kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Naona mimba yako inaanza kukua Sasa maana nayajua maneno yako,mara tu mimba yako ikifikisha miezi 3 unakuwa na shida sana[emoji16]
Nchi "iliyobanwa" mbavu inachukuaje 15% ya nchi "iliyombana" mbavu?Hafanyi haya kwa kupenda ila kabanwa mbavu na ameona huko mbeleni hali itazidi kuwa ngumu kwake.
Hivyo anajaribu kutafuta njia nzuri ya kujinasua na lawama iwapo Ukraine watagoma kuzungumza (ila lawama za mauaji na uharibifu hawezi kuzikwepa)
.....japo kachelewa ila ni vyema Vita viishe Sasa.
hii thread imekuzidi uwezo, endelea kuedit na kutuma picha nyingine ujifariji ila jua 15% ya eneo lenu liko Russia kwa sasaNaona mimba yako inaanza kukua Sasa maana nayajua maneno yako,mara tu mimba yako ikifikisha miezi 3 unakuwa na shida sana[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imechukua asilimia 15 [emoji848]Nchi "iliyobanwa" mbavu inachukuaje 15% ya nchi "iliyombana" mbavu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zombie katika ubora wako [emoji16]hii thread imekuzidi uwezo, endelea kuedit na kutuma picha nyingine ujifariji ila jua 15% ya eneo lenu liko Russia kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Definitely you're misinformed on what is going on in Ukraine as well as Donbas areas, which have just accepted to be under Russia umbrella. That is what I have to say regarding your framed comment.What's the point of this,
Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.
Huyu jamaa ni mtu mzima lakini ana utoto mwingi mimi nilisha mu ignore muda Sana pamoja na yule jamaa wa kenya
Keep dreamingWhat's the point of this,
Nachoweza kusema Russia arudi nyuma ajitafakari, napenda kuwasilisha quote kutoka kwa famous Germany philosopher inasema "Battle not with monsters, lest ye become a monster, and if you gaze into the abyss, the abyss gazes also into you.” hichi ndicho kilichomkumba mrusi na marais wengi waliotoa serikali onevu madarakani, baada ya kutoa uovu wao ndio wanakaimu nafasi hio ya uovu. Russia anafanya unyama aliofanyiwa na Ujerumani ya kinazi, kama kulipua hospitali, mashule, makazi ya watu kama sio kitu.
Ukraine imetumika Sasa inaachwaMaana ya operation ndio hii kwa ambao walikuwa hawalitambui .