Aisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.
Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.
View attachment 2139709
Kumbe wewe ni Utopolo,basi vita yetu haitokaa iishe kamwe,amini nakwambia 😂🏃♀️Usipofurahi na hili,utapata wapi tena furaha? Napunguza stress za Mayele maana Simba hatuna raha na the Gost of Jangwani
haha unapigana ww halafu zelensky anamake headline!Ulijua ni Uzarendo? Yani uache kuondoka na familia yako Ubaki unapigana vita ambayo huielewi.
Usipokuwa na Akili ya Ziada Miaka ya leo umekwisha.😆haha unapigana ww halafu zelensky anamake headline!
hahaa hatariKumbe wewe ni Utopolo,basi vita yetu haitokaa iishe kamwe,amini nakwambia 😂🏃♀️
Ni hivi,Zelensiky bado yupo sana tu Ukraine,nachojua Putin atakufa kabla yake na kitakachomuua ni stress za kutengwa na DuniaMm binafsi nitafurahi ikiwa tu nitaona kichwa cha huyu rais kipo kwenye kifungashio Nyamizi Tsh Sikirimimimasikini DeepPond Waite naomba kuungwa mkono hoja yangu.
Nawakati rangi yangu nyekundu? Mm ni Simba pureKumbe wewe ni Utopolo,basi vita yetu haitokaa iishe kamwe,amini nakwambia 😂🏃♀️
Safii sana,ikiwezekana ukane kabisa na Uraia wa Russia.Russian tennis player Karen Khachanov removed the Russian flag from the description on his Instagram. The flag remained on the tennis player's Twitter page.
Earlier, the first racket of the world, Daniil Medvedev, also removed the Russian flag from the description of his Instagram (located after the words "professional tennis player").
Source: BazaView attachment 2139579
mwanasiasa mtu mbaya sana, putin anatangaza casualities then anaunganisha na kutangaza kiasi watacholipwa ndugu za marehemu but to them it's not about money but their loved ones, ukiacha national interests kuna personal ambitions kwa viongoz hawa wawili kila mmoja amekwenda too far but ndo hvyo tena kazi acha iendeleeUsipokuwa na Akili ya Ziada Miaka ya leo umekwisha.😆
wamarekan wanadai eti putin tabia yake imechagizwa na kule kuji-isolate kwa karibu 2yrs kwajili ya covid-19, wana utaniNi hivi,Zelensiky bado yupo sana tu Ukraine,nachojua Putin atakufa kabla yake na kitakachomuua ni stress za kutengwa na Dunia
hii ceasefire inatumika kwa pande husika kuregroupUrusi inapiga makombora katika miji iliyotangaza kusitisha mapigano Ukraine
Uokoaji wa raia kutoka katika mji wa Mariupol umeahirishwa, kulingana na baraza la jiji laMariupol. Linasema Upande wa Urusi haujatekeleza usitishaji mapigano wa muda kama ilivyokubaliwa.
Linasema wakazi wanapaswa kutawanyika na kutafuta mahala pa kujificha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa karibuni.
Dakika chache zilizopita meya wa mji huo aliiambia BBC kuwamji wa Mariupo
ha ha ha nilikuwa nishausahauule msafara wa Kilomita 64 umepause safari shida nn?
Hao wasijifanye wajanja walibadili jinsia ili iwej? Ww Me unatoa zakari zako na kuweka za KE ili upakuliwe hata Mungu ameweka pazia kati yaoAisee kumbe kuwa mwanamke ni bahati kubwa kwa sasa huko Ukraine.
Kwa namna huyo jamaa (aliyejibadili) anavyolalamika ni ishara kuwa hao raia wa kiume wengi wao wanalazimishwa tu na serikali yao kubaki nchini na kupambana na majeshi ya Russia, sio stori za uzalendo kwa ujumla wao kama inavyodaiwa.
View attachment 2139709
Kuwa mwanajeshi sio kitu rahisi kama tunavyozania, Ni jambo la kujitoa no matter ni positive au negative, Kule tunasimama na Order No questions.mwanasiasa mtu mbaya sana, putin anatangaza casualities then anaunganisha na kutangaza kiasi watacholipwa ndugu za marehemu but to them it's not about money but their loved ones, ukiacha national interests kuna personal ambitions kwa viongoz hawa wawili kila mmoja amekwenda too far but ndo hvyo tena kazi acha iendelee
Hapo sawa,tukimaliza vita tunaungana kuwapa tabu ndungu zetu wa JangwaniNawakati rangi yangu nyekundu? Mm ni Simba pure