwenye mbwa kaona bora ajitokeze, anamuomba Putin walimalize kidiplomasia kwa Putin kujadiliana moja kwa moja na huyu mmiliki wa Mbwa.Mm binafsi nitafurahi ikiwa tu nitaona kichwa cha huyu rais kipo kwenye kifungashio Nyamizi Tsh Sikirimimimasikini DeepPond Waite naomba kuungwa mkono hoja yangu.
KUMBE paracetamol Imeingia?Mwenye mbwa kaona bora ajitokeze, anamuomba Putin walimalize kidiplomasia kwa Putin kujadiliana moja kwa moja na huyu mmiliki wa Mbwa.
Mwambieni sisi tunataka kula kichwa cha mbwa wake kwanza, kisha mengine ndio yatafuata
View attachment 2139577
Tunatishana upuuuzi walishawahi kutest wapi? Ilo Bomu.
Terms and conditions are appliedMwenye mbwa kaona bora ajitokeze, anamuomba Putin walimalize kidiplomasia kwa Putin kujadiliana moja kwa moja na huyu mmiliki wa Mbwa.
Mwambieni sisi tunataka kula kichwa cha mbwa wake kwanza, kisha mengine ndio yatafuata
View attachment 2139577
Wewe ndio unaamka sasa hivi. Nenda bafuni kaoge kisha upate fahamu.Tunatishana upuuuzi walishawahi kutest wapi? Ilo Bomu.
amna, kazi inaendelea hukowe Myukreini wa mbagala nawe, ungekuwa kwenye ground usingeongea hayo. warusi wangekwua washavunja kiuno icho.
Sisi vilaza wa Tanzania, mpaka wachambuzi wa nyuklia tunao. Na mchambuzi wa nyuklia unakuta anakaaa manyoni, ata Dar es salaam Tanzania apajui. Lakini anaichambua Russia na Ukraine kama anaichambua manyoniYaani mpaka sie vilaza wa TZ wanatoa tathimini
Yy analalamika mmetoa bila concern yake. Ila hii inahusiana vipi ni kule kwenye battle ground?Russian tennis player Karen Khachanov removed the Russian flag from the description on his Instagram. The flag remained on the tennis player's Twitter page.
Earlier, the first racket of the world, Daniil Medvedev, also removed the Russian flag from the description of his Instagram (located after the words "professional tennis player").
Source: BazaView attachment 2139579