Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple to the pple....hiyo ndo pure democracy 96% wame unga mkono wewe ni nani ukatae?
 
Mikoa ni watu kama wenyewe wa meridhia kujiunga kwanini wewe usioni ni sawa? Democrancy is the rule of the pple for the pple.....hiyo ndo pure democracy 96% wameunga mkono wewe ni nani ukatae?
 
Hivi application ya kujiunga na EU nayo iliishia wapi 😄😄
Ukraine ni mwanachama shiriki (sio kamili wa EU) bado kuna masuala kadhaa ya kutimiza masharti ili iwe mwanachama kamili wa EU.

Suala ni "protection" kwamba ile "article 5" ya NATO itafanya kazi endapo Ukraine itashambuliwa ikiwa mwanachama wa NATO. Leo Zele kaomba tena NATO iharakishe taratibu za kujiunga.

Ana mawazo kwamba Ukraine ikiwa NATO itajaribu kuzidisha kupigana na itapata msaada wa NATO.

Ukraine yashindwa kuelewa kwamba Russia sasa hivi imeweka mitambo yote katika majimbo hayo manne.

Hii ni hatua ya pili imeisha, inofuata ni hatua ya tatu yaani Phase 3 kwa Russia kumaliza kazi kimoja.
 
Hi statement ya putuni ina ukakasi kwamba Russia has set up for more expansion, na inaweza vizuri kwasbb support inayo na silaha inazo.
 
Kwa mara ya kwanza US anaenda mpa Ukraine ATACMS, hivyo daraja la Kerch lililo Crimea lijiandae

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
mkuu, unajua hio itakua declaration ya vita? na tafsiri yake ni kwamba Urusi atashambulia ukriane nzima,......

ukraine hawawezi fanya blunder kama hiyo, maana tayari watapoteza odesa
 
Mbwa koko wameenda kupaka rangi ukuta wa Balozi yetu huko New York

[emoji631][emoji635]The Consulate General of Russia in New York was doused with paint.

As @rian_ru was told in the diplomatic mission, it is not washed from the doors and facade of the building.

Recently, the local police have practically stopped providing security for Russian diplomats.

Subscribe to @Sputnik
 
Ilikuwa nchi moja ila njama za wazungu ikasambaratika na aliekuwa Rais wao wakati huo Marehemu Gorbachev ndio alifanya hayo

Na Putin aliapa miaka ya nyuma na kusema ipo siku USSR itarudi na mda umefika sasa

Iraq alipoitwaa Kuwait nilikuwa huko na Jeshi la Iraq iliwachukua masaa 3 tu kuichukua Kuwait yote

Ila kilichofuata tunajua wote
Putin ni tofauti wanaishia kubweka tu na kusema ooh vikwazo
 
Fighter za Russia zatoa pongezi sherehe ya kujiunga Majimbo mapya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji635]Russian Su-25SM attack aircraft congratulate the residents of Donbass on reunification with Russia.

Residents publish footage from the Saur-Grave memorial complex on social networks.

The monument on the Saur-Grave was opened in September 1967 on the site of the feat of the Red Army soldiers who fought the Nazis here in 1943.

Almost 71 years later — in 2014, heavy fighting again unfolded at the height. The memorial was damaged by the shelling of the Armed Forces of Ukraine.

Today, the kurgan has been restored and has become one of the places where the signing of agreements on accession to the Russian Federation was broadcast.

Subscribe to @Sputnik
 
Asante. Tuliposema Russia wana utu, wengi hawakuelewa.

Na Rais Putin kasisitiza lazima misingi ya familia iheshimiwe yaani kuwe na Baba na Mama....kaongeza kuwa warussia hawataki kusikia habari za "mzazi moja na mzazi mbili" aina mpya ya dhambi familia iliyohasisiwa na nchi za magharibi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…