"Block it so a fly can't pass," Putin ordersWala musihangaike kuwashambulia hao wahuni waliojificha ndani ya kiwanda, ziba njia hata nzi asipate kutoka.
Baadae hao mashoga watatoka wenyewe.
Hii ndio siku niliozidi kuifahamu akili kubwa ya putin.
Leo hii uingereza inaongozwa na kilaza liz truss
🙂 HahaSometimes huwa unafurahisha sana [emoji16]
Kwa maelezo yako tu tayari upande wako umeonekanaAisee hii kitu bado inanipa shida Sana Yani waungwana, mfano leo Kenya,au Rwanda n.k ijimilikishe baadhi ya mikoa ya Tanzania hii imakaaje wakuu,? Binfsi Sina upande wowote kwenye vita hii ,lakin mbona Sio sawa ,aisee Mungu akaingilie Kati,haiko sawa jamani
Sana angekua kuku tungesema anataka kutagaJamaa anahangaika sana!
Agiza Whiskey nakuja lipaTulisema humu huyu jamaa ni kichwa hasa watu wakawa wanabisha.
Tazama alivokua anaendesha SMO yake, maboya yakawa yanadhani nia yake ni Ukraine yote
Tazama alivofukuza majeshi ya Ukraine huko mbali halafu akawithdraw, maboya wakadhani kazidiwa,.kumbe jamaa anarudisha nguvu zote kulinda majimbo anayotaka.
Tazama alivotangaza mobilization na referendums kwa pamoja, west wakabaki wameduwaa.
Leo anatangaza ceasefire na kufungua nafasi ya majadiliano na Ukraine.
West wamebaki mvurugano, ni kama vile hawajui cha kufanya
Anajivunia nyuklia tu, ila wa kawaida mno, hujaona hapo Ukraine kunavyomtoa jasho ?Leo amewambia live NATO kuwa bado hawajafikia kiwango cha kupambana na Urusi Kijeshi.
NyoanokoAnajivunia nyuklia tu, ila wa kawaida mno, hujaona hapo Ukraine kunavyomtoa jasho ?
Safi sana watu wanakula nyama na whiskey baridiSherehe imefana sana hapa Moscow
Mabilioni yao ya misaada jamaa wameyapiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulisema humu huyu jamaa ni kichwa hasa watu wakawa wanabisha.
Tazama alivokua anaendesha SMO yake, maboya yakawa yanadhani nia yake ni Ukraine yote
Tazama alivofukuza majeshi ya Ukraine huko mbali halafu akawithdraw, maboya wakadhani kazidiwa,.kumbe jamaa anarudisha nguvu zote kulinda majimbo anayotaka.
Tazama alivotangaza mobilization na referendums kwa pamoja, west wakabaki wameduwaa.
Leo anatangaza ceasefire na kufungua nafasi ya majadiliano na Ukraine.
West wamebaki mvurugano, ni kama vile hawajui cha kufanya
Hafanyi haya kwa kupenda ila kabanwa mbavu na ameona huko mbeleni hali itazidi kuwa ngumu kwake.Leo anatangaza ceasefire na kufungua nafasi ya majadiliano na Ukraine.