We naye fal@ kama huelewi comments usiwe unakurupuka kuquote , unaquote halafu unaandika utopolo , ulichojibu ni nini hapa ? , Umeelewa nilichoandika kwenye hiyo comment hapo na point aliyokuwa ameandika huyo niliyemjibuHujaeleweka hapo " scientific brain ni kitu gani" na resources ni shetani gani.
Ikiwa nchi imewekewa vikwazo na mataifa 70 vikwazo mia nane. Hiyo nchi inapigana na hizo 70 kijeshi inachukua maeneo inapigisha KURA mbele ya hao wajuaji sabini . Hiyo nchi haina resources? KWANZA ungejiuliza hao wenye resources mbona wanahofu wasipo pata resources za asiye na resources . Nakadiria umri wako ni U20 na utakuwa mwaka wa KWANZA au wa pili CBE
Very true [emoji106]Kelele za vyura hazizuii ng'ombe kunywa maji, nothing significant can these fragile economy capitalist nations can do to Russia, if they have they would have done it already on Cremian in 2014,........slogans curse condemnation and rhtorics of Western can't stop Putin to achieve his altimatum goals over Ukuraini.
Raha sana jf,,,ahsante kwa kunijuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2372587
[emoji1058][emoji1205][emoji1126][emoji1217][emoji1039]Bulgarian, Romanian, Hungarian and Slovakian gas network operators propose to supply Europe with gas from Azerbaijan - Bulgarian President in meeting with Azerbaijani President Aliyev.
P.S.Azerbaijan gets it from Russia and sells for triple price [emoji23]
January makamba ndio muandishi wakeSpeech ya Putin nilitamani isiishe,this man is SPECIAL.
Msianze kulia lia. Tunaposema mobilization.
View attachment 2372175
Unatamani angekuwa mumeo?Speech ya Putin nilitamani isiishe,this man is SPECIAL.
Usingizi hua unatoshaje kwa kichwa ya kuku.January makamba ndio muandishi wake
Speech nzuri kama za general muhozi
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hapo ndo basi Urusi haiwezi kurudi nyuma tena, ukurain akubali matokeo yaishe Nato hawana la kumfanya Urusi, is more powerful than the entire EU nationsShikamoo Russia
Naam. Ndiyo maana Russia ililipa madeni yote yaliyokuwa anadaiwa USSR.Records na Rights zote za USSR Ziliwekwa chini ya Russia Federation.